Majibu yangu hayo ya HIV

Nikwambie kitu, hayo majibu yawezekana 1) uko posiitive lakini bado vijidudu havijaonekana
2)nesi kakosea kukugongea mhuri badala ya +ve kagonga -ve
3) Hiki ndio cheti chako chako cha mwisho chenye jibu la hivyo.

SASA NAKUSHAURI UMUOMBE MUNGU AKUNUSURU USIPITE KWENYE NJIA MBAYA, EPUKA MATUMIZI YA VITU VYENYE NCHA KALI, KULA VITU VYENYE KUONGEZA DAMU ILI USIONGEZEWE DAMU.
OTHERWISE HONGERAAAAA
 
Tupime jamani,tulipima wengi sasa wakat nachukua majibu nilimuona nesi ananyanya majibu ana hakikisha kama ni yangu by comparing the codes,yaani kadi nyingi zimegongwa positive mmmmmmh jamani,
una miaka 18 au 78?
 
mara zote nilizopima sikupewa karatasi yeyote wala cheti..huu utakua uzushi/

Ukweli hupatiwi cheti kwani wanasema uko negative leo lakini kesho waweza kuwa positive. wengi waliopewa vyeti mwanzoni walivitumia kudanganyia watu hata baada ya kuwa waathirika . Cheti hupatiwi popote pale Tanzania. Hata wanandoa siku hizi madaktari wanakataa kuwapa vyeti after kupima. Dogo kadanganye kwingine.
 
Hebu waambie na wengine wanaojiandaa kudisplay vyeti vyao humu. mxxxu halafu Mrembo by Nature mwambie muhudumu akupe soda bili kwangu kwa kuwaokoa wanaMMU na udanganyifu huu
 
Last edited by a moderator:
Hebu waambie na wengine wanaojiandaa kudisplay vyeti vyao humu. mxxxu halafu Mrembo by Nature mwambie muhudumu akupe soda bili kwangu kwa kuwaokoa wanaMMU na udanganyifu huu
Sista hahaha itume hiyo soda kwa tigo pesa bwana......Hajui watu mjini tumekuja na gari la tangawizi enzi hizoooooooooooo zao hilo ndio limeanza kulimwa milimani. Hadi leo Mjini tupo tu tunatokea huku tunaingilia huku leo uje ku nidanganyana na majibu ya ngoma?? eti cheti.....akwende hukoo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom