Majibu yangu hayo ya HIV

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
Tupime jamani,tulipima wengi sasa wakat nachukua majibu nilimuona nesi ananyanya majibu ana hakikisha kama ni yangu by comparing the codes,yaani kadi nyingi zimegongwa positive mmmmmmh jamani,
 
Attachments

  • Hindu mandal.jpg
    Hindu mandal.jpg
    24.5 KB · Views: 734
vitu hivi mkuu huwa ni binafsi hata hivyo hongera kwa kuwa na afya ya kuridhisha
 
Unapima kwa sababu unaogopa kufa kwa ukimwi. Mimi Najua kifo kibaya nikufa na dhambi ukaenda jehanam la milele, unaweeza toka kupima lakini ukagongwa na gari, je wajue utakuwa umekufa mwili na roho, hata Kama majibu ni-ve haitakusaidia geuka sasa pata tumaini jema mpokee Yesu utakuwa na uzima wa milele
 
tupime jamani,tulipima wengi sasa wakat nachukua majibu nilimuona nesi ananyanya majibu ana hakikisha kama ni yangu by comparing the codes,yaani kadi nyingi zimegongwa positive mmmmmmh jamani,

aisee....
 
Tupime jamani,tulipima wengi sasa wakat nachukua majibu nilimuona nesi ananyanya majibu ana hakikisha kama ni yangu by comparing the codes,yaani kadi nyingi zimegongwa positive mmmmmmh jamani,
mbona hilo dole gumba kama si lako vile!!kweli majibu yako hayo!!!
 
Tupime jamani,tulipima wengi sasa wakat nachukua majibu nilimuona nesi ananyanya majibu ana hakikisha kama ni yangu by comparing the codes,yaani kadi nyingi zimegongwa positive mmmmmmh jamani,

Ukutwe negative au positive, haina uhusiano wowote na afya yako. Kapime sehemu tofauti tofauti kama 10 halafu ulete majibu ndiyo utaamini ninaposema ukutwe positive au negative haina uhusiano wowote na afya yako.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom