Majibu ya mke wangu haya hapa

Majibu ya mke wangu haya hapa

Hahaaa,uma umawafahamu maex wa huko vp akiamua kukaa siku kadhaa na maex wa hapo mlipo? Mwanamke hachungwi akiamua kutoa hata ufanyeje atatoa tu
 
Alishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.

Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale nikachomekea neno, Mke wangu unaenda kwenu utakaa mwezi mzima, Ma Ex wako wawili ninaowafahamu wapo kule chondechonde usiende kuwapa tunda,amejibu...Sitatoka nyumbani mpaka siku nitakaporudi huku, Kwahiyo sitoweza kuonana nao, nikauliza,Je haiwezi ikatokea bahati mbaya mkaonana?

Akajibu hapana haiwezekani, nikamwambia wao wanaweza wakakuona wakamtuma mtu kwako au kuomba namba ya simu, akajibu.,..hapana hawawezi kufanya hivyo, Baada ya majibu haya nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima, baada ya majibu hayo nimemsisitiza sana ikitokea akaonana nao na wakamuomba tunda basi ajitahidi asije akacheka mechi pekupeku.

Sasa yeye kakasirika eti simwamini nahisi yeye ni malaya Kwahiyo hataenda kwao,tusaidieni katika hili jamani Nani mwenye kosa kati yetu?nilitarajia ataniambia anajiamini na hata akionana nao hatakuwa na muda nao lakini majibu yamekuwa kinyume na matarajio yangu.
Mbona haujiamini kiongozi
 
Hahaaa,uma umawafahamu maex wa huko vp akiamua kukaa siku kadhaa na maex wa hapo mlipo? Mwanamke hachungwi akiamua kutoa hata ufanyeje atatoa tu
Kweli kabisa popote anatoa,nawashangaa wanaosema nisimmruhusu akakae mwezi mzima
 
App zipi zinaweza kutrack sim kwa uhakika
Hii kitu msiichukulie mzaha kabisa wanawake wengi wanaosafiri kwenda kwao mwezi mzima uwezekano wa kuliwa na ma x wao ni 150%
tena kwa majibu hayo ya mkewe ameonyesha ni dhaifu sana ambaye akikutana tu na x wake njiani hapo hapo analoa kama mbwa akikutana na chatu anamfuata mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushauri wangu kama anatumia smart phone jaribu kutrak simu yake kwa app zenye uwezo wa kurecord calls, text, whatsapp, location, contacts, gallery nk.
Hapo unao uwezo wa kujua kila kitu cha msingi asijue kama umetrack simu yake na ujifanye umemwamini sana hata akiwa huko ukigundua anawasiliana na jamaa we kausha mpaka ukusanye ushahidi wa kutosha then siku akirudi weka ushahidi mezani kisha mpige chini.!
 
Mbwa dume, hapa nime note jambo muhimu, hawa wanawake kwa sababu hawaaminiki na huu ndio wakati wa kwenda makwao, naomba unielekeza namna ya kupata hiyo connection ya kufuatilia simu yake, wa kwangu asubuhu hii ameondoka kwenda safari ambapo atakaa siku tatu, nifanyie hizo app tafadhari
 
Alishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.

Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale nikachomekea neno, Mke wangu unaenda kwenu utakaa mwezi mzima, Ma Ex wako wawili ninaowafahamu wapo kule chondechonde usiende kuwapa tunda,amejibu...Sitatoka nyumbani mpaka siku nitakaporudi huku, Kwahiyo sitoweza kuonana nao, nikauliza,Je haiwezi ikatokea bahati mbaya mkaonana?

Akajibu hapana haiwezekani, nikamwambia wao wanaweza wakakuona wakamtuma mtu kwako au kuomba namba ya simu, akajibu.,..hapana hawawezi kufanya hivyo, Baada ya majibu haya nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima, baada ya majibu hayo nimemsisitiza sana ikitokea akaonana nao na wakamuomba tunda basi ajitahidi asije akacheka mechi pekupeku.

Sasa yeye kakasirika eti simwamini nahisi yeye ni malaya Kwahiyo hataenda kwao,tusaidieni katika hili jamani Nani mwenye kosa kati yetu?nilitarajia ataniambia anajiamini na hata akionana nao hatakuwa na muda nao lakini majibu yamekuwa kinyume na matarajio yangu
Wewe ni fala mno, bado hujakua .
 
Samahani wana ndoa sana sana wanaume.

Unaanzaje kumuoa mwanamke ambae hujajihakikishia kuwa haupigiwi?
Wewe bwana uhakika wa kutokugegedewa haupo labda kama ulioa bikra lakini sio hawa wa breki ya kwanza p.u.mbu
 
Nishawah ambiwa ukitaka mpenzi akuheshimu mpe uhuru yaani usmfatiiliee hata ukmfumania muangalie alafu potezea tuu
 
Mkuu unaweza ku apply hii senario ?, yaani umfumanie halafu uchekelee ???ukiamini kwamba atakuheshimia ??,
 
Back
Top Bottom