1. Mkuu kumuita binadamu mwingine mzembe au mjinga ni matsui period, na hatuhitaji hizo lugha hapa ili kueleweka na jamii, Mkuu Mwanakijiji, hajawahi kumuita kiongozi yoyote wa taifa hayo majina, lakini hakuna asiyejua kali yake, muulize Lowassa, kumuita rais wa jamhuri hayo majina ni unacceptable na sisi wanannchi tuliomchagua, hatuwaiti viongozi wa upinzani hayo majina hata siku moja, sasa heshima ni kitu cha bure,
2. Now kwa maneno yako mwenyewe ni clear kuwa hatuna sheria inayombana rais wetu kusubiri umauzi wa bunge kabla ya kwenda vitani, unakubali kuwa vita vyote tulivyopigana na kuwasaidia nchi nyingi za Afrika, na kufikia kuwa masikini kuliko tuliowasaidia, havikuwahi kuidhinishwa na bunge,
kwa hiyo huna sheria, huna history on your side, lakini unadai rais ana makosa na unadai mpaka kwa lugha mbovu mbovu kama tuko kilabuni, kumbe ulichotakiwa kuomba ni marekebisho ya katiba, kaazi kweli kweli,
Anywaways, usiku mwema.
Thats why i like JFComoro kunani? maana baada ya JK tu kuingia madarakani kau balozi kakafunguliwa pale karibu na coco beach, nasikia ile nyumba alikuwa anakaa mwanajeshi fulani. Guess who is Balozi Islam Balhabou(yule mwenye Tanganyika Oil(TIOT). Baada kama ya mwaka Balozi wa Camoro kaunda kampuni inayoitwa Dar Cement na ikanunua kale ka kiwanda ka Land Rover Mbagala. Kule alipokuwa swaiba wangu Leonard Tenga(Rais wa TFF) na kuanzisha kiwanda kipya cha Cement. Na balozi huyu anatamba hiyo ni joint venture ya rais wetu na yule wa Comoro na wana order ya 100% ku supply Comoro. Sasa kama business patner anakuwa threaten si lazima uingilie? Ni mtizamo wangu tu kwa upande tofauti
NO LET ME REPHRASE, I MEANT TO SAYI LUUUUUUUUUV JF, Yaani mkuu aliyeshusha hii thread mbona asante, itaibua mengi.Thats why i like JF
Heshima ni kitu cha bure.
Heshima ni kuto sema matusi majukwaani, lakini kufanya vitendo vya matusi vya kuwafanya watanzania wajinga hilo si sehemu ya heshima ni kitu cha bure?
Yule jamaa kamwita Pres mjinga umemrudishia hayo maneno na kumwita yeye mjinga. Kwa hiyo ni ruksa kwako kumwita mjinga na mzembe mtu aliye mwita rais mjinga?
Tunaingilia mambo ya nchi nyingine hilo liko clear.
Sehemu ya umasikini wetu imechangiwa na tabia ya kuingilia mambo ya nchi nyingine.
Tunatoa misaada Comoro kwa malipo gani?
USA wamevamia Iraq na Afganistan ku control Middle East na Oil Buss.
Sisi Comoro tunafuata nini na umasikini wetu huu wa kunuka? Biashara a vitunguu?
Comoro kunani? maana baada ya JK tu kuingia madarakani kau balozi kakafunguliwa pale karibu na coco beach, nasikia ile nyumba alikuwa anakaa mwanajeshi fulani. Guess who is Balozi Islam Balhabou(yule mwenye Tanganyika Oil(TIOT).
Baada kama ya mwaka Balozi wa Camoro kaunda kampuni inayoitwa Dar Cement na ikanunua kale ka kiwanda ka Land Rover Mbagala. Kule alipokuwa swaiba wangu Leonard Tenga(Rais wa TFF) na kuanzisha kiwanda kipya cha Cement. Na balozi huyu anatamba hiyo ni joint venture ya rais wetu na yule wa Comoro na wana order ya 100% ku supply Comoro. Sasa kama business patner anakuwa threaten si lazima uingilie? Ni mtizamo wangu tu kwa upande tofauti?
(about KAGERA)NALO NI JIBU.........! LAKINI kunapokuwa na majibu mengine nayo yawekwe.....mfano swali linauliza..WHY MAJIMAJI FAILED?Tanzanai we fought Idd Amin simplu because Obote was a chosen guy by Mwalimu then vita ikaleta balaa Tanzania hadi sasa.Comoro sasa tuna anza kusema tunalinda amani the same time kuna maneno kwamba ametakiwa ku surrender na wanaenda kumkamata apelekwe Mahakamani .
Kuna ukwel upi hapa ?
. Mkuu KJ, rais Kikwete sio mjinga wala mzembe, labda wewe ndiye mzembe na mjinga, huwezi kumtukana rais wetu mkuu kwa sababu tu humtaki na hukumchagua, no kuna tuliomchagua na tunajua kuwa Tanzania tunayo matatizo aliyoyarithi toka awamu zote zilizopita, na sasa wanatokea wazembe kama wewe na kudai arekebishe yote ya miaka 45 in two years, that is nonesense, na ndio uzembe wenyewe na ujinga.
2. Vita vya Uganda bunge letu halikuamua kama unavyodai sasa liamue kuhusu Comoro, ni another nonesense rais anafuata historia ya sheria zetu, sasa kama amekuta kuwa hakuna historia ya bunge kupitisha vita vyetu, na haioni sheria ni kwa nini afuate hiyo sheria yako? Vita vya Mozambique, South Africa, Zimbabwe, hilo bunge lako liliidhinisha? Je tunayo hiyo sheria inayosema bunge tu ndio litaidhinisha vita? Hizi unazoleta ni hoja za kitoto sana, ni kweli sheria ipo US lakini ukweli ni kwamba rais wa nchi hiyo alipeleka majeshi Afaghanstan, n Panama, bila okay ya Congress, Bill Clinton alipiga Serbia bila okay ya Congress, halafu akarusha missles Sudan na Pakistan, bila okay ya Congress, sasa kama unachobisha kama sio utoto ni nini? Sheria hata ikiwepo haimzuii rais wa nchi ku-act kwa the interst of the nation bila ya ku-consult anybody ndio maana wananchi tunahitaji kutumia busara kumchagua rais knowing kuwa urais sio lelemama mkuu!
3. Mwalimu alikuwa na muda wa kutosha kulitaka bunge likutane kuidhinisha vita na Uganda, au angalau kwenda mpaka Kampala kumuondoa Amini, lakini hakufanya, sasa kama wewe ni msomi as you want us here tuamini then unapaswa kuweka ishu kwenye pande mbili na sio upande unaoutaka wewe tu bila kutupa the alternatives kwa sababu siasa kama sheria 90%, huamuliwa ka kutumia historia,
Kwa hiyo mkuu kwenye hili la rais kupeleka majeshi kokote nje ya nchi yetu, huna hoja ya msingi kwa sababu huna history wala sheria on your side, halafu next time acha matusi na lugha za choooni, sio lazima uazitumie ili hoja yako ieleweke,
Rais wa Jamhuri aliyechaguliwa na wananchi wa Tanzania, huwezi kumuita mjinga na mzembe, maana hapo peke yake unaonyesha uzembe na ujinga wako, na kwamba huna heshima wala adabu kwanza kwa rais wako, pili kwa sisi wananchi tuliomchagua, kwa hiyo hata mawazo yako sio worthy kabisa mkuu kuyasikiliza, wala kuyatilia maanani.
Kubwajinga,
Bwana unadhani majeshi yanapelekwa!!! system nzima ya jeshi, wizara ya ulinzi, wizara ya mambo ya nje inajadili kwanza... Rais hakurupuki tu!
Habari muhimu sana hii ndugu, uwezi kuiweka hivi bwana, weke vielelezo please, ili tuijadili kwa kina na tujue cha kufanya.........taarifa zinazotoka kutoka uwanja wa ndege wa kijeshi ...leo zimerudishwa MAITI MBILI.....ZA MASHUJAA WETU..tuendelee kufuatilia....
Habari muhimu sana hii ndugu, uwezi kuiweka hivi bwana, weke vielelezo please, ili tuijadili kwa kina na tujue cha kufanya