Majaliwa Ndio Mgombea wa Urais 2025

Majaliwa Ndio Mgombea wa Urais 2025

Hili ulilosema ni kweli. Lakini katika tatizo lililo ndani ya nchi yetu ni hiyo system. Hawa huleta viongozi lakini wakiwa madarakani hawana uwezo wa kuwadhibiti. Ni vyema huko mbeleni kuepuka hiyo system yenye mitazamo ya kizee ni kufanya mapinduzi. Hapo tutapata mabadiliko ya kweli.[/QUOTE
Mapinduzi yapi tena mkuu?,Na mshaambiwaga mpinzani wa kweli atatoka CCM tu,unadhani ni msemo "bahati mbaya"
 
Jiwe hakatizi 2025. Jiwe ataanza kupunguzwa nguvu muhula wa pili kuanzia katikati kuelekea mwishoni. Hakuna kitu kinamuuma huyo jamaa kama kuona hawezi kugombea zaidi ya mihula 2. Hata aliambie jeshi sasa kuwa mnipitishe, watamwambia sawa, lakini muda ukifika hataamini.

Mkuu nimefuatilia maelezo yako kwa namna ulivyoongea ni hakika unajua ulichoongea. Ngoja tutoe muda.
 
Majaliwa anafaa sana sana kwani ana sifa zifuatazo;
Sio mkabila na mkanda
Amejaa hekima na busara
Hupenda kusikiliza wengine
Ni mwana demokrasi na mpenda haki na usawa
hana majungu
Hakurupuki.

Hizo sifa zake ndizo zinamuudhi mtawala, yeye alitaka wawe na akili sawa. Kwa nini Majaliwa anaweza kuwa Rais hata kama jina litatoka mfukoni? Sababu ipo moja tu, ataweza kumkingia ubaya wote aliotenda.
 
Iwapo hao wanaosema hivyo ni wawakilishi wa Mungu hapo sawa.
 
Huu utaratibu hauwezi kuvunjwa kwa sababu ya akili za watu kama Musiba na Makonda. Never happen hasa kwa utawala huu.
Huu utaratibu haupo kikatiba,
By the way hata ungekuwepo still "Kwa sasa" katiba sio issue sana,
Mr. Stone hayuko poa sana na hiyo dini
 
Hivi mnajua kuwa Hussein Bashe is far better than Kigangwala na January? January na Kigwangala wanaishi maisha na siasa za kinafiki, tofauti kabisa na Bashe.

Hata mimi namkubali Bashe kwenye hao, ila naona Zitto akipata nguvu kupitia upinzani.
 
Hussei
Hii nchi haiwezi kuwa na rais mwenye asili ya isiyo ya tanzania. Ubumge na unaibu waziri atakuwa amejitahidi sana. Hawezi panda juu zaidi ya hapo.

Hussein Bashe hicho ndio kinaweza kuwa kikwazo. Lakini huwezi kutarajia mtu kama huyo awe Rais, atamkaanga Jiwe live.
 
Huu utaratibu haupo kikatiba,
By the way hata ungekuwepo still "Kwa sasa" katiba sio issue sana,
Mr. Stone hayuko poa sana na hiyo dini

Nimeongelea utaratibu wa Jiwe kugombea zaidi ya mihula 2, wa dini ni mwepesi unaweza kuvunjwa, lakini potential candidates wote awamu ijayo ni waislamu.
 
Nimeongelea utaratibu wa Jiwe kugombea zaidi ya mihula 2, wa dini ni mwepesi unaweza kuvunjwa, lakini potential candidates wote awamu ijayo ni waislamu.
Mr. Stone hatoweza kugombea zaidi ya mihula miwili, hilo nakubaliana na wewe.
Lakini la kua ajae ni Muslim na awe ndio anampokea kijiti Mr Stone hapa hapawezekaniki aisee,
Kumbuka Mr. Stone ana influence kubwa kwenye candidate ajae, bila mkono wake hapiti, akisema "kata huyu" ujue ni kata kweli,
Teuzi zake za sasa zinaelezea fika yajayo yakoje
 
Kama akilazimisha mtu mwingine ni sawa. Chance ni ndogo, kuna mambo ya kuangalia: Kumweka mtu ambaye huna uhakika wa kukutetea, au usiyemwelewa vizuri ni risk, kuwakata potential candidates kwa hila itafanya CCM ikose kura za waislamu.
 
Back
Top Bottom