ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,754
- Thread starter
- #161
sipendi mwanamke anaeongea saaana kama wewe...mara nyingi ni watata,na trust me hakuna muoaji anaependa hii kitu...ushauri tu kama na wewe unasubiria ndoa..mimi nilishaoa tangu mwaka jana
Kumbe tuko wengi, mimi mwanamke anaye bwabwaja kisa eti ana uhuru wa kuongea sipendi hata kidogo.mwanamke hufunua kinywa kwa hekima si kila neno linalotoka kinywani anatapika.