Majaliwa Ndio Mgombea wa Urais 2025

Majaliwa Ndio Mgombea wa Urais 2025

Kama akilazimisha mtu mwingine ni sawa. Chance ni ndogo, kuna mambo ya kuangalia: Kumweka mtu ambaye huna uhakika wa kukutetea, au usiyemwelewa vizuri ni risk, kuwakata potential candidates kwa hila itafanya CCM ikose kura za waislamu.
Tangu lini Chama Twawala kikategemea kura za kwenye sanduku Mkuu?
Ile ni format tu,
Mshindi wa Uchaguzi huamuliwa kivingine kabisa, sio idadi ya kura halali zilizopigwa
 
PALE MWENYEKITI WA CCM ATAKAPOKUJA NA JINA LA MGOMBEA MFUKONI 2025

Ijulikane kuwa haya ni mawazo yangu niliyopata toka kwa wadau mbali mbali hivyo si lazima uyakubali waweza yakataa tukashindana kwa hoja,

WATAKAO CHUKUA FORM ZA KUOMBA UTEUZI

Hawatakuwa wengi mno
1. Hamisi kigwangala
2. Nape nnauye
3. Mwigulu Nchemba
4. Hussein Mwinyi
5. January makamba
6. Samia suluhu
7. Tulia ackson
8. Makongoro Nyerere
9. Emanuel Nchimbi
10.Suleiman jaffo
11.Diodorus Kamala
12. Sospeter muhongo
13. Steve masato wassira,
14. Bernard membe
15. Harrison mwakyembe
16. Mmoja wa darasa la Saba toka kigoma,
17. Mathias Chikawe,
18. Hussein Bashe,
19. Paul Makonda
20. Makame mbarawa,

Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo

KUMI BORA ROUND YA KWANZA
1. Hamisi kigwangala
2. Mwigulu Nchemba
3. Hussein Mwinyi
4. January makamba
5. Tulia ackson
6. Makongoro Nyerere
7.Suleiman jaffo
8.Diodorus Kamala
9. Bernard membe
10. Harrison mwakyembe

HAITAPIGWA KURA ILA WATAANZA KUKATA SASA,ILI MAJINA YAENDE KAMATI KUU( KUMBUKA MBOWE ANASUBIRI ATAKAYEKATWA -MEMBE)
AWAMU HII INAUMIZAGA WATU KUKATA
Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo
TANO BORA

1. Mwigulu Nchemba
2. Hussein Mwinyi
3. Akson tulia
4.Suleiman jaffo
5.Diodorus kamala

MWENEZI WA CCM ANATOKA NA KUSEMA WALIOPITISHWA NI HAO HAPO JUU, TUNAENDA KUPIGA KURA SASA

Wanachama wa almashauri kuu wanapiga kura,

Hussein Mwinyi 768
Mwingulu nchemba 710
Ackson tulia 308
Suleiman jaffo 163
Diodorus Kamala 136

Hivyo watatu wajuu wanapigiwa kura
Na kura zinahesabiwa USIKU kucha wakati Ni chache sana,

TETESI ZA KUIMARISHWA ULINZI KWA MMOJA ANAYEDHANIWA ZINAANZA,
MKUU ANATOA MAELEZO YA KULINDA NYUMBA NA FAMILIA YA ANAYEPITA,

1. Hussein mwinyi 1800+
2. Ackson tulia 600
3. Mwigulu Nchemba 320

MGOMBEA WA CCM 2025-2030 NI HUSSEIN MWINYI

Huku GWAJIMA ANAANZA KUISAKA NAMBA YA MEMBE,
UKU LOWASSA ANATIMKIA ACT,

jaman ni utabiri wangu tu

LAKIN MKAE MKIJUA CCM wanakuwa wanamjua nan Anagombea nyingine mbwembwe tu,
🙂
Samuel
Huyo Tulia hata asijihangaishe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeipata wapi hiyo ya waislamu asilimia 35?

Hivi unajuwa waislamu ni wengi sana kuliko wakristo!!

Waislamu kote nchini ni 65-70 percent
Wakristo kote nchini ni 20-25 percent
Waliobakia ni wapagani/wasiokuwa na dini.

Dr. ZAKIR NAIK

Idadi ya waislam(Kwa asilimia).

Afghanistan 100%
Albania 75%
Algeria 99%
Angola 25%
Argentina 2%
Australia 2.09%
Azerbaijan 93%
Bahrain 100%
Bangladesh 85%
Bhutan 5%
Brazil 0.6%
Burma 10%
Canada 1.48%
Central african 55%
China 11%
Egypt 94%
Ethiopia 65%
Fiji 11%
France 7%
Georgia 11%
Germany 3.4%
Greece 1.5%
Guinea 95%
Guyana 15%
Hongkong 1%
India 14%
Indonesia 85%
Iran 99%
Iraq 97%
Israel 14%
Italy 1%
Japan 1%
Jordan 95%
Kenya 30%
Kuwait 89%
Lebanon 70%
Libya 100%
Maldives 100%
Malaysia 52%
Mauritius 19.5%
Mayotte 99%
Nigeria 75%
Oman 100%
Pakistan 97%
Phillipines 14%
Qatar 100%
Romania 20%
Russia 18%
Saudi arabia 100%
Singapore 17%
Somalia 100%
Sri lanka 9%
Sudan 85%
Syria 90%
Kazakhstan 85%
Tanzania 65%
Thailand 14%
Tunisia 98%
Turkey 99.8%
UAE 96%
UK 2.5%
USA 3.75%
Uzbekistan 88%
Fake news jaribu kuzunguka Tanzania ujionee na ujifunze . Wewe umeishi mikoa au umefika mikoa mingapi ya Tanzania. Kama ulizaliwa Tanga na kutembelea Dar tuu sitakushanga. Search and Google by yourself. Akili za kuambiwa changanya na zako. Tz almost mikoa mingi nimefika na kuishi pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeipata wapi hiyo ya waislamu asilimia 35?

Hivi unajuwa waislamu ni wengi sana kuliko wakristo!!

Waislamu kote nchini ni 65-70 percent
Wakristo kote nchini ni 20-25 percent
Waliobakia ni wapagani/wasiokuwa na dini.

Dr. ZAKIR NAIK

Idadi ya waislam(Kwa asilimia).

Afghanistan 100%
Albania 75%
Algeria 99%
Angola 25%
Argentina 2%
Australia 2.09%
Azerbaijan 93%
Bahrain 100%
Bangladesh 85%
Bhutan 5%
Brazil 0.6%
Burma 10%
Canada 1.48%
Central african 55%
China 11%
Egypt 94%
Ethiopia 65%
Fiji 11%
France 7%
Georgia 11%
Germany 3.4%
Greece 1.5%
Guinea 95%
Guyana 15%
Hongkong 1%
India 14%
Indonesia 85%
Iran 99%
Iraq 97%
Israel 14%
Italy 1%
Japan 1%
Jordan 95%
Kenya 30%
Kuwait 89%
Lebanon 70%
Libya 100%
Maldives 100%
Malaysia 52%
Mauritius 19.5%
Mayotte 99%
Nigeria 75%
Oman 100%
Pakistan 97%
Phillipines 14%
Qatar 100%
Romania 20%
Russia 18%
Saudi arabia 100%
Singapore 17%
Somalia 100%
Sri lanka 9%
Sudan 85%
Syria 90%
Kazakhstan 85%
Tanzania 65%
Thailand 14%
Tunisia 98%
Turkey 99.8%
UAE 96%
UK 2.5%
USA 3.75%
Uzbekistan 88%
Hao unaosema wapagani uangalie ana majina gani. Hao unaosema waiislam wengine ni majina tuu kama wakristo majina tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh, tuache kuwaza madaraka kila wakati, tufanye kazi jamani. Hii nchi ikiwa ni ya kuwaza na kuwazua tu mambo ya aina hii tutafika kweli.
Sasa kama ktk nchi ya Tanzania wasomi wengi ni masomo ya siasa na sanaa{Arts} unategemea wasomi watazungumzia kuhusu technology ya science katika maisha. Lazima wazungumzie siasa na sanaa za akina bongo movie. Tuboreshe masomo ya sayansi ili tupate vijana wanaowaza kisayansi sayansi na sio upupu Wa siasa na sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kwamba Majaliwa hapendi mambo mengi ya ajabu anayofanya mtawala, lakini mtu pekee ambaye atajaribu kufunika uovu wa mtawala wa sasa kwa kadri atakavyoweza ni Majaliwa. Tayari mikakati rasmi ya ndani ya kambi kadhaa za KiCCM zinazowania kwa udi na uvumba nafasi ya Urais 2025 zimeshajipambanua. Majaliwa anakubalika kwa kiasi fulani na kambi zote na zipo tayari kumpisha iwapo mambo yatakuwa magumu pande zao.

Watu wanaojaribu kujenga haiba au wenye haiba ya kuukwaa Urais 2025 ni:

1. January Makamba (Hapiti)

2. Majaliwa Kasimu

3. Dk. Augustine Mahiga

4. Khamis Kigwangallah (Hapiti)

5. Dr. Ali Mohamed Shein

6. Huyu nani Muhammed Seif Khatib?

7. Samia Suluhu
8. Balozi Amina Salum Ali
9. Balozi Ali Karume
10. Hussein Mwinyi
11. SULEIMAN JAFFO

Watu wengine ambao walikuwa ni potential candidates (kwa kiwango cha akili ya CCM) lakini wamepotezwa ni pamoja na

1. Prof. Sospeter Muhongo
2. Dk. Asha Rose Migiro
3. Bernard Membe
4. Dk. Mohamed Gharib Bilal

Kuna watu kama Peter Nyalali, Prof Mark Mwandosya, Hassy Kitine, Dk. Harrison Mwakyembe (unafiki mwingi), hata mtu hujui usemeje kuhusu wao!

Kuna watu kama Mwigulu Nchemba ambao ndoto zao zimekufa kibudu, huyu kuna mtu hataki hata kumsikia.

Pia kuna watu waliofia kusikojulikana kama Lazaro Nyalandu.

Utawala huu hautaki kabisa mgombea ambaye ataonekana kurudisha uongozi wa kidemokrasia, mfano retired Chief Justice Augustino Ramadhani, kwa nia ya kuogopa kumulikwa matendo yao. Pia iwapo kamari ya Majaliwa (anaweza kumgeuka) haitawezekana Rais ajaye anaweza kutokea Jeshini kwa matakwa binafsi (mfukoni kwenye koti la mtu).

Pamoja na hizo orodha hapo juu, Rais ajaye ni mwanaume na ni Mwislamu.

Awamu ya 2025 mtu kuibuka au kuibuliwa kusikojulikana na kugombea Urais kama ilivyotokea kipindi cha nyuma hakutatokea.

Kuna watu ambao umri huenda ikawa ni kikwazo kwao (wamezeeka). Ndani ya CCM kuna kambi nyingi, lakini zote zinaangukia katika makundi makuu 3:

1. Kambi zenye utawala wa mrengo wa kidemokrasia
2. Kambi zenye utawala wa mrengo wa kibabe
3. Kambi zenye mrengo wa utawala wa katiba mpya hasa inayomwajibisha na kumpunguzi Rais madaraka
Mgombea hakuna 2025

Suleiman Jaffo ndio atakaepitishwa na CCM. Labda akengeuke tuuu. Maaña jamaa yupo smart sana, na system inamkubali sana. Uku kwenye Tamisemi anafatilia A mpaka Z. Kwy barabara kukagua za tawala za mikoa na serikali za wilaya anatembea na sururu kukagua kama ipo chini ya viwango au ipo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIKWETE ALIMPIGIA MEMBE PANDE AKAMZIMA LOWASA NA YEYE AKZIMWA AKAWEKWA MAGU SASA JIULIZINE NI KINA NANI WANGUVU NYUMA WAKAMUONDOA MEMBE NA LOWASA WOTE NA MAGU KUPITA NI HAO WATU NDO WATU WATAKAO AMUA 2025
 
Rais bado kafichwa anafundwa, sasa hvi bado hawajamwingiza kwenye system hadi 2020
 
Kuna watu umewasahau wapo kimya wataibuka kipindi hicho na kushinda. Unafikiri Ridhiwani hatagombea, mwigulu , Dr Tulia, Bashe, Nape, Hussein Mwinyi ,Jafo, Kabudi n.k. watu kibao Ila kuna watu umewataja age Yao haitawaruhusu walioabove 60 Kwasasa kipindi hicho watakuwa 70+. Mawaziri wakuu wote wastaafu ulikuwa ngumu kuupata Urais eg kawawa,sokoine,Salim,warioba,msuya,malecela, lowasa,sumae,pinda etc. Nafasi ya kassim inaweza Kuwa ngumu. In general hatajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi huyu wa sasa atavunja mwiko
 
Back
Top Bottom