Hahahaaaaa! NIMEANZISHA KITU KIPYAAAAAA KIME HIT 20 PAGES. HAMNA MTU KUSAFIRIA NYOTA YANGU, NAMUONGEZEA REP POWER? Mada ile ile uzi mpya wangu mwenyweeee huoni hii toka nisepe haisogei coz niliachia 29. Na nimeend kuanza 0 nishafika 20! KIM JONG UNG HAPANA CHEZEAAA!
KULE NIMEWAPANGA MOJA MMOJA WAMEPANGIKA! Hadi huyu bwana katoka baruuu! Hahahahaha! Chezea kubwa la maadui! Im out of here niko kwenye my teritorry!
Hinvi unamjua ng`wana ong`wa kulwa wewe? au unamuona jf tu haya maji ni marefu sana kwako.
Kumbe unaanzisha uzi wa hovyohovyo mambo ya hovyo uonekana unawachangiaji wengi? maskini wa fikra ulitakiwa kujiuliza hizo page 29 ni wangapi wanakuunga mkono? aibu kwako hata shoga zako wameacha kukuunga mkono watu wanakuponda mbaya.nimeona nisiendelee kujibishana na wewe huku ulikosa hata mmoja ukakimbia kuanzisha uzi na kwenye holaaaa! kaangalie like kwenye comment yangu kwenye uzi wako,linganinisha na like za wewe muanzisha mada ndo utapata jibu.,wameshajua kumbe wewe ni makelele kahaba uliyekubuhu huna point.
Siku nyingi sana umepotosha watu hapa jf kwa mada zako kusifia umalaya na vihela unavyohongwa kila aliyepinga mawazo yako unamtukana sasa umekutana na chuma cha pua hii ni kitu nyingine tafuta wa saizi yako.
Ukianzisha vimada unachanganya kingereza kuonyesha nini umesoma siyo? kingereza chenyewe cha mitaani siyo standard English.Hiyo elimu yako uliyosoma uliacha alama yoyote ya kukumbukwa kwenye taalamu toka msingi mpaka chuo? wenzio tumesoma shule zile za kuheshimika hapa nchini na tukaacha alama kila shule tulizosoma mpaka chuo alama zipo,na tumesoma na nje ya nchi hatubwabwaji unafikiri hatujasoma siyo? au unafikiri hatujui kiingereza,kwa taarifa yako wapo watu wengi hapa jamnvini wanajua kiingereza,wengine wamesoma nje na wengine wanakaa nje ya nchi lakini wakipost mada zao wanatumia lugha ya taifa.
Una mali!!!!! mali kiasi gani wewe historia ya familia yako unayoeleza inaonyesha jinsi gani unaishi maisha ya kawaida sanaaaa,wenzio tumezaliwa kwenye familia zenye utajiri mkubwa hatujui shida mpaka kesho,eti kigari! mara nilimnunulia gari mama yangu kigari kimoja? tehetehe!kigari cha kuzungusha kiuno? pole sana.
Nakuambia huwezi badilisha mpango wa Mungu wa kuifanya Ndoa kuwa sehemu ya faraja kwa wanandoa, kwa umalaya wako,wadogo zako hawana hata cha kujifunza kwako,wewe ulisha harikibika kufa kivyako.
Kuna mitihani miwili tu mbele yako utakuja kunikumbuka,moja magonjwa na pili umri hapa ndiyo mwisho wa soko lako,ndipo utakapotoweka kama walivyotoweka Nzige.
mimi ndiyo ng`wana ong`wa kulwa.
NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.