Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
Vyote kwa pamoja .......!!
Mmh haya bana!!!
Vyote kwa pamoja .......!!
REALLY NINI SI WEWE MREMBO SAJO TUMEKULISHA KEKI.? Beauty wa kijiji, miuno feniii. MREMBO UMEUMBWA UKAUMBIKAAAA LAINIIIIII KAMA UNANAWA!really he he wify matola dnt be arrogant
nvr.....it .. .will ky
kama hamtaki ndoa endeleeni kushughuliwa na mijamaa mtakumbuka shuka kukiwa kumekucha.
Na kule hajaja kajifanya notification hajazionaaz, tunamlisha kekiii na kumuogesha shampein dume zima hovyoo eti wenzie wabayaa,ainame sasa ye mzuriii
Na kule hajaja kajifanya notification hajazionaaz, tunamlisha kekiii na kumuogesha shampein dume zima hovyoo eti wenzie wabayaa,ainame sasa ye mzuriii
Hilo halina ubishiii ANTI SAJOO NDO QUEEN WA MMU, BEAUTY WA KIJI, CUTE WA MTAA, PRETTY WA NYUMBA KUMI, MREMBO KAUMBIKA KILA IDARAAAA! Haya tumpigie makofiiiiiiii,
Bila kusahau huyu SAJO NI DUMEEEE NA MIDEVU YAKE ILA DUME HILI NI DUME DADAAAAAA! Mpo hapo.?
I dnt think tulioolewa huwa tunajichukulia na kuwachukulia ambao hawajaolewa the way unavyozani wewe, na sijui ni nini kimekupelekea ukazani tuko hivyo
hahahahahahah ana mambo sajo huyu kwenye pati yake hakuja afu kavamia ukumbi haina shida tutalipa dabocost
Shika adabu yako.Kama ya mama yako mzazi, atayokuji mama yako alipo fikisha baba yako ndo hapo hapo! Exactly! Ask no more!
mi nakula tu wazuri ila mazoombie daah nisamehe siwezi hehe
teamsurambaya mmepanic
mi nakula tu wazuri ila mazoombie daah nisamehe siwezi hehe
teamsurambaya mmepanic
Nawahi nafasi! Nimerudi!
YES MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION SIFUTI KAULI!
Hitimisho!
TUWE TU WA WAZI UOLEWE, USIOLEWE, MAISHA YOTE NI CHANGAMOTO! Married people should be honest and stop window dressing of facts THAT THEY ARE THE HAPPIEST, LUCKIEST, AND BETTER THAN EVERYBOY HAVING A HEAVEN ON EARTH AND SINGLE OLD CARGOS LIKE ME SHOULD GO HUG A TRANSFOMER BECAUSE WE ARE PITYFULL! Hypocrisy at its highest!
IT ABOUT TIME WE PUT ALL THE CARDS ON THE TABLE!
Mbona kama kigodoro hiki mwali yupo wapi????
Mama angu si wewe hapo,tena ulinbemenda.Kama ya mama yako mzazi, atayokuji mama yako alipo fikisha baba yako ndo hapo hapo! Exactly! Ask no more!
Mimi yangu nilimaliza jana,hapa kuna mambo mawili ambayo ndo yanafanya kuwe na mkanganyiko,moja ni swala la umri ambalo ndo lara 1 analipigania,lingine ni taasisi ya ndoa kuitwa ya unafiki ng`wana ong`wa kulwa analipigania,kila jambo lina mazuri na mabaya yake,kuna mazuri ya kuchelewa kuoa/kuolewa na kuna mabaya yake hali kadhalika kuna mazuri na mabaya ya ndoa.
Mabaya ya kuchelewa kuolewa hayatufanyi tuwahukumu kwamba ndo mmekosa kabisa na kwamba hamfai,hali kadhalika mabaya ya ndoa au changamoto zake yasiwafanye kuihukumu taasisi hii kuwa ni ya unafiki.Ukweli ubaki kuwa ukweli.
and viceversa is true unaliwa lol aibuje kukiri hadharani nnchi yetu hata haitaruhusu ndoa za jinsia moja utasubiri sanaaaaa sajo