sijaelewa kwenye Age, are you 18 or 78?
tupime jamani,tulipima wengi sasa wakat nachukua majibu nilimuona nesi ananyanya majibu ana hakikisha kama ni yangu by comparing the codes,yaani kadi nyingi zimegongwa positive mmmmmmh jamani,
Huyu tutamkosa mapema sana, yani miaka 18 tayari anapima ukimwi!!!
Ahahah! name calling hairuhusiwi humu JF. soma rules.Ningeonesha tu mr Ndibalema Robert
mbona hilo dole gumba kama si lako vile!!kweli majibu yako hayo!!!Tupime jamani,tulipima wengi sasa wakat nachukua majibu nilimuona nesi ananyanya majibu ana hakikisha kama ni yangu by comparing the codes,yaani kadi nyingi zimegongwa positive mmmmmmh jamani,
Tupime jamani,tulipima wengi sasa wakat nachukua majibu nilimuona nesi ananyanya majibu ana hakikisha kama ni yangu by comparing the codes,yaani kadi nyingi zimegongwa positive mmmmmmh jamani,