REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
we used to ready, observing , researching ndiyo maana tunaeza ongelea samaki anakula nini mkuu acha kabisa.,.....
kila kiumbe kina kula go to the point
we used to ready, observing , researching ndiyo maana tunaeza ongelea samaki anakula nini mkuu acha kabisa.,.....
Hahaaaaa! Graduate utaemuoa wewe mchimba chumvi toka mkoani! Hahahaaaa! SIWI MPOLE NA SITISHIKI NA LOLOTE!
Kumbeeeeee ......
NitakuDIPU baadae!!
Okay mrembo SAJO, SHOSTIII LA UKWELI, KICHUNA CHA HAJAAAAAAA! Umefurahiii! Na lipstic nakupakaaa ungae vizuri weweee mtoto wa kiumeee!
Heluaheluaaaaaaaaaa MREMBO SAJO, BEAUTY WA KIJIJI YUPO UWANJANI WALE WA ZANZIBAR NA DUBAI TUNAPOKEATENDER ZENU! MNAONA WENYEWEEEE KAKA ANAJISIFIA MZURIIIIIIIIJEEEEE! Lainiiiiiiiii! Kama UNANAWA! KAZI KWENU!
Nimeumisi kweli wimbo wa shilole DUME HILI DUME GANIIIII? DUME DADAAAAAAAAA LTAKA LIOLEWE EEEH LIINGIE NDOANI ATIIIII! Halooooooo!
Hapana, sikumuita Kongosho kaka, nimegundua baada ya kuandika neno kaka sikuweka comma. PoleKongosho unaitwa na mwenzio....kumbe wewe kaka pia?
kila kiumbe kina kula go to the point
Wana yao;
Tena kwa michepuko wamezidi wao,
Tena kwa virusi wamezidi wao;
Wapite na zao huko wasituambukize hasira hapa
Yote yapo wazi tu, sijui wanakataa nini hapa.
Ok poa;
Au na wewe ndo wale wanaolala sebuleni?
hahahahahahaha promo mix inamuhusu biashara imemdodea hahaha anajitangaza kijanja afu humu wala tigo wala hamna aende hukohuko alikotokea sajo jina limempendezeje
Hahahaaa! ANTI SAJO ANATAFUTA BWANA AOLEWE NAE AINGIE NDOANI ATIIIII CHEZE DUME ZURI AFRIKA MASHARIKI NA KATI YOTEEE MZURI PEKE YAKEEEEE!
Sajo weeeeeeeeeee!
Dume limeharibikaa mpaka basiiii! Khaaaaaaaaa! MIE SAJO MZURIIIIIIIIII LARA 1 HANIPATI HATA NUKTA?!!! Tobaaaaaaaaaaaaa! Khaaaaaaaaaa!hahahahahahaha promo mix inamuhusu biashara imemdodea hahaha anajitangaza kijanja afu humu wala tigo wala hamna aende hukohuko alikotokea sajo jina limempendezeje
hatuongelei samaki hapa tunaongelea ndoa.... Katika ndoa tano tatu ni shida na kilio...
Kama ya mama yako mzazi, atayokuji mama yako alipo fikisha baba yako ndo hapo hapo! Exactly! Ask no more!
UZURI WAKE SI ZANZIBAR YAKEEEEE! Halooooooo! Kwani ulikuwa hujaelewaaa eeeeh? Habari ndo hio! DUME DADA LETU LA UKWEE SAJO MIUNO FENI,CHEZA DUME ZURI, BEAUTY, CUTE, NA PRETTY PEKEYAKE KAKA SAJO! Kantangazeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!kwi kwi kwi ant sajo ana mambo aweke na picha kabisaaa tumthaminishe
Dume limeharibikaa mpaka basiiii! Khaaaaaaaaa! MIE SAJO MZURIIIIIIIIII LARA 1 HANIPATI HATA NUKTA?!!! Tobaaaaaaaaaaaaa! Khaaaaaaaaaa!
Haya DADA MZURI TULIA TUKUOZE WEWE TENA BEAUTY WA KIJIJI! Hahahahahaaaaaaaa! Sajo umetishaaaaaaaa!
ukweli upo constant
.mmmmhh mi nasubiri mwendelezo tu!!! Sijui nani atafuata kumjibu
@Ngw'anao.... Khaa jina limenshinda!!!!
JIBU LINATOKANA NA SWALI! Ukitoa hoja unajibiwa hojaa, ukiomba tusi nakipa tusi. MKILETA HOJA MIE NARUDISHA HOJA! Niko kwenye KIGODORO CHA KUMNEMA MWALI SAJO MARA MOJA, TUNAMNEMA MCHANA MCHANA MAANA MWALI KIKOKO HUYU! Nitarudi kujibu hoja!lara 1 tujenge hoja tu dada yangu matusi hayana tija.Ndoa na iheshimiwe na watu wote.