Landrover 109
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 455
- 681
Nchi ina watu wa hovyo sana.Shida yangu ipo kwenu nyie wanaume mnaowafuatilia. Inaonyesha nyie ndio mboga
Mbona umepanic! Au nabishana na Lokole Nini?Shida yangu ipo kwenu nyie wanaume mnaowafuatilia. Inaonyesha nyie ndio mboga
Inaonekana kama ni kampeni. May be Kuna jambo linaandaliwa chini ya kapeti.Ushoga naona unashika Kasi Sana duh!
Umeona vyema,kwa jirani limeshabarikiwa na hela wamepewa.we are next.watu wanalipwa ili kupush hii agenda.Inaonekana kama ni kampeni. May be Kuna jambo linaandaliwa chini ya kapeti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa yaanShida yangu ipo kwenu nyie wanaume mnaowafuatilia. Inaonyesha nyie ndio mboga
Huyo ni bwabwaLokole anasemwa Sana,ukute ni kweli.