Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
- Thread starter
- #61
Haapa nasoma lawama tupu. Ningekuona tofauti na Kikwete kama angalau paragraf moja ungetoa mapendekezo ya ufumbuzi wa tatizo la umeme TZ, AMA LIWE LA MUDA MFUPI AU LA KUDUMU.
Huwa napata kichefuchefu kusoma taarifa kama hizo kwani hazina tija wala faraja. Isitoshe zinaonyesha jinsi watanzania au kwa ukika zaidi wanaJF wanavyofanana akili zao. Baya zaidi ni kila utapofungua mada utakuta hali hiyo hiyo hata kwa wale tuliowaamini sana na kuwaita WASOMI WA JF.
Kweli NYANI HAONI KUNDULE!
Zawadi,
Uliposoma hili, ulikuwa unasoma kwa minajili gani? Nitoe solution gani kuchambua majibu ya Rais ambacho hakuna mtu ambaye katoa japo suluhisho? Je hukusoma alivyojibu kwa dharau mapendekezo ya Mnyika? Je hilo halitoshi kukuonyesha kuwa Rais wetu anapuuzia na hajali ushauri wa watu?
Basi kukuongezea kichefuchefu chako, kasome hizi mada nilizoziandika kuhusiana na tatizo la umeme. Ukishatapika, nitumie ujumbe nije kupiga deki matapishi yako na labda nitaona kun dulo.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/155484-the-100megawatt-syndrome.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-upepo-kenya-waendelea-kutuzidi-maarifa.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/119493-kiza-giza-totoro-la-******.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...er-crisis-in-tanzania-who-is-responsible.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/102048-kenya-wanafanikisha-sisi-tuna-matatizo-gani.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/25712-tamasha-la-umeme-wa-upepo-duniani.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/20471-umeme-na-nishati-tatizo-sugu-tanzania.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/11206-wito-maji-na-umeme;-pesa-za-epa-zitunusuru.html
Kasome kwa furaha au majonzi!