Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
ukweli upo constant
kwani mi nimebishaaaaa wewe ni mzuri sana hata mi sikupati mtoto unalipa kila idara umekamilika kasoro machine ime expire lol
ukweli upo constant
lara 1 tujenge hoja tu dada yangu matusi hayana tija.Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Baby LEAVE THEM ALL TO ME! I am lara 1, The KIMJONG UNG JESHI LA MTU MMOJA!Acha unafki wewe mwanaume hapendezi kuwa mnafki, wewe umemuona lara 1 tu wengine kutukana watu ruksa siyo?
hao ndani ya ndoa zenye shida na kilio hawajui maana ya ndoa period:
Mh...haya,nadhani wengekuwa na ushuhuda wangeleta hapa PM kibao unakuta ni waume za watu wanatafuta nini kama si kuchepuka na humo ndani ni sumu...... I HATE THIS INSTITUTION CALLED MARIAGE..... kama kuta zingeweza kusema tungesikia vilio vingi sana vya wanandoa ...... hata ukipita mtaani asillimia kubwa utasikia usikimbilie ndoa kama ni tamu mbona wanataka kutoka.......
hao wasimamaizi wa ndoa ndio wanasaidiana kutafunana humo hmo ndani ya ndoa.... ndoa ni ni jamboa ambalo siwezi kuamini kama kuna raha humu fuuuck it let it go to hell
hujambo Munkari dada yangu
UZURI WAKE SI ZANZIBAR YAKEEEEE! Halooooooo! Kwani ulikuwa hujaelewaaa eeeeh? Habari ndo hio! DUME DADA LETU LA UKWEE SAJO MIUNO FENI,CHEZA DUME ZURI, BEAUTY, CUTE, NA PRETTY PEKEYAKE KAKA SAJO! Kantangazeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
ALELELELEEEEEEEEEEEEEEEEE! AIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII! SAJO BEAUTY WA KIJIJI, PRETTY N CUTE BOY CHEZEAAAAAA! Mwanaume kaumbikajeeee sasa! Halooooooo!Teh teh amechenga kule kujaa mi nimekuja na shampein teh na bikinii juuuuu KATA KEKI TUMLISHE AACHE UMBEAAAAA
Don't get twisted Lara 1 habwabwaji na wala si muongeaji wa kihivyo hapa anatype keybord tu na unaicheza midundo yake. who to blame?
Interesting kwa kweli
Dume limeharibikaa mpaka basiiii! Khaaaaaaaaa! MIE SAJO MZURIIIIIIIIII LARA 1 HANIPATI HATA NUKTA?!!! Tobaaaaaaaaaaaaa! Khaaaaaaaaaa!
Haya DADA MZURI TULIA TUKUOZE WEWE TENA BEAUTY WA KIJIJI! Hahahahahaaaaaaaa! Sajo umetishaaaaaaaa!
Sijambo ila mmmmhhh mbona jina lako gumu ka mitishamba
Hahahaaaa! BORA ULIVOTOKA KWENYE CLOSSET! Kwa hiondo wanatumiaga hio KY sijui YK kwako! TOBAAAAAAAAAAA! Mtoto wa kiume weeeeee!go to the point dada hana dick ky!
hahahahaha mwanaume akishaanza kujiona mzuri ujue kishaanza kuvaa pampasi hebu pata picha wezele lake linavyotuna hahahah
Hahahaaaa! Umeona umsaidie nimempa za uso mpaka katulia!
KASEMA HAPENDI MWANAMKE ANAE ONGEA KAMA MIMI, JE NILIWAHI HATA MARA MOJA MIMI HUYO JAPO KUMTANIA NAPENDA FREE P KAMA YEYE?
Ndo jibu langu hilo!
ASIJISHONGONDOE SIPENDI MTU WA AINA FLANI YEYE KAAMBIWA HUYO MTU ANAMPENDA?
Rudi kwenye mada yako please, michambo yetu na mkono wa paka na mkewe HAIKUHUSUUUUUUU,! Kazania mada yako baba kabla hujachachua thread!
YA NGOSWE TUACHIE NGOSWE TULIVOANZANA NDO TUTAMALIZANA!
kwani mi nimebishaaaaa wewe ni mzuri sana hata mi sikupati mtoto unalipa kila idara umekamilika kasoro machine ime expire lol
Kiswahili chake ni "Mwana wa kulwa"!
Mtaani kwetu
Matola Matola refa unapendelea
Dume limeharibikaa mpaka basiiii! Khaaaaaaaaa! MIE SAJO MZURIIIIIIIIII LARA 1 HANIPATI HATA NUKTA?!!! Tobaaaaaaaaaaaaa! Khaaaaaaaaaa!
Haya DADA MZURI TULIA TUKUOZE WEWE TENA BEAUTY WA KIJIJI! Hahahahahaaaaaaaa! Sajo umetishaaaaaaaa!