Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,357
NB: Mishale iliyooneshwa hapa chini kwenye mchoro wa tufe (dunia) huonesha maji kujaa (high tide) upande wa kushoto na kulia, then low tide (kupwa) upande wa juu na chini.
Nimependa ulivyofikiri?Maana ake maji baharini huwa hayatoshi?![]()
Haya maelezo ni ya kitaalam sana. Na moja ya vitu visivyoeleweka au kuaminiwa au vyenye kasoro ni kuwa na maelezo ya kitaalam mengi sana ambayo mtu wa kawaida ni ngumu kuyaelewa au kuyafanyia practical. Maana yake ni kuwa elimu au maarifa ya hilo jambo yamefichwa kwa kutokujua au kwa makusudi. Binafsi linapokuja suala universe na mambo yake naonaga nadanganywa sana. Sijui labda ni elimu duni niliyonayo au uwezo wangu mdogo wa kuyaelewa.Part of the answer. Dunia inakabiliwa na kani mbalimbali kulingana na magimba (bodies) yaliyopo angani. Pili, dunia hai-move (rotation & revolution) katika hali ya complete stillness and tranquility, bali inayumba fulani hivi as if inataka kuanguka vile lakini always iko katika balance.
It's like cycling. Kuna balance, lakini sometimes kuna kulalia kushoto na kulia. So, hizo forces (centrifugal, gravitation, atmospheric pressures, internal forces, strong winds, na elements zingine majini, hali ya hewa) na physical features huleta matokeo ya maji kuhamia upande mwingine provisionally.
Think like this. Weka maji kiasi (like three quarters) kwenye beseni. Then, linyanyue juu na kulizungusha beseni taratibu huku ukiliegamaza (tilt) huku na huko.
Hukujiandaa tu kuyaelewa ila yanaelewekaHaya maelezo ni ya kitaalam sana. Na moja ya vitu visivyoeleweka au kuaminiwa au vyenye kasoro ni kuwa na maelezo ya kitaalam mengi sana ambayo mtu wa kawaida ni ngumu kuyaelewa au kuyafanyia practical. Maana yake ni kuwa elimu au maarifa ya hilo jambo yamefichwa kwa kutokujua au kwa makusudi. Binafsi linapokuja suala universe na mambo yake naonaga nadanganywa sana. Sijui labda ni elimu duni niliyonayo au uwezo wangu mdogo wa kuyaelewa.
Maji ya ziwa hupwa na kujaa pia, Ziwa Tanganyika ni mfano hai katika hilo.1. Kwanini maji ya ziwa hayakupwi Wala kujaa licha ya Dunia kuyumbayumba?
2. Kwanini maji ya bahari Dunia nzima yasijae upande ambao Dunia imelalia? Kuna mtu amesema kwamba maji yanapokupwa upande mmoja, jua kwingine yamejaa
Kuna jitu kubwa huwa linakunywa hayo maji. Likikojoa ndo maji yanarudiKwetu hakuna bahari, ila kuna ziwa kubwa sana. Mara ya kwanza kufika mikoa ya Pwani nilishanga sana kuona bahari ikiwa kavu na maji yake yameondoka.
Ndipo nilipoikumbuka stori ya moja wa mshujaa wetu aitwaye Ng'wana Malunde. Huyu mwamba baada ya kuwasumbua sana wakoloni, walimua kumkamata na kwenda kumfunga Unguja, aliyeyuka huko gerezani na kuonekana maeneo mbalimbali akirandaranda na ndipo aliposimulia habari za bahari kwenda kuchunga.
Sasa nyie watu wenye bahari yenu, naomba mnijuze kwa kina, bahari ikipwa huenda wapi?
AhAh haha Hilo kitu ndilo lilikausha chemchem zote za kijiji Cha kina KirikouKuna jitu kubwa huwa linakunywa hayo maji. Likikojoa ndo maji yanarudi
Kuyaelewa mpaka ufanye meditationHaya maelezo ni ya kitaalam sana. Na moja ya vitu visivyoeleweka au kuaminiwa au vyenye kasoro ni kuwa na maelezo ya kitaalam mengi sana ambayo mtu wa kawaida ni ngumu kuyaelewa au kuyafanyia practical. Maana yake ni kuwa elimu au maarifa ya hilo jambo yamefichwa kwa kutokujua au kwa makusudi. Binafsi linapokuja suala universe na mambo yake naonaga nadanganywa sana. Sijui labda ni elimu duni niliyonayo au uwezo wangu mdogo wa kuyaelewa.
Kila kitu kinavutana na kingine (ngoja tusubiri ufanisi wa quantum entanglement, inaweza kutufumbua macho zaidi). In a nutshell, hii ni kwa sababu ya uwepo wa electromagnetic sub-atomic particles ndani ya maada (kama electrons, protons, etc) ambazo ndizo zinaleta matokeo hayo.Mwezi unasababishaje maji kupwa na maji kujaa?
Ndio maana huwa sipendi kufuatilia sana habari za hii dunia,mwishowe tunaishia kutiana hofu tu.Yani imagine li body likubwa kama hili linaelea hewani huku linayumba yumba,huku linachomwa na jua upande mmoja huku upande mwingine unakuwa na giza,huku kuna mi force kibao inalipeleka kulia-kushoto juu-chini...Part of the answer. Dunia inakabiliwa na kani mbalimbali kulingana na magimba (bodies) yaliyopo angani. Pili, dunia hai-move (rotation & revolution) katika hali ya complete stillness and tranquility, bali inayumba fulani hivi as if inataka kuanguka vile lakini always iko katika balance.
It's like cycling. Kuna balance, lakini sometimes kuna kulalia kushoto na kulia. So, hizo forces (centrifugal, gravitation, atmospheric pressures, internal forces, strong winds, na elements zingine majini, hali ya hewa) na physical features huleta matokeo ya maji kuhamia upande mwingine provisionally.
Think like this. Weka maji kiasi (like three quarters) kwenye beseni. Then, linyanyue juu na kulizungusha beseni taratibu huku ukiliegamaza (tilt) huku na huko.
Nadhani hiyo ni paranoia ya kawaida tu, sawa na mtu anayesafiri kwa ndege (au hata gari) mara ya kwanza. Lakini akielewa na kuzoea utendaji na raha husika, anaweza hata kujisahau aka-book ndege za mashirika mawili kwa mpigo.Ndio maana huwa sipendi kufuatilia sana habari za hii dunia,mwishowe tuanishia kutiana hofu tu.Yani imagine li body likubwa kama hili linaelea hewani huku linayumba yumba,huku linachomwa na jua upande mmoja huku upande mwingine unakuwa na giza,huku kuna mi force kibao inalipeleka kulia-kushoto juu-chini...
Hahaaaaaa...Kuyaelewa mpaka ufanye meditation
Ndo mithili ya hilo mkuu 🤣🤣🤣HHaha
AhAh haha Hilo kitu ndilo lilikausha chemchem zote za kijiji Cha kina Kirikou
Kwa hii content hawezi kukuelewa mwambie arudi shuleKani ya uvutano kati ya mwezi na dunia Mkuu
UNIkumbusha majiko ya makopoElimu haina mwisho. Wengine wakati wa hiki kipindi darasani tulikuwa tunakota moto kwa ajili ya baridi.
Haha hahah hahaha kwanini hukunishauri directly, ukaamua kwenda kutoa ushauri nchi jirani?Kwa hii content hawezi kukuelewa mwambie arudi shule
Somehow mfano nzuriUkilala kitandani na ukajifunika shuka fupi, ili ufunike kichwa chako lazima miguu ibaki nje....na ili uifunike miguu lazima kichwa kibaki nje au wazi.
When there is low tide at one point of the ocean, there is high tide at another point of the ocean.