Umessma ukweli mtupu mkuuNgono/sex ni sehemu ndogo sana katika ndoa. Sex hudumu masaa labda 4 katika saa 24 sa siku, sasa hizo saa 20 bila sex ndio ndoa yenyewe. Just imagine mnafanya tendo mara 2 kila baada ya siku saba.
Kadri umri unavyozidi songa ndio unaona sex ni jambo la kawaida sana.
Aleyn ngoja ukiwa mkubwa utaelewa hili
Kuna watu mna mioyo ya kipekee sana. Mimi hata sitaki kuwafahamu kabisa iwe kw majina au kwa sura au wanapoishi au idadi yao. Utakufa siku si zako.Alishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.
Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale nikachomekea neno, Mke wangu unaenda kwenu utakaa mwezi mzima, Ma Ex wako wawili ninaowafahamu wapo kule chondechonde usiende kuwapa tunda,amejibu...Sitatoka nyumbani mpaka siku nitakaporudi huku, Kwahiyo sitoweza kuonana nao, nikauliza,Je haiwezi ikatokea bahati mbaya mkaonana?
Akajibu hapana haiwezekani, nikamwambia wao wanaweza wakakuona wakamtuma mtu kwako au kuomba namba ya simu, akajibu.,..hapana hawawezi kufanya hivyo, Baada ya majibu haya nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima, baada ya majibu hayo nimemsisitiza sana ikitokea akaonana nao na wakamuomba tunda basi ajitahidi asije akacheka mechi pekupeku.
Sasa yeye kakasirika eti simwamini nahisi yeye ni malaya Kwahiyo hataenda kwao,tusaidieni katika hili jamani Nani mwenye kosa kati yetu?nilitarajia ataniambia anajiamini na hata akionana nao hatakuwa na muda nao lakini majibu yamekuwa kinyume na matarajio yangu.
Hee kweli?Kuna watu mna mioyo ya kipekee sana. Mimi hata sitaki kuwafahamu kabisa iwe kw majina au kwa sura au wanapoishi au idadi yao. Utakufa siku si zako.
Kosa langu ni lipi?
MsonyoSamahani shemeji, hivi hili neno "mfyuuuu" hua linamaanisha ushuzi ama upepo ama pumzi ama pancha...??[emoji848][emoji848]
Ni wa watu sio wa mtuMtoa post wewe hupaswi kuwa na wivu maana mke uliomuoa ni mke wa mtu tayari,,sasa unakuaje na wivu na mke wa mtu
Mie nitamlinda mkeo kwa laki 5 tu,Tangazo tangazo
Tunatoa ulinzi kwa wale wasio waamini wapenzi wao
Kwa siku ni milioni moja tu
Upi mkuu?
Ongeza sauti aunty.Watu wazima kama watoto mfyuuuuu
Ikitokea ukawafahamu Unafanyaje?Kuna watu mna mioyo ya kipekee sana. Mimi hata sitaki kuwafahamu kabisa iwe kw majina au kwa sura au wanapoishi au idadi yao. Utakufa siku si zako.
Alishawahi kunasaMwache aende aafu tafta namba mpya ujaribu kutupia nyavu akikubali ujue umeoa Mali ya Umma
Kosa lake yeye?
Kazi kwelikweliAlishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.
Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale nikachomekea neno, Mke wangu unaenda kwenu utakaa mwezi mzima, Ma Ex wako wawili ninaowafahamu wapo kule chondechonde usiende kuwapa tunda,amejibu...Sitatoka nyumbani mpaka siku nitakaporudi huku, Kwahiyo sitoweza kuonana nao, nikauliza,Je haiwezi ikatokea bahati mbaya mkaonana?
Akajibu hapana haiwezekani, nikamwambia wao wanaweza wakakuona wakamtuma mtu kwako au kuomba namba ya simu, akajibu.,..hapana hawawezi kufanya hivyo, Baada ya majibu haya nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima, baada ya majibu hayo nimemsisitiza sana ikitokea akaonana nao na wakamuomba tunda basi ajitahidi asije akacheka mechi pekupeku.
Sasa yeye kakasirika eti simwamini nahisi yeye ni malaya Kwahiyo hataenda kwao,tusaidieni katika hili jamani Nani mwenye kosa kati yetu?nilitarajia ataniambia anajiamini na hata akionana nao hatakuwa na muda nao lakini majibu yamekuwa kinyume na matarajio yangu.
Hicho Kijiji kipo huko kaskazini ama huku kanda ya ziwa...??🤔🤔Msonyo