Je, Maji ya hizi Mvua zinazoendelea ni salama?

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Posts
9,554
Reaction score
9,380
Habari Ma GT wote wa JF,
Kutokana na shida ya maji iliyopo kwenye nchi yetu. Watu wengi (mimi nikiwa mmojawao) waliamua kwa njia moja au nyingine kujichimbia visima vya kuvunia maji ya mvua kwa matumizi mbalimbali ikiwemo kuyatumia kwa kunywa baada ya kuyatreat kwa dawa za kusafisha maji (Chlorine ) maarufu kama Shabu

Hofu kubwa niliyonayo sasa ni aina ya maji ya mvua yanayomwagika kwa sasa,
kwanza maji yalikuwa na ladha ya ajabu (too Acidic) nikahisi labda kuna contamination ndani ya kisima, nilipochungulia kwenye kisima nilishangaa kuona maji ni meusi sana, so nikahisi labda bati lilikuwa ni chafu sana lakini pia sikuamini sana kwani mfumo nilionao hauruhusu maji machafu kuingia kisimani,

Sasa mvua ya jana nikaamua kukinga maji kwenye ndoo kwenye open area (Maji yasiyogusa bati), kwa kweli nilipigwa na butwaa kuona maji yaliyojaa kwenye ndoo ni meusi sana (Kama picha inavyojionyesha hapo chini)
Nilipouliza majirani wawili watatu, wote pia wamevuna maji ya aina hiyohiyo.

Sijui kama kuna mdau humu amenotice hichi kitu, lakini wito kwa Wizara ya Afya, TBS pamoja na TFDA wajaribu kuyafanyia uchunguzi maji hayo na kutulidhisha kuwa ni maji salama kwa matumizi ya kawaida, isijekuwa tunakunywa Sumu zilizokuwa angani zinazoshuswa na maji hayo ya mvua

image.jpg
 
Sasa mvua ya jana nikaamua kukinga maji kwenye ndoo kwenye open area (Maji yasiyogusa maji), kwa kweli nilipigwa na butwaa kuona maji yaliyojaa kwenye ndoo ni meusi sana (Kama picha inavyojionyesha hapo chini)
Nilipouliza majirani wawili watatu, wote pia wamevuna maji ya aina hiyohiyo.

Sijui kama kuna mdau humu amenotice hichi kitu, lakini wito kwa Wizara ya Afya, TBS pamoja na TFDA wajaribu kuyafanyia uchunguzi maji hayo na kutulidhisha kuwa ni maji salama kwa matumizi ya kawaida, isijekuwa tunakunywa Sumu zilizokuwa angani zinazoshuswa ardhini baada na maji hayo ya mvua

View attachment 671763
MKUU hapo tatizo sio mvua, tatizo ni uchafu mweusi huwa unakaa kwenye gutter. Mbona mi navuna hayo MAJI na yako fresh tu
 
Mimi pia ni shuhuda wa hili. Jana jioni imenyesha mvua kubwa eneo letu. Binti yangu wa kazi akakinga maji pipa likajaa. Ilipokatika akataka kuyahamishia ndani ila akasita maana yalikuwa meusi sana. Aliponiita kuyaona, niliamuru ayamwage mara moja maana kiukweli kwa macho tu, hayafai kwa matumizi ya binadamu!!!
 
MKUU hapo tatizo sio mvua, tatizo ni uchafu mweusi huwa unakaa kwenye gutter. Mbona mi navuna hayo MAJI na yako fresh tu

Kaka hayo maji kwenye ndoo hayakupita kwenye bati wala Gutter, nimeyakinga kwenye eneo la wazi moja kwa moja
 
Mie niko Morogoro nina gari nyeupe nimeikuta ina michirizi ya maji ya rangi nyeusi nilijiuliza asubuhi kuwa ni kitu gani baada ya kusoma huu uzi nimepata jibu kuwa ni mvua
 
kweli kabisa maji meusi sana nilistahajabu sana leo asubuh
ila ukiyatuliza ukayachota taratibu kwa chombo kingine yanakuwa safi ni ukungu mweusi upo chini sasa sijui umesababishwa na nn
 
Sure Maji ya Mvua ya Jana pakee ndio yalikuwa Meusi ila ya juzi meupe safi kabisa... Me Nimestukia yawezekana kuna janja inatumika maana nimeshangazwa na Ofisi ya Utabiri wa hali ya hewa kutabiri na majibu yakaja ya ukweli kwa mara ya kwanza nadhani ni Mvua za Lowassa hizi zile za Mabomu kutoka Ufilipino sijui Indonesia
 
Jamani hili suala la maji kuwa meusi ni la kweli. Mi wife alishangaa sana maji kuwa meusi kiasi hicho. Lakini kwa usafi hayana shida kabisa.
 
Habari Ma GT wote wa JF,
Kutokana na shida ya maji iliyopo kwenye nchi yetu. Watu wengi (mimi nikiwa mmojawao) waliamua kwa njia moja au nyingine kujichimbia visima vya kuvunia maji ya mvua kwa matumizi mbalimbali ikiwemo kuyatumia kwa kunywa baada ya kuyatreat kwa dawa za kusafisha maji (Chlorine ) maarufu kama Shabu

Hofu kubwa niliyonayo sasa ni aina ya maji ya mvua yanayomwagika kwa sasa,
kwanza maji yalikuwa na ladha ya ajabu (too Acidic) nikahisi labda kuna contamination ndani ya kisima, nilipochungulia kwenye kisima nilishangaa kuona maji ni meusi sana, so nikahisi labda bati lilikuwa ni chafu sana lakini pia sikuamini sana kwani mfumo nilionao hauruhusu maji machafu kuingia kisimani,

Sasa mvua ya jana nikaamua kukinga maji kwenye ndoo kwenye open area (Maji yasiyogusa bati), kwa kweli nilipigwa na butwaa kuona maji yaliyojaa kwenye ndoo ni meusi sana (Kama picha inavyojionyesha hapo chini)
Nilipouliza majirani wawili watatu, wote pia wamevuna maji ya aina hiyohiyo.

Sijui kama kuna mdau humu amenotice hichi kitu, lakini wito kwa Wizara ya Afya, TBS pamoja na TFDA wajaribu kuyafanyia uchunguzi maji hayo na kutulidhisha kuwa ni maji salama kwa matumizi ya kawaida, isijekuwa tunakunywa Sumu zilizokuwa angani zinazoshuswa na maji hayo ya mvua

View attachment 671763
Mkuu tokea kuingie haya magari yanayoitwa telza na subaru kelele zake moshi ndio hizo zinazoharibu Maji tfda wafuatilie wajilidhishe hizi gari zifungiwe tu
 
Sasa mvua ya jana nikaamua kukinga maji kwenye ndoo kwenye open area (Maji yasiyogusa bati), kwa kweli nilipigwa na butwaa kuona maji yaliyojaa kwenye ndoo ni meusi sana (Kama picha inavyojionyesha hapo chini)
Nilipouliza majirani wawili watatu, wote pia wamevuna maji ya aina hiyohiyo.

View attachment 671763
Ndoo yako ndio Nyeusi kwa ndani Mkuu,
Usiyasingizie maji
 
Mvua ya siku hizi ina maji meusi, sie tulio okoka tunatabiri huu ni mwisho wa dunia....
 
MKUU hapo tatizo sio mvua, tatizo ni uchafu mweusi huwa unakaa kwenye gutter. Mbona mi navuna hayo MAJI na yako fresh tu
Hujasoma vzr maelezo ya mleta mada. Umeambiwa amekinga maji kwenye ndoo direct kutoka angani. Means maji yanatoka kwenye wingu direct kwenye ndoo bila kupitia kwenye bati. Hapo gutter linahusikaje ndugu?
 
Habari Ma GT wote wa JF,
Kutokana na shida ya maji iliyopo kwenye nchi yetu. Watu wengi (mimi nikiwa mmojawao) waliamua kwa njia moja au nyingine kujichimbia visima vya kuvunia maji ya mvua kwa matumizi mbalimbali ikiwemo kuyatumia kwa kunywa baada ya kuyatreat kwa dawa za kusafisha maji (Chlorine ) maarufu kama Shabu

Hofu kubwa niliyonayo sasa ni aina ya maji ya mvua yanayomwagika kwa sasa,
kwanza maji yalikuwa na ladha ya ajabu (too Acidic) nikahisi labda kuna contamination ndani ya kisima, nilipochungulia kwenye kisima nilishangaa kuona maji ni meusi sana, so nikahisi labda bati lilikuwa ni chafu sana lakini pia sikuamini sana kwani mfumo nilionao hauruhusu maji machafu kuingia kisimani,

Sasa mvua ya jana nikaamua kukinga maji kwenye ndoo kwenye open area (Maji yasiyogusa bati), kwa kweli nilipigwa na butwaa kuona maji yaliyojaa kwenye ndoo ni meusi sana (Kama picha inavyojionyesha hapo chini)
Nilipouliza majirani wawili watatu, wote pia wamevuna maji ya aina hiyohiyo.

Sijui kama kuna mdau humu amenotice hichi kitu, lakini wito kwa Wizara ya Afya, TBS pamoja na TFDA wajaribu kuyafanyia uchunguzi maji hayo na kutulidhisha kuwa ni maji salama kwa matumizi ya kawaida, isijekuwa tunakunywa Sumu zilizokuwa angani zinazoshuswa na maji hayo ya mvua

View attachment 671763
Mkuu ulichoona ni sahihi kabisa.Usitumie maji ya mvua straight,sio salama kabisa,yalikuwa salama miaka mingi iliyopita,sio sasa.Huwa tukiongea tunaambiwa ni conspiracies,nashukuru mengine mnayaona wenyewe straight.Infact Mimi nimeshaona hata maji ya kijani.Kwa sisi wataalam ambao tumeshafanyia analysis rain water,hali inatisha.Simply don't use rain water.
Mkuu kama unataka kupata a glimpse of what is happening in the atmosphere,google "Chemtrails." Dangerous chemicals are being sprayed in the atmosphere by the New World Order Elite purposely to kill us.Jamani hivi hamuoni kwamba siku hizi visibility imepungua sana?Kama mtu uko observant in a sunny day hasa kama mbele yako kuna kamlima, utaona kwa mbali kidogo kuna kitu kama moshi na huwezi kuona mbali!Those are poisonous substances floating in the atmosphere.

Kwanza nashangaa kwa nini hatufi kama panzi,acheni huyu Mungu aitwe Mungu jamani.Remember that this type of pollution is separate from industrial waste pollution, car fumes pollution etc.ambako hata huko yako makusudi hayo hayo mabaya.We are simply surrounded by poisons.Sina nia ya kutisha watu,kwanza napata faida gani,lakini huo ndio ukweli.Halafu nakushangaa eti unatumia Chlorine in water,this is outrageous. Yes it will kill bacteria,but the health consequences are enormous.Mkuu Chlorine is a poison,hata utumie kidogo kiasi gani,we simply have been cheated.Don't be lazy,chemsha maji yako kunywa.
 
Back
Top Bottom