Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
......Kwa upande mwingine pia natamani hizi zingekuwa zila enzi za 'lazima kwenda jeshini' ili nione kama JK angethubut kumpeleka Ridhiwani huko.
mbalamwezi majeshi yetu yamekwenda kule kama miaka 3 iliopita ndugu yangu,,ukisem achini yamendate ya AU ,,,SIKUBALIANI maana ndugu(JK) yetu kapeleka juzi kama AU majeshi yake je majeshi ya AU yalianzanza kwenda toka lini uko????????bado tujieulize nini wanachokimbilia kule na kwanini wasimkimbilie ""COMRADE MUGABE""
waone cha moto na MAJESHI YAKE YAMESHASEMA HAKUNA MWINGINE ZAIDI MUGABE ,,,,kazi ipo?????
Quick question, majeshi yetu yameenda kule lini...? Kwa sababu nina taarifa zinazokinzana.
Labda kwa kujazia swali juu ya swali, nani ana mamlaka ya juu kupeleka majeshi yetu kunako vita? Ni bunge? Ni Raisi (sirikali)? Ni wote bunge na sirikali?
Nadhani angempeleka tu huko jeshini! Mwalimu Nyerere akiwa Rais watoto wake walipitia JKT, na wawili kati yao walikuwa JWTZ ambao ni Capt Charles Makongoro Nyerere na yule rubani (nimesahau jina lake), na tena basi walikwenda mstari wa mbele kupigana vita vya Kagera. Hata huku UK Prince Harry ni askari katika jeshi la UK na majuzi tu alikuwa mstari wa mbele huko Afghanistan.
Halfu eti tunasema tuna jeshi jeshi gani vita unaisoma theory tu,siku tukivamiwa hapa utaona tunavyopukutika kama siafu,hao wanaokwenda peace keeping na kurudi ni hazina ya taifa wakati wowote tukivamiwa.Kwa kukosa kazi ndio maana wanajeshi wetu huko songea wanaamua kupiga raia,kuwa walevi kupindukia,na hapa dar kupambana na raia wafanyakazi wa dawasco na wengine kuingia katika ujambazi.Hakuna kazi kule kambini wakienda wanapiga gwaride asubuhi,wengine wanaingia kufyeka nyasi saa tano tu wamemaliza hao,siku imepita.
Wanadai wanafanya mazoezi ya kuimarisha ujeshi wao.
Kwa nini wasiende Kenya hapa karibu kuzuia wenzetu hawa wasichinjane wanakwenda Comoro?
MH Kikwete lazima atuambie ukweli,hii nguvu ya kwenda comoro iko backed up na Marekani.
Nijiavyo mimi muungano wa Zanzibar ulipikwa na CIA na Nyerere kuuziwa kwa bei poa autekeleze ili kuondoa uwezekano wa Zanzibar kuchulikuliwa na Wacommunist.
Usione pengine kwa siri karuhusu Marekani ijenge kituo chake,AFRICOM, kisiwa cha Mafia kwa ahadi ya kuwabeba SISIEMu kutawala milele.
Kalagabaho
Picha za wanajeshi wetu wakiwasili Fomboni jana asubuhi, wengine hao wenye kofia nyekundu ni wasudan
Hii picha ya Last week wakati wanatua Moroni
fighting insurgency sio mechi ya mpira...!
MAENDELEO kwenye mfumo wa habari...yapo juu..ukiangalia cnn na aljazeera huwa unaona nini..kuna tofauti kati ya live news coverage na live sports coverage.....
live news coverage lazima iendane na ethics za vyombo vyua habari..ikiwemo kuondoa script ambazo zipo kinyume na sera husika..lakini mwisho wa siku habari inawafikia watu!!..kumbuka hata cnn huwa hawaoneshi maiti za kutisha za askari hasa askari wao ....ila mara kwa mara huonesha mapambano mstari wa mbele.....na unaonesha pale unaposhambulia tu,ukipigwa huwezi kuonesha..thats a duffrent na mpira ambako hata ukifungwa unaonesha!!!!