Majibu ya Kikwete na BBC: Tumevuna tulichokipanda

Haapa nasoma lawama tupu. Ningekuona tofauti na Kikwete kama angalau paragraf moja ungetoa mapendekezo ya ufumbuzi wa tatizo la umeme TZ, AMA LIWE LA MUDA MFUPI AU LA KUDUMU.

Huwa napata kichefuchefu kusoma taarifa kama hizo kwani hazina tija wala faraja. Isitoshe zinaonyesha jinsi watanzania au kwa ukika zaidi wanaJF wanavyofanana akili zao. Baya zaidi ni kila utapofungua mada utakuta hali hiyo hiyo hata kwa wale tuliowaamini sana na kuwaita WASOMI WA JF.

Kweli NYANI HAONI KUNDULE!

Zawadi,

Uliposoma hili, ulikuwa unasoma kwa minajili gani? Nitoe solution gani kuchambua majibu ya Rais ambacho hakuna mtu ambaye katoa japo suluhisho? Je hukusoma alivyojibu kwa dharau mapendekezo ya Mnyika? Je hilo halitoshi kukuonyesha kuwa Rais wetu anapuuzia na hajali ushauri wa watu?

Basi kukuongezea kichefuchefu chako, kasome hizi mada nilizoziandika kuhusiana na tatizo la umeme. Ukishatapika, nitumie ujumbe nije kupiga deki matapishi yako na labda nitaona kun dulo.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/155484-the-100megawatt-syndrome.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-upepo-kenya-waendelea-kutuzidi-maarifa.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/119493-kiza-giza-totoro-la-******.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...er-crisis-in-tanzania-who-is-responsible.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/102048-kenya-wanafanikisha-sisi-tuna-matatizo-gani.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/25712-tamasha-la-umeme-wa-upepo-duniani.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/20471-umeme-na-nishati-tatizo-sugu-tanzania.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/11206-wito-maji-na-umeme;-pesa-za-epa-zitunusuru.html

Kasome kwa furaha au majonzi!
 
Baelezee Engineer.Lakini...hivi hatuna qualified Engineers pale TANESCO??
Tupo consultant japo kwa sasa tunaconsult .....tatizo la umeme na ukuaji wa demand ya nishati hiyo vimeelezwa kwa kina tangu huko nyuma, na wizarani kuna maengineer kaka yangu Ngosi Mwihava..... mwadila!!
 
Nina uhakika mtangazaji alicheka sana baada ya ile interview,maana it was very low kwa majibu yaliyokuwa yanatolewa.Hivi huyu rais kweli anaweza kwenda kwenye "Hard Talk" hata kwa dk 5 tu? Jamani BBC hii aibu tuachieni wenyewe tuhangaike na zigo letu sijui mpk (2015?)lini?
 
Anaapodai kuwa mitambo ya kuzalisha umeme haijengwi siku moja, je kasahau kilio cha Mchungaji mwaka 2006 alipoomba Rais akutane na GE akienda Marekani
Mataifa yanapata viongozi wanaowastahili.

Nimetafuta maoni ya mwandishi kuhusu Rais afanye nini, sio alipokuwa Waziri wa Nishati mwaka 47, Rais angefanya nini sasa hivi au toka ashike hatamu 2005, sijaona zaidi ya kumshauri aende Marekani kuongea na GE. Kwanza, GE ndio nani, anamfanyia nini nani, anaweza lipi ambalo wewe Mtanzania hukijui toka uhuru. Sijui kasoma wapi huyu GE wa Marekani, sijui ni nani huyu.

Nabahatisha lakini nimewahi kumsikia mmoja mwenye jina kama hilo anaetengeneza masufuria ya kupikia ubwabwa kwa umeme na makabati ya kutunza viporo vya maharage visiharibiwe na joto, lakini kama ndo huyo, basi wewe na yeye Kikwete wote lenu moja katika sera ya kuzunguka duniani kutafuta michango ya mawazo ya chakufanya. Tena haiyumkini Kikwete ana ahuaeni maana walau yeye kawatafuta Symbion wenye wataalam wa kutafuta na kuiba vyanzo vya nuklia za Africa katika Paul Wilson, labda watatugundulia umeme wa Nuklia. Wewe huwezi kukosoa Kikwete alichowaambia BBC.

Mtanzania wa leo hii anaeguswa na adha za nchi hii, tena mwenye vina na weledi wa ufuatiliaji mambo kama wa Rev. Kishoka, anapendekeza tatuzi la majanga ya nishati ya Taifa letu ni kwa Rais , tena anasema anamlilia Rais Kikwete afanye hivyo, akatembelee Marekani kuongea na kampuni liliobobea katika, kati ya nyenzo nyingine anuwai, kutengeneza mashine za kukatia vinyweleo kwa umeme. Hili ndio tatizo letu miaka 50 baada ya uhuru, kwamba Rais Kikwete na watu wake anaewaongoza ni wale wale, na aliyesema "Nations get the leaders they deserve" hakukosea hata kidogo, hata kidogo.

Haapa nasoma lawama tupu. Ningekuona tofauti na Kikwete kama angalau paragraf moja ungetoa mapendekezo ya ufumbuzi wa tatizo la umeme TZ, AMA LIWE LA MUDA MFUPI AU LA KUDUMU.

Huwa napata kichefuchefu kusoma taarifa kama hizo kwani hazina tija wala faraja. Isitoshe zinaonyesha jinsi watanzania au kwa ukika zaidi wanaJF wanavyofanana akili zao. Baya zaidi ni kila utapofungua mada utakuta hali hiyo hiyo hata kwa wale tuliowaamini sana na kuwaita WASOMI WA JF.

Kweli NYANI HAONI KUNDULE!

Kwani hayo mapendekezo ya kina Mnyika ameshayafanyia kazi au unataka nasisi tupoteze muda kumshauri mtu asiyeshaurika? Katika interview ya BBC inaonekana hata hayo mapendekezo ya Mnyika & grp haja yasoma/hayajui; ndio maana hajaweza kuya-crush kwa vipengele yeye anakuwa too general kwenye majibu yake. Eti oh walete tuyafanyie kazi oh please!!! mapendekezo yaliyokwisha letwa mmeyafanyia analysis? Ukweli ni kwamba kwenye ile interview alikuwa na jazba kwasababu majibu yake yalikuwa hayana substance; alikuwa anajaribu kum-intimidate yule mtangazaji. Yule mtangazaji alikuwa very composed wakati yeye anatapatapa. Hata katika kumalizia ile kwaheri yake ilionesha yakishari shari. He was very un-professional. Hataki kuambiwa ukweli, na akiambiwa anapandisha hasira. Well, kwani kazi ya Uraisi si aliitaka mwenyewe?
 
acha hiyo........unajua wanasiasa wetu wotrebni wasanii, muangalie pinda alhamisi bungeni anavyojibu maswali na wabunge wanampongeza "nashukuru kwa majibu yako mazuri mweshimiwa waziri mkuu" upuuzi mtupu na jamaa anavicheko kama vya bosi wake......copying no crreativity............njoo kwa jamaa wa CDM........... wote wanastaili moja ya kuongea............. yaaani nao chai nyingi full CHEAP POLITICS, nenda CUF da hawa nao kina mtatiro yaani wote Lipumba, wapande wa pili full tone ya maalim Seif...........,

Sio Kikwete tu bali hiyo ni Taaswira kuwa hii ni nchi ya wehuuuuuuuuu................. Serekali ya wehuuuuuuuuuuu.................Bunge la Wapumbavuuuuuuuu................. Mahakama ya Majuhaaaaaaaaaaaaaaaa..........., unategemea nini hapo hakuna umeme wala chochote mpaka tutakapoacha unafiki, na kuyatatua matatizo ya wananchi kiukweli, haya wabishaji na wabishe sasa.

NINGEWEZA UJIVUA GAMBA NINGEJIVUA LA URAI WA TZ......MAANA INANIKERA ......... KWELI WAZURI BADO HAWAJAZALIWA TANZANIA(AYI KWEYI AMA)
 
Nitawauliza swali moja dogo sana...
Ikiwa JK hana ridhaa ya watanzania ilikuwaje maandamano ya Mbeya yaliwavutia wananchi wengi huko? na kesho nasikia Arusha pia kuna maandamano mengine Je, hao wananchi wanaolalamika, wanakwenda kuunga mkono kitu gani?..Hivi kweli mtu anayeumia na kulia kilio hiki anatakiwa hata kuandaa maandamano ya kumpongeza JK acha mbali kushirki..
 
Mataifa yanapata viongozi wanaowastahili.

Nimetafuta maoni ya mwandishi kuhusu Rais afanye nini, sio alipokuwa Waziri wa Nishati mwaka 47, Rais angefanya nini sasa hivi au toka ashike hatamu 2005, sijaona zaidi ya kumshauri aende Marekani kuongea na GE. Kwanza, GE ndio nani, anamfanyia nini nani, anaweza lipi ambalo wewe Mtanzania hukijui toka uhuru. Sijui kasoma wapi huyu GE wa Marekani, sijui ni nani huyu.

Nabahatisha lakini nimewahi kumsikia mmoja mwenye jina kama hilo anaetengeneza masufuria ya kupikia ubwabwa kwa umeme na makabati ya kutunza viporo vya maharage visiharibiwe na joto, lakini kama ndo huyo, basi wewe na yeye Kikwete wote lenu moja katika sera ya kuzunguka duniani kutafuta michango ya mawazo ya chakufanya. Tena haiyumkini Kikwete ana ahuaeni maana walau yeye kawatafuta Symbion wenye wataalam wa kutafuta na kuiba vyanzo vya nuklia za Africa katika Paul Wilson, labda watatugundulia umeme wa Nuklia. Wewe huwezi kukosoa Kikwete alichowaambia BBC.

Mtanzania wa leo hii anaeguswa na adha za nchi hii, tena mwenye vina na weledi wa ufuatiliaji mambo kama wa Rev. Kishoka, anapendekeza tatuzi la majanga ya nishati ya Taifa letu ni kwa Rais , tena anasema anamlilia Rais Kikwete afanye hivyo, akatembelee Marekani kuongea na kampuni liliobobea katika, kati ya nyenzo nyingine anuwai, kutengeneza mashine za kukatia vinyweleo kwa umeme. Hili ndio tatizo letu miaka 50 baada ya uhuru, kwamba Rais Kikwete na watu wake anaewaongoza ni wale wale, na aliyesema "Nations get the leaders they deserve" hakukosea hata kidogo, hata kidogo.

Unless I am high or sort of high I am not sure if I have even figure out what you are talking about.

Anyhow, I will help you out with GE. GE is one of the largest companies in the world that manufactures power turbines and engines that are used to generate electricity. You may want to check this out to get a better idea on why I asked Kikwete sit down with GE GE Energy Services, GE Power & Water, GE Oil & Gas | GE Energy.

If he (Kikwete) had access to President of United States who is a most influential person, he could have easily secure a meeting with Jack Welch the then CEO of GE and ask for a help in solving our electricity problem. He could have even met T. Boone Pickens PickensPlan king of wind power (by the way GE not only produce hydro, gas, oil turbines, but also wind turbines FYI).

Part of our bakuli (the useful way to beg) would have bee for ask to sign a bilateral agreement with US government to guarantee a loan for us to secure and procure turbines and all what is needed to fix our energy (electricity) crisis. As Mdada Injinia has demonstrated, we need better network in addition to mitambo ya kuzalisha na kusukuma umeme.

In exchange, we could have given some kihamba cha Uranium to US as an exchange (barter trade) of them financing the new master plan to electrify Tanzania!

If Joe Kabila has entered almost a $6billion agreement with China for China to build roads, railways, major infrasttructure in exchange of mining copper, gold and some diamonds, why our "dear" leader failed to get GE and others even the Germans with Siemens or Japan, China and South Korea who are our friends to sit down and find an ultimate solution that would have covered short and long term electrical issues?

Rather than talking things that are of use to rescue Tanzania from being dependent, the 10 or more trips he made to USA during Bush's reign ended up with BUsh coming to Tanzania and handing out Chandarua and holding tight the purse of MDG!

KUna mabakuli mengine ambayo ni muhimu, kama hili la miundo mbinu, iwe ni umeme, maji, mifereji, reli, bandari, simu na barabara. I would have expect his pitch for business would have been on building stron infrastructure so that we could have elevated local production and create more jobs and make Tanzania a competitive force of producing finished goods, then he could have gone to South Africa and ask the South African people to buy Tanzania wine and not inviting them to come and farm grapes!

So there goes in short of what Mchungaji would have done (Kagame, Kabila even Kaguta and others have done this) and the woes of Upinzani about Buzwagi and even EPA could have been silenced!

I guess this is the point when one ends up agreeing with Lowassa on maamuzi magumu. Ni heri tukope kujenga nchi kwa kuwa uwezo wetu wa kiufundi ni mdogo lakini ni mkopo kwa vitu vya msingi na maana na si mikopo kununulia ma-VX au kutumia fedha kuzurura dunia nzima.

Umeme sasa hivi ni nyenzo ya pili baada ya kilimo kama uti wa mgongo. Hata hicho kilimo kitagotagota kama hakuna miundombinu imara ya kuwezesha uongezekaji wa uzalishaji mali na uchukuzi wake.

What else would you like to hear from me in regards to what I wrote?
 
Nitawauliza swali moja dogo sana...
Ikiwa JK hana ridhaa ya watanzania ilikuwaje maandamano ya Mbeya yaliwavutia wananchi wengi huko? na kesho nasikia Arusha pia kuna maandamano mengine Je, hao wananchi wanaolalamika, wanakwenda kuunga mkono kitu gani?..Hivi kweli mtu anayeumia na kulia kilio hiki anatakiwa hata kuandaa maandamano ya kumpongeza JK acha mbali kushirki..

Mkandara,

Ni WATU na MAZINGIRA na MAZINGARA!

MBeya walikwenda watu wa Sitta na yote hii ni vita vya ndani yao CCM. Kule si yuko Mwakyembe na Mwandosya na wote ni prospects wa 2015? And so is Arusha, yupo Lowassa...? So yote haya ni mazingaombwe, ni forces within CCM zinavutana na kuonyeshana ubabe ,huku Mwenyekiti akiwa Robben Island akisampo mvinyo na kuwaambia waje walime zabibu Dodoma badala ya kununua Dodoma wine!
 
Haapa nasoma lawama tupu. Ningekuona tofauti na Kikwete kama angalau paragraf moja ungetoa mapendekezo ya ufumbuzi wa tatizo la umeme TZ, AMA LIWE LA MUDA MFUPI AU LA KUDUMU.Huwa napata kichefuchefu kusoma taarifa kama hizo kwani hazina tija wala faraja. Isitoshe zinaonyesha jinsi watanzania au kwa ukika zaidi wanaJF wanavyofanana akili zao. Baya zaidi ni kila utapofungua mada utakuta hali hiyo hiyo hata kwa wale tuliowaamini sana na kuwaita WASOMI WA JF.Kweli NYANI HAONI KUNDULE!
Hivi wewe unaongea nini hata kama wewe ni mwana ccm unaumia roho utajiju as ukweli wakuuma kwi kwi kwiiiiMbona katoa mfano hata wa Kenya walichofanya nyie ndio mnakuja kutuchafulia jukwaa humuIla la umepewa jibu zuri hadi raha ukome kuja kuandika porojo bila kwa usongo Raisi lazimwa asemwe na bado nchi itabadilika Haya endelea kumshabikia Raisi mpenda kusafiri kama vile hana wasaidizi Wanaombeba watamgeuka Naichukia serikali tawala sababu ya umemeKura yangu next time SIDANGANYIKI
 
Rev Kishoka, says:
"In exchange, we could have given some kihamba cha Uranium to US as an exchange (barter trade) of them financing the new master plan to electrify Tanzania!

If Joe Kabila has entered almost a $6billion agreement with China for China to build roads, railways, major infrasttructure in exchange of mining copper, gold and some diamonds, why our "dear" leader failed to get GE and others even the Germans with Siemens or Japan, China and South Korea who are our friends to sit down and find an ultimate solution that would have covered short and long term electrical issues?"

I don't think the above is right, especially for a nation like China being given such mines, let us go with loans, or through PPA for power etc. Hicho anachofanya Kabila na WaChina ni wizi mtupu; tusiruhusu mikataba kama hiyo. At least up to now I think Tanzania has done well in this. Let us critisize JK on his shortcomings, but we must avoid such agreements as the one you have mentioned above. In Congo, Chinese in one year will take more than USD 6 billions; how much will they take in 20 years?; and the roads will be damaged in another 10 years.
 
Mkandara,

Ni WATU na MAZINGIRA na MAZINGARA!

MBeya walikwenda watu wa Sitta na yote hii ni vita vya ndani yao CCM. Kule si yuko Mwakyembe na Mwandosya na wote ni prospects wa 2015? And so is Arusha, yupo Lowassa...? So yote haya ni mazingaombwe, ni forces within CCM zinavutana na kuonyeshana ubabe ,huku Mwenyekiti akiwa Robben Island akisampo mvinyo na kuwaambia waje walime zabibu Dodoma badala ya kununua Dodoma wine!
Tatizo langu sio nini CCM wanakifanya bali wananchi wanapokea ujumbe gani na wanajiandaa kufanya nini.. maandamano ya Mbeya yamenidhihirishia kwamba bado wananchi wengi asilima 85 wasio na Umeme bado wana imani na CCM pamoja na madudu yote yanayotokea..

Labda hoja yangu inakwenda nje ya mada, lakini ujeuri wa JK hauna tofauti na asilimia kubwa ya Wadanganyika ambao hawafahamu sababu ya kutokuwa na Umeme isipokuwa Mungu hakuleta mvua. na amini maneno yangu wote hawa kna Zawadi na wengineo wanashindwa kuelewa kabisa kwa nini wasomi wa JF wanamlalamikia JK kwa kukosekana kwa umeme hali wanajua JK sio Mungu..

halafu ushauri wa GE kwa sababu hivi hauna maana kwa sababumatatizo tulokuwa nayo ni vyanzo vya Umeme wenyewe..Hydropower zetu hanazalisha chini ya kiwango, Songos nako nasikia bomba la kuleta gas ni dogo haliwezi kukidhi mahitaji, Kiwira bado haijaanza kuzalisha kwa hiyo JK toka mwaka 2005 aliaahidi wananchi kuhakikisha Vyanzo hivi vinaanza kazi kwa awamu na kufikia mwaka 2015 tutakuwa hatuna tena matatizo ya Umeme..

Cha kushangaza hadi leo hii hakuna hata sehemu moja imewezeshwa na macho ya wananchi ni kuongeza hizo generators hali vyanzo vyenyewe ni hafifu. Nguvu ya ujenzi wa nguvu za umeme inatakiwa iwekwe ktk vyanzo, kwani kama Hydro power zetu zinauwezo wa kuzalisha MW 3,000 iweje zizalishe chini ya 700 hata kama mvua zinanyesha?...Maziwa tunayo na mito mingi tu ipo kwani tunashindwa hata kujenga Canal kuongeza nguvu ya maji ktk mito inayopeleka maji kwenye Hydo power plant?.

Na kwa nini bomba la kusambaza gas lisiongezwe kubwa zaidi ila tunategemea lile lilojengwa toka wakati wa Nyerere.. Ila tumekuwa wepesi kujenga bom,ba la gas kupeleka Mwanza kwa mkataba unaowapa mafisadi kumiliki investment kubwa kama hii..

Kama tumeweza kuvuta maji toka ziwa Victoria hadi Bulyanhulu kwa sababu ya Barricks ambayo inachangia kiasi kidogo sana ktk mfuko wa Taifa na kutuzawadia shule na sijui zahanati huoni kaa huu ni ujinga ulopitwa mpaka? Tumekuwa wazito kuviwezesha vyanzo hivi vipate maji ya kutosha!..
 
Mkandara kumbuka kuwa kwa miaka isiyopungua themanini, ndio 80, kabala ya Kikwete ni 600MW za umeme kwa miaka yote hiyo. Leo Kikwete kwa muda mfupi aliokuwepo, miaka 6 tu, kisha weka mikataba ya zaidi ya 700MW, ndio zaidi ya 700MW, na anaendelea.

Mfano, 100MW za kununua mitambo mipya order imetolewa June 2010 mitambo imeanza kufika mwezi huu, baada ya zaidi ya mwaka. Hiyo ndi hali halisi. Ulitaka afanye nini? Asisaini hata hiyo mikataba? Hao wenzake kabla yake walikuwa wapi? Walikuwa hawajapelekewa makadirio ya umeme na jinsi matumizi yanavyokuwa na upatikanaji wa mitambo huchukuwa muda? Walipelekewa na wakakaa kimya. Leo unataka kumlaumu anaetenda? Unanshangaza sana, au mlitaka akanunue mitumba? Kama ni mitumba hata ya kukodisha mliipigia kelele. Mnashangaza sana.

"Damned if you do, damned if yoo don't" ndio hukumu ya Kikwete kutoka kwa watu wa aina fulani na tunajua kwanini.
 
Jakaya Mrisho Kikwete, The president of United Republic of Tanzania... nimesema tu, kwa sababu napanga cha kufanya 2015 mbona kama mbali sana!!!
 
Mimi nilishapata conclusion ya huyu jamaa ktambo sana, "Mzee Mwinyi alikaa miaka 10 hayakumalza, mzee Nkapa miaka 10 hayakumalza, mie (kicheko) miaka 5 sijayamalza ntaongeza 5 hayatakwisha" so fro this statment ameshajiandaa kushndwa kwamba ni jambo la kawaida tu hvyo basi haina haja ya kujifikirisha kupta kiasi.
 
Nakumbuka 2006 wakati wa mgao wa kina Karamagi na Msabaha, huyu bwana alisema "baada ya miaka mitatu tatizo la umeme tz litakuwa historia" mpaka leo 2nalia.Mbili, namkumbuka mzee wangu wakati huyu mwanakiduku akipambana kuingia ikulu kwa gia ya VIJANA sasa, alinambia "mwangu, wanataka kuliingiza jinamizi la maumivu ikulu mtaumia" maneno ya huyo mzee mpaka leo yananifanya nitazame hali tulo nayo na kusema "kuhukumu kwa kutumia hisia na vionjo badala ya kushirikisha ubongo ndo ujinga unao2sumbua watz, 2napaswa kutoka kwenye pango (Platonic darkened cave) na kuingia kwenye mwanga ili 2weze kujikomboa.Ili kuweza kufikia lengo hilo 2lihitaji kuwa na strategic leader(s). Kama majibu ndo haya, basi 2vumilie hadi hiki kipindi (cha mpito) kipite.
 
"Kikwete ni Rais pekee aliyeafanya Maamuzi Makini na Sahihi katika Marais wote wa awamu waliopita" Christopher Ole Sendeka
 
Mkandara kumbuka kuwa kwa miaka isiyopungua themanini, ndio 80, kabala ya Kikwete ni 600MW za umeme kwa miaka yote hiyo. Leo Kikwete kwa muda mfupi aliokuwepo, miaka 6 tu, kisha weka mikataba ya zaidi ya 700MW, ndio zaidi ya 700MW, na anaendelea.

Mfano, 100MW za kununua mitambo mipya order imetolewa June 2010 mitambo imeanza kufika mwezi huu, baada ya zaidi ya mwaka. Hiyo ndi hali halisi. Ulitaka afanye nini? Asisaini hata hiyo mikataba? Hao wenzake kabla yake walikuwa wapi? Walikuwa hawajapelekewa makadirio ya umeme na jinsi matumizi yanavyokuwa na upatikanaji wa mitambo huchukuwa muda? Walipelekewa na wakakaa kimya. Leo unataka kumlaumu anaetenda? Unanshangaza sana, au mlitaka akanunue mitumba? Kama ni mitumba hata ya kukodisha mliipigia kelele. Mnashangaza sana.

"Damned if you do, damned if yoo don't" ndio hukumu ya Kikwete kutoka kwa watu wa aina fulani na tunajua kwanini.

FaizaFoxy,

Miaka ya 80, hizo megawati 600 zilikuwa zinatutosha au hazitoshi? kulikuwa na watumiaji wangapi? Je umfactor kuwa kujenga hivo megawati 600 kuliendana na kujenga network ya kuusambaza umeme nchi nzima?

Kwa hilo la oda ya mitambo mipya, labda mwenzetu uko jikoni ukisaini tenda, mpaka Symbion na Jacobsen wamekuwa ndipo Serikali inaanza kudai mitambo itafika! Mwaka jana mwezi kama huu, tulikuwa na shida ya umeme, je walikuwa wapi kuagiza hiyo mitambo?

Jee mwaka 2006 walipoamua kuwapa Richmond na Dowans, kwa nini hawakuweka oda ya mitambo ili ikifika 2008 iwe imekamilika na ni mali ya Tanesco na iwe ya kuzalisha mw400 na si 50?

Just accept the fact that Jamaa anacheza bugi kila siku na ama hajui analofanya au ni kwa makusudi kabisa anafanya analofanya!
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom