Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,630
- 106,624
Salute Comrades
Nimekua nikijaribu kuji-challange mwenyewe juu ya matukio mbalimbali yaliyoelezewa kwenye biblia kuona ni kweli yalitokea na hua napata majibu ya kiridhisha. Nimeangalia hili tukio la mvua kuubwa iliyonyesha kipindi hicho amabapo iliangamiza binaadam wote na wanyama kasoro mjukuu wa mtu mtakatifu Henocko na wanae ndio walipaki na sampo kadhaa za wanyama. Mvua hiyo inaitwa Ghalika ya Nuhu
NB. Mimi ni Mkristo Mkatoriki na najivunia kwa hilo.
Nimejaribu kufuatilia hili swala la mvua kubwa kunyesha dunia nzima nimeona inawezekana kabisa hii mvua haikunysha dunia nzima lakini ni eneo alilokua anaishi nuhu tu.
Ni kwamba Musa hakuandika matukio yote katika vile vile vitabu vitano vya mwanzo (mwanz,kutoka,hesabu,torat,walawi) ila aliwaagiza waisrael wawasimulie matukio yote watoto wao, sasa walipowasimulia watoto wao hawakuwasimulia kama wataalam wa histori pia waliwasimulia watoto wao kama mambo kama walivyoyaona kwa macho si kama wataalam wa elimu ya viumbe, mazingira,sayansi nk.
Mfano. Waliona maji ya mto naili yamekua mekundu tena yana nuka rangi hiyo ikawa nyekundu kama damu tukio hilo walisimulia kua Maji yaligeuka kua damu.
Hivyo inawezekana kutokana jinsi walivyowasimulia bila kua na elimu ya mambo waliwasimulia vibaya waandishi wa mambo ya kale kwamba mvua ilinyesha dunia nzima.
Baadhi ya vitu vilivyosimuliwa vibaya kutokana na ukosefu wa elimu na kusimulia jambo kama walivyo liona ni haya..
NB. Mungu hufanya miujiza kwa aina kuu mbili ambazo ni
1. Mungu anatenda jambo fulani la pekee kabisa lisiloweza kutokea kwa namna yoyote ile hapa duniani bila uweza wake mfano Kufufua mtu.
2. Mungu anatenda jambo fulani linaltokea mara kwa mara kumsaidia mtu fulani katika mzingira ya pekee nalo hilo ni muujiza sababu limetokea kwa maongozi ya Mungu wakati uleule anapolihitaji mtu yule
Soma kisha connect dots mwenyewe kuhusu mvua ya gharika.
.

- Mapigo kumi ya Misri
Mapigo kumi ya misri toka zamani hadi siku hizi yalikua yanatokea kubadirika kwa rangi ya mto naili,nzige,upepo unaovuma kwa nguvu toka jangwani na kuleta mawingu ya mchanga na mchana kubadirika kua giza. Sasa ipo hivi Mvua ilinyesha kubwaa ikapelekea maji ya mto naili kujaa matope mekundu vyura wakakimbilia kwenye majumba, baadae vyura wakafa wakaleta chawa na harufu kali mjini. Upepo ukavuma toka jangwani ukaleta vumbi zito angani hatimaye kufanya mchana kua na giza.
Sasa wana wa israel walipowasimulia watoto wao walisema maji ya mto naili yalikua mekundu kama damu baadae nawatoto waksimulia kua maji yalikua damu.

- Hesabu ya wana wa Israel
Inakadiriwa wana wa Israel waliku 600000 kut 38:26 na Hes 1:46 wanaume wenye uwezo kwenda vitani 603550 (bila walawi) hivyo idadi ya wana Israel wote wanapata kufika milioni 2. Lakini biblia inaonyesha kua hesabu hiyo inapita hesabu ya kweli ya waisrael waliotoka misri (kut23:29-30). Sasa ili tuelewe tarakimu za biblia inabidi tujue namna mbalimbali ya kutumia tarakimu nyakati za kale. Lugha ya kiebrania haitumii tarakimu pekee kuhesabia pia herufi za lugha hiyo hutumika kama namba, mfano A hutumika kama tarakimi 1 na B kama 2. Kutoana na maandiko mengine ya zamani neno la kiebrania Elef (kwa kiswahili Elfu ) lina maana ya jamaa na pia tarakimu 600 . Hivyo yawezekana watu wa zamani walipoona maandishi Walitoka misri watu miasita elfu walisima sahihi kua walikua Jamaa 600 baade wakafahamu vibaya wakasoma 600000
- Kuvuka Bahari ya shamu
Kutokana na vitabu vya historia (Kutoka) inasemekana kua sehemu walipovuka waisrael katika bahari ya shamu hapakua na maji mengi sana, maji yalikua yamekupwa hivyo walipita vizuri. Lakini wakati wamisri wanavuka maji yakajaa. Hivyo walipomua wanasimulia watoto wao walisema kua maji yaligawanyik/yalikauka wakapita.
- Chakula cha Mana
Mungu aliwalisha chakula wana wa Israel karibu na mlima sinai kwa makundi ya kware na chakula flani kinachoitwa mana.
Sasa ipo hivi Karibu na mlima sinai makundi ya kware hupita kila mwaka kwa wakti flani lakini pia kuna mti flani wenye matawi mengi, kinazaa chakula kinachoitwa mana wenyeji wa pale hukitumia mpaka leo inasemekana kinafanana na mana ya biblia.Chakula hicho hapo sinai hubatikana kwa uhaba lakini kwa uwezo wake Mungu waisrael walikipata kwa wingi na makundi ya kware kwa wingii.
Hiyo ni baadhi tu ya mifano nimechoka ku-type ningeorodhesha mingii mno.
Hivyo najenga hoja kua kutokana na mifano hiyo hapo juu inawezekana mvua haikunyesha dunia nzima sema kutokana na masimulizi yalivyokua yanasimuliwa wakasema mvua ilinyesha dunia nzima...
GreatThinkers mwaweza kuipangua hoja hiyo hapo.
Kama una swali lolote kuhusu biblia na maandiko uliza hapa kama lipo ndani ya uwezo wangu nitakujibu.
Thankyou
Prepared & Written by