Buzi Maarufu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 422
- 330
- Thread starter
- #61
Nakubali,nataka niwe ngangari Sasa ,nifanyaje?Wewe ni mdhaifu sana.
Nakubali,nataka niwe ngangari Sasa ,nifanyaje?Wewe ni mdhaifu sana.
Yeye je anajiamini ?Wewe ndio hujiamini
Funguka mkuuUkibahatika kupata mwanamke mwenye akili ya maisha kila kitu unakuwa umemaliza
Wapi nimesema kuwa wazungu ni bora?Unajua kusoma?Inawezekana vipi ujitungie sentensi yako halafu usaksie kuwa ni mimi nimesema?!Huwa mnawaona wazungu kila chao ni bora
Ulimkuta ni bikira?Samahani wana ndoa sana sana wanaume.
Unaanzaje kumuoa mwanamke ambae hujajihakikishia kuwa haupigiwi?
Mngesubiri mkue kwanza ndo muoane
Sasa we kwa akili zako ukajua ukimuuliza ndo utajua atapasha au hatapasha?Waliokomaa akili ruksa mkewe kupasha uporo na Ex wake?
We wako umejihakikishia haupigiwi?Samahani wana ndoa sana sana wanaume.
Unaanzaje kumuoa mwanamke ambae hujajihakikishia kuwa haupigiwi?
Nina miaka 52 tu ya umri ila kwenye ndoa nina miaka mitatuUnaweza kukuta ana umri mkubwa tu lakini akili imedumaa kwenye miaka 6.
Wewe Lofa, watu hatuna hela wewe unajadiri Utopolo ?, yaani hayo majibu mkeo anakuona boya na wewe unaona anasema ukweli, kalagabahoAlishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema.
Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale nikachomekea neno, Mke wangu unaenda kwenu utakaa mwezi mzima, Ma Ex wako wawili ninaowafahamu wapo kule chondechonde usiende kuwapa tunda,amejibu...Sitatoka nyumbani mpaka siku nitakaporudi huku, Kwahiyo sitoweza kuonana nao, nikauliza,Je haiwezi ikatokea bahati mbaya mkaonana?
Akajibu hapana haiwezekani, nikamwambia wao wanaweza wakakuona wakamtuma mtu kwako au kuomba namba ya simu, akajibu.,..hapana hawawezi kufanya hivyo, Baada ya majibu haya nikagundua mke wangu ni dhaifu sana hana msimamo ndio maana ananiambia atakaa nyumbani tu ili asionane na hao watu, tafsiri yake ni kwamba akionana nao wakamuomba uporo hawatawanyima, baada ya majibu hayo nimemsisitiza sana ikitokea akaonana nao na wakamuomba tunda basi ajitahidi asije akacheka mechi pekupeku.
Sasa yeye kakasirika eti simwamini nahisi yeye ni malaya Kwahiyo hataenda kwao,tusaidieni katika hili jamani Nani mwenye kosa kati yetu?nilitarajia ataniambia anajiamini na hata akionana nao hatakuwa na muda nao lakini majibu yamekuwa kinyume na matarajio yangu.
Kupigiwa kunaweza kukatokea wakati wowote ule..Samahani wana ndoa sana sana wanaume.
Unaanzaje kumuoa mwanamke ambae hujajihakikishia kuwa haupigiwi?
Af usikute uko serious.Nina miaka 52 tu ya umri ila kwenye ndoa nina miaka mitatu
Nina miaka 52 tu ya umri ila kwenye ndoa nina miaka mitatu
Ngono/sex ni sehemu ndogo sana katika ndoa. Sex hudumu masaa labda 4 katika saa 24 sa siku, sasa hizo saa 20 bila sex ndio ndoa yenyewe. Just imagine mnafanya tendo mara 2 kila baada ya siku saba. Sasa huo muda mwingine mtakuwa mnafanya nini?Samahani wana ndoa sana sana wanaume.
Unaanzaje kumuoa mwanamke ambae hujajihakikishia kuwa haupigiwi?
Samahani shemeji, hivi hili neno "mfyuuuu" hua linamaanisha ushuzi ama upepo ama pumzi ama pancha...??🤔🤔Watu wazima kama watoto mfyuuuuu