Majibu kwa lara 1

Majibu kwa lara 1

Hahahahaaaaa! Today is your lucky day! Niko na MKE WA MTU HAPA ANANIOMBA NIMTAJIE DAWA YA KUTOA MIMBA YA 3 DAYS (THE AFTER PILL) MANAKE KACHEZA MECHI YA NJE KAVU KAVU MKE WA MTU HUYO CHUPI INAMBANA HAPA, MOJA HAIKAI, MBILI HAIKAI. HAHAHAAAAAA,

Wanandoa kwa HYPOCRISY hamna mpinzani, JIPETE KUBWAAA, mda kama huu ndo mnakuwaga wa wazi, maana kumuuliza why, AKATIA MUME MWENYEWE KIBAMIA YULE, MI NIMEFATA FUTURE TU PALE! Hahahahaaaaaaa! (Sicheki kama mazuri la hashaaaa! Nacheka kwa masikitiko tu!)

why shuld you generalize anyway?mbona wapo watu na ndoa zao wametulia sana??...na hata kama kuna mifarakano mbona ni sehem ya maisha??...kuzaa nje kitu gani mbona mie mtoto wa nje ya familia na nililelewa tu vema?....unadhihirisha aina ya watu unaoshinda nao,kula nao na kuish nao...mimi nakueshimu sana ujue na ninaomba sana uwe dynamic and flexible...!!omba Mungu akujaalie maisha mazuri ya ndoa na uyo utaempata..maisha ya usingo sio kabisa asikudanganye mtu
 
Ukweli nahitaji kukutana na Lara 1 please mfikishieni ujumbe! Nimekua nikisoma trend zake mara kwa mara yupo muwazi na anawakilisha vizuri kile anachofikilia! Ndoa hizi hazifungwi na malaika ni ndoa za kibinaadam! Hata single ladies dio wengi wanaongoza kuwa na relation na wenye waume!! Hivo kotekote Hakuna usalama!!

wewe umeoa au umeolewa?
 
Umesema kuwa lara 1 hajaolewa;

Kinachokusumbua hapo ni nini kwani, pamoja na kuwa mengine
uliyoyakoti ni ukweli pia.

Yeye alisema tu kama ule mfano wa abunwasi aliyejenga nyumba
hewani.

Ndoa ngapi zinamomonyoka kama barafu ya mlima kilimanjaro?
Ndoa ngapi kila mwanandoa analala chumba chake?
Ndoa ngapi mwanaume analeta mwanamke mwingine hadi ndani?
Ndoa ngapi mwanamke huwezi uliza kipato cha mume?

Wengi wanakwenda hivyo hivyo ili mradi siku ziende.
Hahaaaaa! Mpaka wamenivika uibilisi utadhani mie KU POINT OUT THE OBVIOUS NDO NAWATIA WANANDOA ROHO HIZO ZA USHETANI!
 
Hahahaaaaa! HIVI HATA KWA KUTANIA NIMEWAHI KUSEMA NAPENDA MWANAUME KAMA WEWE? Hahahahaaaa! Unachekesha kweli!
MIE HATA NIPEWE BUREEEE SITAKI UNIOE! Hata niwekewe kisu shingoni SITAKI UNIOE!

So dude KEEP YOUR DISTANCE!

MDOMO MALI YANGU, NITAONGEA MPAKA MWISHO WA DAHARI!

si bure unaonekana una stress!! na inawezekana company yako yooote wamwisho anafanyiwa kitchen party wkend hii...pole sana.nikawaida wala sishangai....mimi hunijui ckujui...ila kwa maongezai yako tu YOUR NOT WIFE MATERIAL.PERIOD
 
Hahahaaaa! Hio ya Zanzibar mahakama yake SALUNI, WANANDOA WANALIAJE MANAKE BI MDOGO ZANZIBAR ANATOA, YEYE NDO ANAJISHAURI aachie buti lifunguliwe au waiache ndoanoooo! Maofisini humuu napo wana tungaa, vyoniia wanawake wanatunga Zanzibar kumalizwaaa? HAHAHAAAAAA! Msitudanganye! Wengine WANAUME MNAGOMA KULA ZANZIBAR WAKE ZENU WANASHINDWA KUVUMILIA ZANZIBAR WANAZITOA KWA VIJANA KWA PROMOSHENI, SIKU YA KUZAA MWASHANGAA MWATUKANWA! MUULIZE MKUNGA YOYOTE HALI YA ZANZIBAR KWA WAKE ZA WATU WANAOJIFUNGUA IKO VIPI?

SIO WANANDOA WOOOTE NDO NAWALENGA HAPA LA HASHAAA BAADHI YENU MLIOZOESHWA HUU MCHEZO WA ZANZIBAR MNAWAHARIBIA WENZENU! WENGINE KUKWEPA MIMBA KUCHACJUA DAMU NDANI YA NDOA NDO MNAIKIMBILIA ZANZIBAR! Laaanakum hiii!

HUO USIRI NDO HYPOCRISY YENYEWEEEEE! Mabaya yako wayaficha na kujikausha yawengine washiriki kusikitisha! Huoni kwa mfumo huo wanandoa mnawaonea wasio na ndoa!

I see!.......

Kumbe ndio maana madoctor wa private hospital siku hizi wamenawiri. maana wadada asilimia kubwa wanazalishwa kwa oparesheni, kichwa kimoja laki 6.

Sasa sijui ufunguwaji wa mabuti ya zanziberi unahusika? ila kule zanziberi kwenyewe lugha yao wanayotumia ni menu na bufee, bufee yani ndio ile mini kabang full kujisevia. wale watu watu kule ni laanatul.
 
Hahahahaaaaa! Today is your lucky day! Niko na MKE WA MTU HAPA ANANIOMBA NIMTAJIE DAWA YA KUTOA MIMBA YA 3 DAYS (THE AFTER PILL) MANAKE KACHEZA MECHI YA NJE KAVU KAVU MKE WA MTU HUYO CHUPI INAMBANA HAPA, MOJA HAIKAI, MBILI HAIKAI. HAHAHAAAAAA,

Wanandoa kwa HYPOCRISY hamna mpinzani, JIPETE KUBWAAA, mda kama huu ndo mnakuwaga wa wazi, maana kumuuliza why, AKATIA MUME MWENYEWE KIBAMIA YULE, MI NIMEFATA FUTURE TU PALE! Hahahahaaaaaaa! (Sicheki kama mazuri la hashaaaa! Nacheka kwa masikitiko tu!)

Eti mme mwenyewe kibamia huyo anaonekana ni shoga yako amabao mnakuwa mmetumika hasa wakati wa ubinti wenu mmekutana na mikuni ya kila namna ndo mkajua liukuni na kibamia mpe pole ila mwambia asicheze na damu ya mtoto,kama hujatunga story ili ikusaidie kujenga point.
 
si bure unaonekana una stress!! na inawezekana company yako yooote wamwisho anafanyiwa kitchen party wkend hii...pole sana.nikawaida wala sishangai....mimi hunijui ckujui...ila kwa maongezai yako tu YOUR NOT WIFE MATERIAL.PERIOD
Hahaahaaaa! Sina stress YOYOTE hata angekuwa ashafanyiwa mwaka 90 wa mwisho, hainisumbui!

KUMBE UNAJUA HUNIJUI SIKUJUI SASA KUJITIA SIPENDI MWANAMKE FYOKO FYOKO MWAMBIE MKEO HAYO COZ UNAMPA KUNYA BUREE MJINI,

Wengine tunakuona Lafa tuuu, kamba nani, kwani unatusaidia nini humu mjini?

Hata kuwa wife material kwa watu kama wewe, mniweke kwenye jiko la mkaa, nishindekwenye sinki mnanipiga free pumbu kunifuja mwanzo mwisho SITAKIIIIIIIIIIIIIIIIIII KABISAAAAAAAA! Wafujeni hao hao sisi wengine TUPO AVAILABLE TO THEHIGHEST BIDDER!
 
Eti mme mwenyewe kibamia huyo anaonekana ni shoga yako amabao mnakuwa mmetumika hasa wakati wa ubinti wenu mmekutana na mikuni ya kila namna ndo mkajua liukuni na kibamia mpe pole ila mwambia asicheze na damu ya mtoto,kama hujatunga story ili ikusaidie kujenga point.

mwache aendelee kujivua nguo apa.....ata ndoa ya uzeeni anaipeperusha..tatizo kuna menopause ndio kimbembe...yaani wanawake wawage wapole tu.....mie at 50 naoa 24 graduate na nnazaaa....
 
Mkuu kwa jinsi ulivyoandika hii mada yako naweza kuona busara na utu uzima ulioko kwenye maandishi yako

Ninachotaka nikushauri ni kuwa mabinti aina ya lara 1 wanakuwa na mitizamo hii kwakuwa wanakuwa wanapambana na hofu zilizoko ndani mwao kuhusiana na suala zima la ndoa,wanaiogopa

Sasa wanadhani kupambana kwa kuipaka matope wataokoka nayo

Nadhani unajua kabisa kuwa mtu kama anakuogopa atashinda mtaani kwenu akikukashifu kila uchao,anapofanya hivyo sio kwamba anafanya hivyo kwakuwa na lengo la kukupaka matope,hapana,anakuwa anapambana na hofu zilizoko ndani mwake kwakuwa anajua kabisa anakuogopa sana

Huyu mwache na akiendelea kukua atakuja kugundua kuwa alichokuwa anakiogopa hakikufaa kuogopwa hata kidogo kwani ni cha kawaida,nilipokuwa na umeri fulani hivi nilikuwa napambana na vijana wenzangu ambao walikuwa wanajiingiza kwenye ndoa

Lakini zaidi nilikuwa nashauriwa na watu wazima kuwa kinachonisumbua ni hofu ya ndoa na umri tu lakini sikuwaelewa,waliniambia kuwa siku nikija kuoa au kukua mambo yatabadilika sana

Leo hii sijaoa lakini nimekua na nayaona mambo kwa mapana yake na sina haja ya kuikashifu au kuisema vibaya au kuigopa ndoa kwakuwa huo ni utoto!!

Baba Paroko umenifumbua macho.
 
Hahaahaaaa! Sina stress YOYOTE hata angekuwa ashafanyiwa mwaka 90 wa mwisho, hainisumbui!

KUMBE UNAJUA HUNIJUI SIKUJUI SASA KUJITIA SIPENDI MWANAMKE FYOKO FYOKO MWAMBIE MKEO HAYO COZ UNAMPA KUNYA BUREE MJINI,

Wengine tunakuona Lafa tuuu, kamba nani, kwani unatusaidia nini humu mjini?

Hata kuwa wife material kwa watu kama wewe, mniweke kwenye jiko la mkaa, nishindekwenye sinki mnanipiga free pumbu kunifuja mwanzo mwisho SITAKIIIIIIIIIIIIIIIIIII KABISAAAAAAAA! Wafujeni hao hao sisi wengine TUPO AVAILABLE TO THEHIGHEST BIDDER!

hihihi highest bidder your menopause!!
 
Eti mme mwenyewe kibamia huyo anaonekana ni shoga yako amabao mnakuwa mmetumika hasa wakati wa ubinti wenu mmekutana na mikuni ya kila namna ndo mkajua liukuni na kibamia mpe pole ila mwambia asicheze na damu ya mtoto,kama hujatunga story ili ikusaidie kujenga point.
Hahahaaaaaaa! ILA MKE WA MTU MWENZENU KWENYE HIO TAASISI ATIIII!
Nitunge story kwa lipi hasaa manake humu maofisini wanandoa sifa zenu ziko waziiii hamna mpinzani, ni kuchukua tumfano mmoja mmoja! PROTECT YOUR OWN UWE HYPOCRITE MZURI, KILICHOCHAFUA TAASISI YA NDOA NI NYIE WANANDOA WENYEWEEEEEEE MSIJIKAUSHE!
 
hihihi highest bidder your menopause!!
Hahahaaa THAT WILL BE COUPLE OF DECADES TO COME! On the mean time THE POLICY STANDS!

Ila ukome kushobokea watu usiotujua ukazani mkeo anaekuabudu unampa kunya bure apa mjini! Hihihihiiiiiiiiii! Utaumiaaa bro! Kwetu sis si mtu si mali kitu.
 
HAHAHAHAAAAAAAAAAA!

Huu wala sio mtizamo NI UKWELI HALISI WA MAMBO YALIYOPO KWENYE JAMII YETU SEMA WATU SABABU UNAFIKI NA JADI YETU WANAFUMBIA TU MACHO! ILA HAMNA JOPYA CHINI YA JUA KATIKA YALE NILIYOYATAJA!
Unaweza kuijua mitaa ya New York bila kufika?
Hofu iliyokuwa ndani yako wewe isemee nafsi yako, kujifanya unayajua ya nafsini mwetu ni uongo na upotoshaji wa hali ya juuu! We mambo ya nafsini mwetu umeyajuaje? Tangu linibinadamu akajua ya nafsini mwa mwenzie? UONGO MTAKATATIFU HUO!
Hapana,wala hili sio jambo la ajabu kwani mambo yanakwenda kwa kanuni

Mtu anapokiogopa kitu huanza kukitolea maneno mabaya ili kujiridhisha ndani mwake na kukabiliana na hofu yake,hiyo iko hivyo wala hakuna kigeni hapo labda uwe hujui
Haijapakwa matope YAMESEMWA TU BAADHI YA WAYATENDAYO WANANDOA! JIPUA LIPI CHINI YA JUA KATI YA YALE AMBALO WANANDOA AMBAO WANAKILA MPAKA ZANZIBAR HAWAJATENDA? Punguzeni unafiki kidogo,
Ngoja nirudie tena kukuuliza bibie
Hivi unaweza kuijua mitaa ya New York bila kufika huko?
MIMI SIMUOGOPI MTU YEYOTE HUMUUUUUU! Namuogopa Mungu tu! NA KAMA YA UONGO MBONA KIMEWAUMA MNATAPA TAPA? JIWE NILIRUSHA GIZANI SI MNGELIPUUZA TU? Nyooooooo! Nimepiga ikulu mnabakia kuweweseka kuanzisha thread!
Labda nikuambie tu kuwa kwenye maelezo yangu wala sijazungumzia masuala ya wewe kumuogopa yoyote,nasikitika umeshindwa kuelewa nilichoandika kwakuwa unaongozwa na hisia za hofu zilizoko ndani yako na pengine inawezekana kuwa kuna unaemuogopa humu

Halafu labda tu nikuambie kuwa,wewe ni binadamu kama wengine na wewe ni mmoja kati ya wanawake waoga sana,hilo ni kweli na halipingiki

Mtoa mada ameweka hii mada wakati mwingine sio kwa kukujibu wewe direct lakini anataka kuwasaidia wengine ambao inawezekana wamechukulia mada yako serious

Mimi sio mmoja kati ya uliowagusa kwenye mada yako lakini najaribu kusema kile ambacho kinatetewa na uhalisia na sio cha kufikirika,hujui ndoa ni kitu gani dear,so acha ku assume mambo

Wewe na mimi hatupishani kwakuwa hatujaingia kwenye ndoa hivyo kujidai tunaijua ndoa kuliko walioko ndoani ni kujidanganya na kujilisha upepo,lakini kujidai kunaiona ndoa kama kitu ambacho hakina maana ni kujidanganya zaidi
Upuuzi mtupu NIKUE MARA NGAPI? Mmeishiwa hoja mmebakia na umri! Jepi wanalofanya watu wazima mi sifanyi!
Hahahahahaaaaaaaa ........

Lara acha kunivunja mbavu bana,mtu mzima hana haja ya kujitetea ili ajulikane kuwa ni mtu mzima kwani huo utu uzima unaonekana kwenye yale anayoyafanya

Hapa ulichokifanya ni kuthibitisha nilichokisema kuwa bado hujakua
AFU USIPENDE KUJIFANANISHA MIMI NA WEWE, WEWE KAMA UNAYAOGOPA MAISHA, SIJUI NDOA, SIJUI WATU WAZIMA, SEMEA NAFSI YAKO, SIO KUTUSEMEA WATU USIOTUJUA SABABU UNADANGANYA!
Hahahahaaaaaaa .......

Naomba tu ujue kuwa hakuna muoga kama wewe kwenye suala zima la maisha na yanayohusu maisha na hili tunaliona wengi tu na wala sio jambo la kufichika

Siwezi kujilinganisha na wewe kwa kuwa tunatofautiana mambo mengi sana na zaidi sana ni maumbile,hivyo unapodhani najilinganisha na wewe ni makosa makubwa sana bibie
MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION PERIOD,!!?!!
Hii haikusaidii
Huwezi kushindana na ukweli Lara,ukweli haukwepeki upo tu!
 
Hahahaaaa! Hio ya Zanzibar mahakama yake SALUNI, WANANDOA WANALIAJE MANAKE BI MDOGO ZANZIBAR ANATOA, YEYE NDO ANAJISHAURI aachie buti lifunguliwe au waiache ndoanoooo! Maofisini humuu napo wana tungaa, vyoniia wanawake wanatunga Zanzibar kumalizwaaa? HAHAHAAAAAA! Msitudanganye! Wengine WANAUME MNAGOMA KULA ZANZIBAR WAKE ZENU WANASHINDWA KUVUMILIA ZANZIBAR WANAZITOA KWA VIJANA KWA PROMOSHENI, SIKU YA KUZAA MWASHANGAA MWATUKANWA! MUULIZE MKUNGA YOYOTE HALI YA ZANZIBAR KWA WAKE ZA WATU WANAOJIFUNGUA IKO VIPI?

SIO WANANDOA WOOOTE NDO NAWALENGA HAPA LA HASHAAA BAADHI YENU MLIOZOESHWA HUU MCHEZO WA ZANZIBAR MNAWAHARIBIA WENZENU! WENGINE KUKWEPA MIMBA KUCHACJUA DAMU NDANI YA NDOA NDO MNAIKIMBILIA ZANZIBAR! Laaanakum hiii!

HUO USIRI NDO HYPOCRISY YENYEWEEEEE! Mabaya yako wayaficha na kujikausha yawengine washiriki kusikitisha! Huoni kwa mfumo huo wanandoa mnawaonea wasio na ndoa!

Kama wapo wana ndoa wanatenda kama hayo nao wamepotea sana lakini ni wachache hasa walioingilia ndoa kupitia mlango wa nyuma.
 
Baba Paroko umenifumbua macho.

lara 1 anamtazamo uliye kuwa affected na utandawazi haelewi difference kuwa kuna 1 kuna 2 na 3 sasa naona anaforce system ambayo imeshakuwa poisoned
wapi Eiyer ,mkuu uelewa wa mtu kujua mtazamo wako lazima acopy na system yako kinyume na hapo nimajanga itakuwa teach and teach throughout
 
Last edited by a moderator:
mwache aendelee kujivua nguo apa.....ata ndoa ya uzeeni anaipeperusha..tatizo kuna menopause ndio kimbembe...yaani wanawake wawage wapole tu.....mie at 50 naoa 24 graduate na nnazaaa....
Hahaaaaa! Graduate utaemuoa wewe mchimba chumvi toka mkoani! Hahahaaaa! SIWI MPOLE NA SITISHIKI NA LOLOTE!
 
Back
Top Bottom