Majibu ya mke wangu haya hapa

Majibu ya mke wangu haya hapa

We nae ni Chakubanga bado una mapenzi ya kitoto,unapata wapi muda wa kuzungumza na mkeo kuhusu Ex wake, kuongea tu hivyo tayari umeshampa ridhaa ya kuonana nao,huenda yeye hakuwa hata na fikra juu ya hao,ndo shida ya watoto wadogo kukimbilia kuoa,unaleta mada za ajabu!
 
We nae ni Chakubanga bado una mapenzi ya kitoto,unapata wapi muda wa kuzungumza na mkeo kuhusu Ex wake, kuongea tu hivyo tayari umeshampa ridhaa ya kuonana nao,huenda yeye hakuwa hata na fikra juu ya hao,ndo shida ya watoto wadogo kukimbilia kuoa,unaleta mada za ajabu!
Yule mbunge au?
 
Ulitakiwa uhakikishe unaoa mwanamke ambaye hana maex au maex wake wameshakufa!
Sio rahisi mwanamke achomoe kwa mtu wake wa kipindi cha nyuma sababu wakionana wakichekeana tu kila mmoja anakumbukia vitu fulani vidogovidogo kipindi wananyanduana. Wanawake wengine hadi wanaloana kabisa kitendo cha kukutanisha macho 😊😊😊
Dunia ibaki na watu wawili basi
 
Na unampa rukhsa mkeo aliwe na maex wako ila asisahau kuvaa ndom? 😳😳😳 ameshawahi kuliwa mkiwa pamoja? Na kama unajua ana hizo tabia za kugawa hovyo hovyo kwanini ulimuoa?
Imagine.

Ila umemissiwa na mimi kiukweli
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Alishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.

Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale nikachomekea neno, Mke wangu unaenda kwenu utakaa mwezi mzima, Ma Ex wako wawili ninaowafahamu wapo kule chondechonde usiende kuwapa tunda,amejibu...Sitatoka nyumbani mpaka siku nitakaporudi huku, Kwahiyo sitoweza kuonana nao, nikauliza,Je haiwezi ikatokea bahati mbaya mkaonana?

Akajibu hapana haiwezekani, nikamwambia wao wanaweza wakakuona wakamtuma mtu kwako au kuomba namba ya simu, akajibu.,..hapana hawawezi kufanya hivyo, Baada ya majibu haya nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima, baada ya majibu hayo nimemsisitiza sana ikitokea akaonana nao na wakamuomba tunda basi ajitahidi asije akacheka mechi pekupeku.

Sasa yeye kakasirika eti simwamini nahisi yeye ni malaya Kwahiyo hataenda kwao,tusaidieni katika hili jamani Nani mwenye kosa kati yetu?nilitarajia ataniambia anajiamini na hata akionana nao hatakuwa na muda nao lakini majibu yamekuwa kinyume na matarajio yangu.
Kuchapiwa ni siri ya ndani,[emoji444][emoji444]kawimbo katamu hatari
 
Wapi nimesema kuwa wazungu ni bora?Unajua kusoma?Inawezekana vipi ujitungie sentensi yako halafu usaksie kuwa ni mimi nimesema?!
Sio lazima useme moja kwa moja

Nimetafsiri mawazo yako tu
 
Back
Top Bottom