kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
Hapana, sikumuita Kongosho kaka, nimegundua baada ya kuandika neno kaka sikuweka comma. Pole
sawa.....
Hapana, sikumuita Kongosho kaka, nimegundua baada ya kuandika neno kaka sikuweka comma. Pole
Na kila akifanya umbea tunamchambaa na kumlishaa!Teh teh amechenga kule kujaa mi nimekuja na shampein teh na bikinii juuuuu KATA KEKI TUMLISHE AACHE UMBEAAAAA
Ohhh kumbe !!!!! Sa kinyantuzu hiko au kisukuma?hiii bhaghoshaa!!!!!
kwani mi nimebishaaaaa wewe ni mzuri sana hata mi sikupati mtoto unalipa kila idara umekamilika kasoro machine ime expire lol
Kwani milage inasoma ngapi saivi?
Hilo halina ubishiii ANTI SAJOO NDO QUEEN WA MMU, BEAUTY WA KIJI, CUTE WA MTAA, PRETTY WA NYUMBA KUMI, MREMBO KAUMBIKA KILA IDARAAAA! Haya tumpigie makofiiiiiiii,Sajo anatafuta kiki ashaipata ye mremboo namba moko wengine wote tupo nyuma yakeee AACHE UMBEAA hajaumba hata mmojaaa mdomo kama kasuku pote pote anataka awepoooo looooo
Jamani kateni kekiiii SAJO KAJILETAAA ASIJETUTOROKAAAA HUYUU
Thread imeshaisha hii mkuu, mashost wameingia na kigodoro cha kumsuta Mrembo REALITY
nadhani wengekuwa na ushuhuda wangeleta hapa PM kibao unakuta ni waume za watu wanatafuta nini kama si kuchepuka na humo ndani ni sumu...... I HATE THIS INSTITUTION CALLED MARIAGE..... kama kuta zingeweza kusema tungesikia vilio vingi sana vya wanandoa ...... hata ukipita mtaani asillimia kubwa utasikia usikimbilie ndoa kama ni tamu mbona wanataka kutoka.......
hao wasimamaizi wa ndoa ndio wanasaidiana kutafunana humo hmo ndani ya ndoa.... ndoa ni ni jamboa ambalo siwezi kuamini kama kuna raha humu fuuuck it let it go to hell
Thread imeshaisha hii mkuu, mashost wameingia na kigodoro cha kumsuta Mrembo REALITY
Na kukata miunooo feni! Haya mrembo sajo OKOTA MAGANDAAA PELEKAA UGANDA YAMEPANDAAA BEI SUKUMIZIWA MDUDE WAAAAAAAAA!Na kule hajaja kajifanya notification hajazionaaz, tunamlisha kekiii na kumuogesha shampein dume zima hovyoo eti wenzie wabayaa,ainame sasa ye mzuriii
nadhani wengekuwa na ushuhuda wangeleta hapa PM kibao unakuta ni waume za watu wanatafuta nini kama si kuchepuka na humo ndani ni sumu...... I HATE THIS INSTITUTION CALLED MARIAGE..... kama kuta zingeweza kusema tungesikia vilio vingi sana vya wanandoa ...... hata ukipita mtaani asillimia kubwa utasikia usikimbilie ndoa kama ni tamu mbona wanataka kutoka.......
hao wasimamaizi wa ndoa ndio wanasaidiana kutafunana humo hmo ndani ya ndoa.... ndoa ni ni jamboa ambalo siwezi kuamini kama kuna raha humu fuuuck it let it go to hell
wewe umeoa au umeolewa?
Wameonaa UNAPOTOSHA UMAA NA MFANO WA KUTUNGA KAMA ULE USIOKIDHI MATAKWA YA JAMII! Hahahaaaaaa! Toa mfano hai usookataliwa na saverza jf!
Nilitoa ushuhuda wa mke wangu kwenye uzii huu moderator wameufuta huoni hata sentesi ya mwisho wameitoa ikaaishia njiani naona ushuhuda wa mambo mazuri hawautaki.