Majibu ya mke wangu haya hapa

Majibu ya mke wangu haya hapa

Alishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.

Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale nikachomekea neno, Mke wangu unaenda kwenu utakaa mwezi mzima, Ma Ex wako wawili ninaowafahamu wapo kule chondechonde usiende kuwapa tunda,amejibu...Sitatoka nyumbani mpaka siku nitakaporudi huku, Kwahiyo sitoweza kuonana nao, nikauliza,Je haiwezi ikatokea bahati mbaya mkaonana?

Akajibu hapana haiwezekani, nikamwambia wao wanaweza wakakuona wakamtuma mtu kwako au kuomba namba ya simu, akajibu.,..hapana hawawezi kufanya hivyo, Baada ya majibu haya nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima, baada ya majibu hayo nimemsisitiza sana ikitokea akaonana nao na wakamuomba tunda basi ajitahidi asije akacheka mechi pekupeku.

Sasa yeye kakasirika eti simwamini nahisi yeye ni malaya Kwahiyo hataenda kwao,tusaidieni katika hili jamani Nani mwenye kosa kati yetu?nilitarajia ataniambia anajiamini na hata akionana nao hatakuwa na muda nao lakini majibu yamekuwa kinyume na matarajio yangu.
Kama hao jamaa walikuwa wanamla kabla yako lazima yupo aliyempenda zaidi na lazima wakionana atamla tu hata iweje na hilo ndo tatizo la wanawake wengi kwa sasa hasa ambao mmeoa wanawake ambao sio bikra hawanaga ujasiri huo kwanza hapo amemmisi sana x wake siku akifika tu ataanza kuwatafuta mwenyewe ili abadirishe radha maaana amemiss shoo za nje[emoji1787][emoji1787]
Na hapo mwezi mzima anaweza kurudi na mimba na hivi vijamaa vya kijijini kwao huwa vina nguvu kuliko nyie wa Dar ambao mnashindia chipsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa yangu hapo sentensi yako mwishoni umewatukana wengi, unajua kwamba wapo na akina Gentamycine huko Dar ?, usije ukapigwa !!
 
Yaani unawajua kabisa waliomfumua mkeo?
Halafu ukute vijamaa vya kijijini kwao vichafu vichafu vichunga mifugo halafu havijatahiriwa hivyo vinakula dona na maziwa kila siku kakimkamata mkeo kanapiga bao 12 anaamka amekusahau kabisa hata ukimpigia simu umsalimie akakuwa na majibu ya mkato hivi hapo jiongeze[emoji1787]
 
Hii kitu msiichukulie mzaha kabisa wanawake wengi wanaosafiri kwenda kwao mwezi mzima uwezekano wa kuliwa na ma x wao ni 150%
tena kwa majibu hayo ya mkewe ameonyesha ni dhaifu sana ambaye akikutana tu na x wake njiani hapo hapo analoa kama mbwa akikutana na chatu anamfuata mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushauri wangu kama anatumia smart phone jaribu kutrak simu yake kwa app zenye uwezo wa kurecord calls, text, whatsapp, location, contacts, gallery nk.
Hapo unao uwezo wa kujua kila kitu cha msingi asijue kama umetrack simu yake na ujifanye umemwamini sana hata akiwa huko ukigundua anawasiliana na jamaa we kausha mpaka ukusanye ushahidi wa kutosha then siku akirudi weka ushahidi mezani kisha mpige chini.!
 
Alishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.

Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale nikachomekea neno, Mke wangu unaenda kwenu utakaa mwezi mzima, Ma Ex wako wawili ninaowafahamu wapo kule chondechonde usiende kuwapa tunda,amejibu...Sitatoka nyumbani mpaka siku nitakaporudi huku, Kwahiyo sitoweza kuonana nao, nikauliza,Je haiwezi ikatokea bahati mbaya mkaonana?

Akajibu hapana haiwezekani, nikamwambia wao wanaweza wakakuona wakamtuma mtu kwako au kuomba namba ya simu, akajibu.,..hapana hawawezi kufanya hivyo, Baada ya majibu haya nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima, baada ya majibu hayo nimemsisitiza sana ikitokea akaonana nao na wakamuomba tunda basi ajitahidi asije akacheka mechi pekupeku.

Sasa yeye kakasirika eti simwamini nahisi yeye ni malaya Kwahiyo hataenda kwao,tusaidieni katika hili jamani Nani mwenye kosa kati yetu?nilitarajia ataniambia anajiamini na hata akionana nao hatakuwa na muda nao lakini majibu yamekuwa kinyume na matarajio yangu.
Duh! Yaani unatushirikisha tujadili mavi uliyoandika hapa?!!
 
Yule jamaa wa uzi wa kuoa bikira, mtag nimuone
 
Tuanzie na mtoa Uzi wewe ex wako angekuja kijijini wenu kula xmas ungemuacha ? Malipo ni hapa hapa Duniani
 
Ukioa malaya,umeoa malaya

Ukioa sio malaya,umeoa sio malaya

Simple.
 
Back
Top Bottom