Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Last edited by a moderator:
mi nakula tu wazuri ila mazoombie daah nisamehe siwezi hehe
teamsurambaya mmepanic
sura na gender ni two issues tofauti hehe sokwe bana
kama hamtaki ndoa endeleeni kushughuliwa na mijamaa mtakumbuka shuka kukiwa kumekucha.
Shika yako ikushike! ULIULIZA SWALI JIBU NDO HILO, JIKOKOTE NALO BABUUUU! Ukiyavulia nguo hakikisha wayaoga atiii!Shika adabu yako.
nadhani wengekuwa na ushuhuda wangeleta hapa PM kibao unakuta ni waume za watu wanatafuta nini kama si kuchepuka na humo ndani ni sumu...... I HATE THIS INSTITUTION CALLED MARIAGE..... kama kuta zingeweza kusema tungesikia vilio vingi sana vya wanandoa ...... hata ukipita mtaani asillimia kubwa utasikia usikimbilie ndoa kama ni tamu mbona wanataka kutoka.......
hao wasimamaizi wa ndoa ndio wanasaidiana kutafunana humo hmo ndani ya ndoa.... ndoa ni ni jamboa ambalo siwezi kuamini kama kuna raha humu fuuuck it let it go to hell
mwali ni REALITY a.k.a sajo na keki tumemuandaliaa leo tunamfundisha na kukata kiuno anatuaibisha mnoooo kiuno kigumu kama toroli linakata kona
wala always UKWELI UNAUMA na kukubali ukweli wanashindwa ... waende kwenye ustawi wa jamii waona matatizo yaliyopo kule mengi ni kutokana na ndoa .... NDOA wasidanganyike si jambo la kukimbilia hata kidogo ni KUZIMU NDOGO
Kutwa wanashinda humu hata kazi hawana mala lara1 msipokuwa makini mtakufa maxini mfyuuuuuuuuuuuuuxxxxxxxxx
Acha unafki wewe mwanaume hapendezi kuwa mnafki, wewe umemuona lara 1 tu wengine kutukana watu ruksa siyo?
hahahahaha tanteeeeeee haya weka yako anti tuone unavyotufunika hivi pampasi ushaanza kuvaa au mikwaju ya haja haijakukolea ant sajo hahahaha
Waliwaaaaaaaa tuuu weye mtoto wa kiume, wanaume wazuri wawajua pia teeeeeeeh! Wachaaaaa! Mtoto lainiiiii watu wanakufaidii tu! Kantangazeeeeeeeee! GAWA ZANZIBARA HIOO GAWA KWA PROMOSHENI UTUKOMOE SIE WABAYA YAKHEEEEE!
HAHAHAAAAAAAAAA! Wewe tene MOST BEAUTIFUL DUME GELO WA HILI JAMAVI.! Alaaaaaaaaaaa! Tutakupatia wapi sie ! WAPE WAPE VITU HIVO WAFAIDI MALI ZAKO MWENYEWEEEE!
Baby LEAVE THEM ALL TO ME! I am lara 1, The KIMJONG UNG JESHI LA MTU MMOJA!
Khaaa we mwana Tabia ya kukesha kwenye vigodoro imeanza lini???
Mh...haya,
Mkuu, salaaama? Twende kwenye topic husika,
Naomba kwanza uelewe hili jambo called changamoto...Kuna changamoto kila mahali, hata kwenye majumba ya ibada kuna changamoto, ikulu pale kuna changamoto, iweje kwenye ndoa kusiwe na changamoto? je? changamoto anazopitia mke wa mtu ni sawa na wewe single lady?
Unadhani kubaki single ni heshima au ni uhuni tu? Sababu sisi ni binaadam tunahitaji kukidhi haja zetu, single utaishia uzinifu na kuitwa malaya. Bora uikabili ndoa na uijenge ili ukabiliane na changamoto zake, sio kuishia kuikandia bila sababu