Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,154
- 11,214
Ni binadamu karibu wote waliokamilika.....penzi.....pesa !Wananchi wa Tanzania wanathamini nyuchi kuliko chochote kile!

Umemaliza kila kituNdoa za utotoni bado ni janga la Taifa
Wazungu huwa hawana wivu wa kijinga namna hiyo!Ni binadamu karibu wote waliokamilika.....penzi.....pesa !
Sio lazima watu wanatofautiana majukumu, we kila mwanamke kwenda kwao unaongozana naye kwani umeolewa kwao???We unamruhusuje asafiri aende kwao peke yake? tuanzie hapo kwanza. Kiutaratibu mnasafiri kama familia halafu mnakaa siku mbili tatu halafu mnaamsha.
Dah 🤣🤣🤣🤣🤦🏽♂️nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima
Huyo kakupunguzia ghrama sa safari (nauli) na zawadi ulizowandalia wazazi (wakwe zako)Alishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.
Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale nikachomekea neno, Mke wangu unaenda kwenu utakaa mwezi mzima, Ma Ex wako wawili ninaowafahamu wapo kule chondechonde usiende kuwapa tunda,amejibu...Sitatoka nyumbani mpaka siku nitakaporudi huku, Kwahiyo sitoweza kuonana nao, nikauliza,Je haiwezi ikatokea bahati mbaya mkaonana?
Akajibu hapana haiwezekani, nikamwambia wao wanaweza wakakuona wakamtuma mtu kwako au kuomba namba ya simu, akajibu.,..hapana hawawezi kufanya hivyo, Baada ya majibu haya nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima, baada ya majibu hayo nimemsisitiza sana ikitokea akaonana nao na wakamuomba tunda basi ajitahidi asije akacheka mechi pekupeku.
Sasa yeye kakasirika eti simwamini nahisi yeye ni malaya Kwahiyo hataenda kwao,tusaidieni katika hili jamani Nani mwenye kosa kati yetu?nilitarajia ataniambia anajiamini na hata akionana nao hatakuwa na muda nao lakini majibu yamekuwa kinyume na matarajio yangu.
Tatizo binadamu ni wabishi sanaUngeoa Bikra[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].... Jokha Jeusi
Bikra yeye ndo kabisaaaUngeoa Bikra[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].... Jokha Jeusi
Acha ujingaMimi nikioa 'mke wangu ataenda kwao kukaa mda mrefu kuanzia wiki 2 endapo kama atakuwa na mimba ya miezi zaidi ya 6 lasivyo basi labda awe na mtoto mdogo anayenyonya chini yamwaka 1' Lakini hivi hivi siwezi ruhusu mke wangu aende kwao pekeake.
Wanatiwa hawa ohoooo shauri lako
Anatishia kununa siyo. Pokea kabisa nauli asiende.Alishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.