Majina halisi ya WanaJF waliofariki

8577.jpg
Mwenye Avatar hii (Kigogo) yupo kweli?
 
Rev. Masanilo, Fidel80,Jokakuu,GameTheory,WomanOfSubstancece na wakongwe wengine weeeengi walionifanya nikajiunga na Jambo na baadae JamiiForums.
kama mko hai wakuu......michango yenu inakumbukwa
 
Rev. Masanilo, Fidel80,Jokakuu,GameTheory,WomanOfSubstancece na wakongwe wengine weeeengi walionifanya nikajiunga na Jambo na baadae JamiiForums.
kama mko hai wakuu......michango yenu inakumbukwa
Rev masanilo alikuwa na mikwara huyo jamaa..
Nimehangaishana nae sanasana.

Kweli duniani tunapita jamani,duh..
 
Kuna mmoja alikuwa mfanyakazi wa Itv &RadioOne Arusha, na siku za mapumziko ya Xmass na Mwaka mpya akaamua kuondoka na saloon kwenda Dar akafia maeneo ya Same kwa ajali.
Niliweka thread yake hapa majamvini japokuwa tulishindwa kujua ID yake hapa ndani, na yeye ndiye alimshauri Crashwise kujiunga na JF.
RIP ewe member mwaminifu na Mungu akuangazie nuru.
Pakajimmy upo long time broo
 
muongeze....kipenzi cha Islam.....
lakini kwa maoni yangu.....kama marehemu hawakupenda kujulikana uhalisia wao....why leo tuwafichue hadharani....? mi naona bora tuwaombee walale kwa amani....coz hata tukiwajua leo ni too late.....huo ni mtazamo wangu.....
You are right Preta......Tuheshimu ID zao. Hapa ndo sababu mleta mada angesema wale wa "Verfied IDs"..
 
MLETA MADA BADILI KICHWA YAHABARI HAO WASHAENDA TUJADILI

[HASHTAG]#MAJINA[/HASHTAG] YAWANA JF WATAKAOFARIKI 2017...
 
Back
Top Bottom