Earth RotationNini kinachohamisha maji ya bahari kutoka point moja kwenda nyingine?
Jua halizami wala halimoveKwani jua likizama huenda wapi?
Wanasayansi wanasema maji ya bahari huvutwa na mwezi, kwahiyo ule upande ambao mwezi upo basi maji yataegemea huko na kusababisha upande mwingine ukose maji. Kwahiyo wakati upande fulani wa bahari duniani umejaa maji kuna upande mwingine maji yanapungua.Nini kinachohamisha maji ya bahari kutoka point moja kwenda nyingine?
mkuu mwezi unaingiaje hapo?Kani ya uvutano kati ya mwezi na dunia Mkuu
Mwezi ni moja ya bodies ambazo huzunguka dunia. Na ndo ipo jirani zaidi na dunia, hivyo kimsingi kama ilivyo kwa Dunia, mwezi nao una kani ya uvutano au gravitational force ambayo inavuta kila kilichopo duniani katika usawa wake.mkuu mwezi unaingiaje hapo?
nimependa sema sijaelewa.Mwezi ni moja ya bodies ambazo huzunguka dunia. Na ndo ipo jirani zaidi na dunia, hivyo kimsingi kama ilivyo kwa Dunia, mwezi nao una kani ya uvutano au gravitational force ambayo inavuta kila kilichopo duniani katika usawa wake.
Sasa basi, kutokana na muundo wa maji hauna particles zilizoshikamana kama maada zingine basi ni rahisi kuathiriwa na mvutano huo ambao unaanzia kwenye Jua.
Kwahiyo upande ambao unatazamana na mwezi ambao huzunguka dunia basi maji ya bahari ya upande huo ambayo yamechukua asilimia kubwa ya dunia yatafuata uelekeo huo na kutengeneza kupwa na kujaa kwa maji baharini.
Vyema sana mkuuhapa najaribu kutafakari
Kwann sasa maji ya ziwa hayaondoki na kurudi
Maji ya ziwa hupwa na kujaa pia, Ziwa Tanganyika ni mfano hai katika hilo.
Kila mahali penye water body duniani pana-experience tukio la kupwa na kujaa.
Naelewa 100% unachomaanisha. Lazima tufikie hatua, kama wanadamu, tuamini na kukubali kwamba sayansi yetu hii, ama angalau tunavyoielewa sasa, haina maelezo ya kutosheleza kuhusu ulimwengu.Hilo la maji kupwa na kujaa mbona dogo sana. Jiulize nje ya mfumo wa hili jua letu wapi mwisho. Na huo mwisho nyuma yake au mbele yake kuna nini?
Hapo utaambiwa ni kama vile kujiuliza mwisho wa namba za kuhesabia ni nini. Ipi namba ya mwisho.
Nimeongeza maelezo kidogo kwenye michoro, mkuu. Sema nini? Niko kwenye shughuli za kujenga taifa huku ndani ndani huku. 🙂Kibabe sana
Ameeleza vizuri sana, kwa ufupi. Nadhani ambacho kinaweza kuleta utata kwa baadhi ni namna ambavyo mwezi unaweza kuyavuta maji.nimependa sema sijaelewa.
Sawa sana mkuu. Umeleeweka mpaka hapoPart of the answer. Dunia inakabiliwa na kani mbalimbali kulingana na magimba (bodies) yaliyopo angani. Pili, dunia hai-move (rotation & revolution) katika hali ya complete stillness and tranquility, bali inayumba fulani hivi as if inataka kuanguka vile lakini always iko katika balance.
It's like cycling. Kuna msawazo, lakini sometimes kuna kulalia kushoto na kulia. So, hizo forces (centrifugal, gravitation, atmospheric pressures, internal forces, strong winds, na elements zingine majini, hali ya hewa) na physical features huleta matokeo ya maji kuhamia upande mwingine provisionally.
Think like this. Weka maji kiasi (like three quarters) kwenye beseni. Then, linyanyue juu na kulizungusha beseni taratibu huku ukiliegamaza (tilt) huku na huko.