Majibu ya mke wangu haya hapa

Majibu ya mke wangu haya hapa

Nadhani ndoa ni taasisi inayoanza kukosa nguvu na umuhimu katika jamii.

Mkapata hadi muda wa kuwajadili maex wawili, haha maex wawili wa my wife wako? How ironic!!
 
Heb imagine.
Like hoooowwwww?
 
Mwende wote kama
Unamwachaje aende mwenyewe?

Hivi tukijaga mjini siku 3 tu mnajihisi mpo mahabusu,, huku kijijini mnavotaka mkae mwezi mzima ili mmalize tulivyo vivuna sio?
 
Ikitokea ukawafahamu Unafanyaje?
Niwafahamu ili iweje. Utakufa mapema kwa stress. Ikitokea bahati mbaya nikamfumania (wakifanya mapenzi) ndio nitajua cha kufanya maana kwasasa hata siwazi kufuatilia mienendo yake, as long as ananiheshimu.
 
Alishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.

Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale nikachomekea neno, Mke wangu unaenda kwenu utakaa mwezi mzima, Ma Ex wako wawili ninaowafahamu wapo kule chondechonde usiende kuwapa tunda,amejibu...Sitatoka nyumbani mpaka siku nitakaporudi huku, Kwahiyo sitoweza kuonana nao, nikauliza,Je haiwezi ikatokea bahati mbaya mkaonana?

Akajibu hapana haiwezekani, nikamwambia wao wanaweza wakakuona wakamtuma mtu kwako au kuomba namba ya simu, akajibu.,..hapana hawawezi kufanya hivyo, Baada ya majibu haya nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima, baada ya majibu hayo nimemsisitiza sana ikitokea akaonana nao na wakamuomba tunda basi ajitahidi asije akacheka mechi pekupeku.

Sasa yeye kakasirika eti simwamini nahisi yeye ni malaya Kwahiyo hataenda kwao,tusaidieni katika hili jamani Nani mwenye kosa kati yetu?nilitarajia ataniambia anajiamini na hata akionana nao hatakuwa na muda nao lakini majibu yamekuwa kinyume na matarajio yangu.

Nunua hauwezi P9, or IPhone any brand and weka namna ya kumdukua; muweke sawa aende; kazi kwisha, huyo ajatulia!

Yani solution ya kutoharibu ndo kutotoka ndani? Hapana hapo anakuibia huyo, na sijui kama huko ana survive!

Hayo uliyomwambia ya kinga bla bla bla ni kweli umemkosea heshima na mwomba samahani!
 
Samahani wana ndoa sana sana wanaume.

Unaanzaje kumuoa mwanamke ambae hujajihakikishia kuwa haupigiwi?

Una umri gani? Maana hii pumba umeongea hatuwezi kukusamehe kama ni over 18!
 
  • Thanks
Reactions: T11
Alishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.

Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale nikachomekea neno, Mke wangu unaenda kwenu utakaa mwezi mzima, Ma Ex wako wawili ninaowafahamu wapo kule chondechonde usiende kuwapa tunda,amejibu...Sitatoka nyumbani mpaka siku nitakaporudi huku, Kwahiyo sitoweza kuonana nao, nikauliza,Je haiwezi ikatokea bahati mbaya mkaonana?

Akajibu hapana haiwezekani, nikamwambia wao wanaweza wakakuona wakamtuma mtu kwako au kuomba namba ya simu, akajibu.,..hapana hawawezi kufanya hivyo, Baada ya majibu haya nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima, baada ya majibu hayo nimemsisitiza sana ikitokea akaonana nao na wakamuomba tunda basi ajitahidi asije akacheka mechi pekupeku.

Sasa yeye kakasirika eti simwamini nahisi yeye ni malaya Kwahiyo hataenda kwao,tusaidieni katika hili jamani Nani mwenye kosa kati yetu?nilitarajia ataniambia anajiamini na hata akionana nao hatakuwa na muda nao lakini majibu yamekuwa kinyume na matarajio yangu.

Yaani unawajua kabisa waliomfumua mkeo?
 
We bana mkeo mwache aje huku tupashe kiporo, by the way kuna kamchele hapa kilo 20 atarudi nako usikonde
 
Dooh ukute kashawapanga ma ex wake wooote hadi ambao huwajui kuwa anarudi wajiandae, utafurahi
 
Back
Top Bottom