Majibu kwa lara 1

Majibu kwa lara 1

Hahahaaaaaaa! ILA MKE WA MTU MWENZENU KWENYE HIO TAASISI ATIIII!
Nitunge story kwa lipi hasaa manake humu maofisini wanandoa sifa zenu ziko waziiii hamna mpinzani, ni kuchukua tumfano mmoja mmoja! PROTECT YOUR OWN UWE HYPOCRITE MZURI, KILICHOCHAFUA TAASISI YA NDOA NI NYIE WANANDOA WENYEWEEEEEEE MSIJIKAUSHE!

Hatujikaushi ni maisha tunayoishi nashangaa kwa nini ushuhuda wa mke wangu umefutwa kwenye uzi wangu.
 
Hahahaaa THAT WILL BE COUPLE OF DECADES TO COME! On the mean time THE POLICY STANDS!

Ila ukome kushobokea watu usiotujua ukazani mkeo anaekuabudu unampa kunya bure apa mjini! Hihihihiiiiiiiiii! Utaumiaaa bro! Kwetu sis si mtu si mali kitu.

wipi tena dada yangu povu la nini twende tu polepole tutafika.
 
nadhani wengekuwa na ushuhuda wangeleta hapa PM kibao unakuta ni waume za watu wanatafuta nini kama si kuchepuka na humo ndani ni sumu...... I HATE THIS INSTITUTION CALLED MARIAGE..... kama kuta zingeweza kusema tungesikia vilio vingi sana vya wanandoa ...... hata ukipita mtaani asillimia kubwa utasikia usikimbilie ndoa kama ni tamu mbona wanataka kutoka.......
hao wasimamaizi wa ndoa ndio wanasaidiana kutafunana humo hmo ndani ya ndoa.... ndoa ni ni jamboa ambalo siwezi kuamini kama kuna raha humu fuuuck it let it go to hell
 
Hatujikaushi ni maisha tunayoishi nashangaa kwa nini ushuhuda wa mke wangu umefutwa kwenye uzi wangu.

Wameonaa UNAPOTOSHA UMAA NA MFANO WA KUTUNGA KAMA ULE USIOKIDHI MATAKWA YA JAMII! Hahahaaaaaa! Toa mfano hai usookataliwa na saverza jf!
 
Hahahaaaa! WANA ZUNGUKA MBUYUUUUU TU WAKICHOKA WANAANZA KUNI ATTACK ILA DOMO LINASIFIKA HUMU MMU LILIVO CHAFU NIKO STANDBY!

wala always UKWELI UNAUMA na kukubali ukweli wanashindwa ... waende kwenye ustawi wa jamii waona matatizo yaliyopo kule mengi ni kutokana na ndoa .... NDOA wasidanganyike si jambo la kukimbilia hata kidogo ni KUZIMU NDOGO
 
Hata hivyo chai nzuri ni ile inayonyweka ikiwa bado ya moto, kama kweli muhusika amedhamiria kunywa.Maandiko yanasema "mkumbuke muumba siku za ujana wako"Mungu mwenyewe alijua kwenye ujana ndo mambo mengi hufanyika.
Wito, kila mtu amweshimu mwenzie katika nafasi yake.
Tena heshima ije mara mbili kwa wale wenye ndoa maana ilo hata Mungu amasisitiza.
 
lara 1 anamtazamo uliye kuwa affected na utandawazi haelewi difference kuwa kuna 1 kuna 2 na 3 sasa naona anaforce system ambayo imeshakuwa poisoned
wapi Eiyer ,mkuu uelewa wa mtu kujua mtazamo wako lazima acopy na system yako kinyume na hapo nimajanga itakuwa teach and teach throughout

Kweli ni shughuli mkuu baba Paroko anajaribu kunyoosha kondoo lakini kondooo wengi walishapinda mpaka bai
 
wala always UKWELI UNAUMA na kukubali ukweli wanashindwa ... waende kwenye ustawi wa jamii waona matatizo yaliyopo kule mengi ni kutokana na ndoa .... NDOA wasidanganyike si jambo la kukimbilia hata kidogo ni KUZIMU NDOGO

huwezi jua maisha ya samaki mpaka uwe samaki
 
Wameonaa UNAPOTOSHA UMAA NA MFANO WA KUTUNGA KAMA ULE USIOKIDHI MATAKWA YA JAMII! Hahahaaaaaa! Toa mfano hai usookataliwa na saverza jf!

Kuna jamaa aliweka thread mke wake kamwambia I MISS U nahisi hilo neno lilitoka baada ya miaka kumi yandoa...... aku mie ngoja nifunge ndoa na PESA nitazimiss nitazitafuta ..... kuliko kujidanganya
 
Hitimisho!
TUWE TU WA WAZI UOLEWE, USIOLEWE, MAISHA YOTE NI CHANGAMOTO! Married people should be honest and stop window dressing of facts THAT THEY ARE THE HAPPIEST, LUCKIEST, AND BETTER THAN EVERYBOY HAVING A HEAVEN ON EARTH AND SINGLE OLD CARGOS LIKE ME SHOULD GO HUG A TRANSFOMER BECAUSE WE ARE PITYFULL! Hypocrisy at its highest!

IT ABOUT TIME WE PUT ALL THE CARDS ON THE TABLE!

I dnt think tulioolewa huwa tunajichukulia na kuwachukulia ambao hawajaolewa the way unavyozani wewe, na sijui ni nini kimekupelekea ukazani tuko hivyo[/QUOTE]

Umeongea vyema mkuu..

Haya maneno yote yanawatoka sababu ya kitu watoto wa mjini sijui wa kisasa wanaita kujishtukia. Ukipita mbele za watu wakicheka unahisi watu wanakuchekla wewe.

Huku ni kutokujiamini ambako koote huko hutokana na kuwa tofauti, unahisi kutokuolewa ni bahati mbaya,au mkosi ??laaah hasha. ni maisha tu, jiamini na muda utafika utapata mwenza utaolewa tu, haina haja ya kukashifu walioolewa. Au kutoka povu kwa jambo ambalo hata vitabu vya dili limebariki.

Changamoto zimo kila mahali, na sio jambo la msingi kutangaza kila linalotokea ndani ya ndoa. Na kumbuka kila ndoa ina utofauti na nyingine. Kama wewe bahati mbaya umepitia maisha ya kulelewa na wazazi wenye matatizo ndoani ni wewe.
 
lara 1 mbona hutaki ukweli you look ugly mbona so simple
Okay mrembo SAJO, SHOSTIII LA UKWELI, KICHUNA CHA HAJAAAAAAA! Umefurahiii! Na lipstic nakupakaaa ungae vizuri weweee mtoto wa kiumeee!

Heluaheluaaaaaaaaaa MREMBO SAJO, BEAUTY WA KIJIJI YUPO UWANJANI WALE WA ZANZIBAR NA DUBAI TUNAPOKEATENDER ZENU! MNAONA WENYEWEEEE KAKA ANAJISIFIA MZURIIIIIIIIJEEEEE! Lainiiiiiiiii! Kama UNANAWA! KAZI KWENU!

Nimeumisi kweli wimbo wa shilole DUME HILI DUME GANIIIII? DUME DADAAAAAAAAA LTAKA LIOLEWE EEEH LIINGIE NDOANI ATIIIII! Halooooooo!
 
unaniambia wewe kama nani au nawewe unableed,mind yo business hoe

Uko nilikuwa zamani siku zote matusi ni silaha ya weak litle boy kuficha udhaifu wake. wewe bado unanukia maziwa. heshimu dada zako son.
 
I dnt think tulioolewa huwa tunajichukulia na kuwachukulia ambao hawajaolewa the way unavyozani wewe, na sijui ni nini kimekupelekea ukazani tuko hivyo

Umeongea vyema mkuu..

Haya maneno yote yanawatoka sababu ya kitu watoto wa mjini sijui wa kisasa wanaita kujishtukia. Ukipita mbele za watu wakicheka unahisi watu wanakuchekla wewe.

Huku ni kutokujiamini ambako koote huko hutokana na kuwa tofauti, unahisi kutokuolewa ni bahati mbaya,au mkosi ??laaah hasha. ni maisha tu, jiamini na muda utafika utapata mwenza utaolewa tu, haina haja ya kukashifu walioolewa. Au kutoka povu kwa jambo ambalo hata vitabu vya dili limebariki.

Changamoto zimo kila mahali, na sio jambo la msingi kutangaza kila linalotokea ndani ya ndoa. Na kumbuka kila ndoa ina utofauti na nyingine. Kama wewe bahati mbaya umepitia maisha ya kulelewa na wazazi wenye matatizo ndoani ni wewe.
[/QUOTE]

ndiyo sasa waisdanganye watu na kuonyesha maisha ya ndoa ndiyo kila kitu .... easy thinking mind no....
 
I dnt think tulioolewa huwa tunajichukulia na kuwachukulia ambao hawajaolewa the way unavyozani wewe, na sijui ni nini kimekupelekea ukazani tuko hivyo

Umeongea vyema mkuu..

Haya maneno yote yanawatoka sababu ya kitu watoto wa mjini sijui wa kisasa wanaita kujishtukia. Ukipita mbele za watu wakicheka unahisi watu wanakuchekla wewe.

Huku ni kutokujiamini ambako koote huko hutokana na kuwa tofauti, unahisi kutokuolewa ni bahati mbaya,au mkosi ??laaah hasha. ni maisha tu, jiamini na muda utafika utapata mwenza utaolewa tu, haina haja ya kukashifu walioolewa. Au kutoka povu kwa jambo ambalo hata vitabu vya dili limebariki.

Changamoto zimo kila mahali, na sio jambo la msingi kutangaza kila linalotokea ndani ya ndoa. Na kumbuka kila ndoa ina utofauti na nyingine. Kama wewe bahati mbaya umepitia maisha ya kulelewa na wazazi wenye matatizo ndoani ni wewe.
[/QUOTE]
USIDANDIE TRENIIII KAKAA HII PART 3

Tafuta part 1 ya MGIRIKI, PART 2 YANGU, NDO UJE HII UTAELEWA MCHEZO MZIMA ULIVOENDA! Bila hivounaongelea mambo usiyoyajua!
 
Back
Top Bottom