Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
HahahaNyerere
HahahaNyerere
PALE MWENYEKITI WA CCM ATAKAPOKUJA NA JINA LA MGOMBEA MFUKONI 2025
Ijulikane kuwa haya ni mawazo yangu niliyopata toka kwa wadau mbali mbali hivyo si lazima uyakubali waweza yakataa tukashindana kwa hoja,
WATAKAO CHUKUA FORM ZA KUOMBA UTEUZI
Hawatakuwa wengi mno
1. Hamisi kigwangala
2. Nape nnauye
3. Mwigulu Nchemba
4. Hussein Mwinyi
5. January makamba
6. Samia suluhu
7. Tulia ackson
8. Makongoro Nyerere
9. Emanuel Nchimbi
10.Suleiman jaffo
11.Diodorus Kamala
12. Sospeter muhongo
13. Steve masato wassira,
14. Bernard membe
15. Harrison mwakyembe
16. Mmoja wa darasa la Saba toka kigoma,
17. Mathias Chikawe,
18. Hussein Bashe,
19. Paul Makonda
20. Makame mbarawa,
Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo
KUMI BORA ROUND YA KWANZA
1. Hamisi kigwangala
2. Mwigulu Nchemba
3. Hussein Mwinyi
4. January makamba
5. Tulia ackson
6. Makongoro Nyerere
7.Suleiman jaffo
8.Diodorus Kamala
9. Bernard membe
10. Harrison mwakyembe
HAITAPIGWA KURA ILA WATAANZA KUKATA SASA,ILI MAJINA YAENDE KAMATI KUU( KUMBUKA MBOWE ANASUBIRI ATAKAYEKATWA -MEMBE)
AWAMU HII INAUMIZAGA WATU KUKATA
Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo
TANO BORA
1. Mwigulu Nchemba
2. Hussein Mwinyi
3. Akson tulia
4.Suleiman jaffo
5.Diodorus kamala
MWENEZI WA CCM ANATOKA NA KUSEMA WALIOPITISHWA NI HAO HAPO JUU, TUNAENDA KUPIGA KURA SASA
Wanachama wa almashauri kuu wanapiga kura,
Hussein Mwinyi 768
Mwingulu nchemba 710
Ackson tulia 308
Suleiman jaffo 163
Diodorus Kamala 136
Hivyo watatu wajuu wanapigiwa kura
Na kura zinahesabiwa USIKU kucha wakati Ni chache sana,
TETESI ZA KUIMARISHWA ULINZI KWA MMOJA ANAYEDHANIWA ZINAANZA,
MKUU ANATOA MAELEZO YA KULINDA NYUMBA NA FAMILIA YA ANAYEPITA,
1. Hussein mwinyi 1800+
2. Ackson tulia 600
3. Mwigulu Nchemba 320
MGOMBEA WA CCM 2025-2030 NI HUSSEIN MWINYI
Huku GWAJIMA ANAANZA KUISAKA NAMBA YA MEMBE,
UKU LOWASSA ANATIMKIA ACT,
jaman ni utabiri wangu tu
LAKIN MKAE MKIJUA CCM wanakuwa wanamjua nan Anagombea nyingine mbwembwe tu,
🙂
Samuel
Ni kweli mkuu mpaka sasa nchi yetu hatujajivunia kwa ugunduzi wowote wa maana; wanasayansi wetu WaPo WaPo tu na kila mtu anakimbilia siasa; lazima tujaribu kutengeneza mazingira magumu kwenye siasa ili hiyo sekta ibakie ya wito tu na sio ajira kama sasa; itatuchukua muda sana kupiga hatuaSasa kama ktk nchi ya Tanzania wasomi wengi ni masomo ya siasa na sanaa{Arts} unategemea wasomi watazungumzia kuhusu technology ya science katika maisha. Lazima wazungumzie siasa na sanaa za akina bongo movie. Tuboreshe masomo ya sayansi ili tupate vijana wanaowaza kisayansi sayansi na sio upupu Wa siasa na sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Da kwa comment hii nataman hata kukuona coz very interestingNgoja tuone kwanza kama muheshimiwa malengo yake ya biashara ya madiwan ni ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kbsa tunataman kuona mwisho wa hii biashara maana imeshika kasi kuliko. Inasupa profit zaidi ya madawa ya kulevya
Ni kweli kbsa tunataman kuona mwisho wa hii biashara maana imeshika kasi kuliko. Inasupa profit zaidi ya madawa ya kulevya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wew. Ila huyu jamaa nimechukizwa na kitendo chake cha kuandikwa kwenye mawe arusha to singida dododma to singda shinyanga to mwanza ni upuuzi mkubwaSijui sana kuhusu Jaffo, lakini Mwigulu kama atakwepo, lengo itakuwa ni kumchanganya mtawala, na watu wanaweza kufanya makusudi, wakamshangilia na kumtaka (ndani ya CCM) kwa makusudi tu.
Na kws Magu kila siku ni mpya. Tuombee aendelee baada ya 2020Yaani majaliwa kuwa President ni Magufuli yeye atake tu, yaani amlee asiingie katika kashafa
Jiulize hivyo vituo vya utafiti vinapata bajeti inayostahili? Je wanalipwa vizuri? We ukiona nchi maprofesa na madktari wa falsafa wanakimbilia na kutaka vyeo vya uteuzi ujue kuna tatizo haswa njaa inasumbuaNi kweli mkuu mpaka sasa nchi yetu hatujajivunia kwa ugunduzi wowote wa maana; wanasayansi wetu WaPo WaPo tu na kila mtu anakimbilia siasa; lazima tujaribu kutengeneza mazingira magumu kwenye siasa ili hiyo sekta ibakie ya wito tu na sio ajira kama sasa; itatuchukua muda sana kupiga hatua
Tatizo tulilonalo ni kubwa sana mkuu kuliko unavyoweza kufikiri Mungu atuponye tu.Jiulize hivyo vituo vya utafiti vinapata bajeti inayostahili? Je wanalipwa vizuri? We ukiona nchi maprofesa na madktari wa falsafa wanakimbilia na kutaka vyeo vya uteuzi ujue kuna tatizo haswa njaa inasumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la ngozi nyeusi ni kutokuwa wakweli, ndo maana tunawekeza zaidi katika matumbo yetu na rafiki zetu na kuacha kuifikiria jamiiTatizo tulilonalo ni kubwa sana mkuu kuliko unavyoweza kufikiri Mungu atuponye tu.
Hii post yako imekaa kimbea sana. Ni vema ukaipost kule facebook au insta n sio huku.Pamoja na kwamba Majaliwa hapendi mambo mengi ya ajabu anayofanya mtawala, lakini mtu pekee ambaye atajaribu kufunika uovu wa mtawala wa sasa kwa kadri atakavyoweza ni Majaliwa. Tayari mikakati rasmi ya ndani ya kambi kadhaa za KiCCM zinazowania kwa udi na uvumba nafasi ya Urais 2025 zimeshajipambanua. Majaliwa anakubalika kwa kiasi fulani na kambi zote na zipo tayari kumpisha iwapo mambo yatakuwa magumu pande zao.
Watu wanaojaribu kujenga haiba au wenye haiba ya kuukwaa Urais 2025 ni:
1. January Makamba (Hapiti)
2. Majaliwa Kasimu
3. Dk. Augustine Mahiga
4. Khamis Kigwangallah (Hapiti)
5. Dr. Ali Mohamed Shein
6. Huyu nani Muhammed Seif Khatib?
7. Samia Suluhu
8. Balozi Amina Salum Ali
9. Balozi Ali Karume
10. Hussein Mwinyi
11. SULEIMAN JAFFO
Watu wengine ambao walikuwa ni potential candidates (kwa kiwango cha akili ya CCM) lakini wamepotezwa ni pamoja na
1. Prof. Sospeter Muhongo
2. Dk. Asha Rose Migiro
3. Bernard Membe
4. Dk. Mohamed Gharib Bilal
Kuna watu kama Peter Nyalali, Prof Mark Mwandosya, Hassy Kitine, Dk. Harrison Mwakyembe (unafiki mwingi), hata mtu hujui usemeje kuhusu wao!
Kuna watu kama Mwigulu Nchemba ambao ndoto zao zimekufa kibudu, huyu kuna mtu hataki hata kumsikia.
Pia kuna watu waliofia kusikojulikana kama Lazaro Nyalandu.
Utawala huu hautaki kabisa mgombea ambaye ataonekana kurudisha uongozi wa kidemokrasia, mfano retired Chief Justice Augustino Ramadhani, kwa nia ya kuogopa kumulikwa matendo yao. Pia iwapo kamari ya Majaliwa (anaweza kumgeuka) haitawezekana Rais ajaye anaweza kutokea Jeshini kwa matakwa binafsi (mfukoni kwenye koti la mtu).
Pamoja na hizo orodha hapo juu, Rais ajaye ni mwanaume na ni Mwislamu.
Awamu ya 2025 mtu kuibuka au kuibuliwa kusikojulikana na kugombea Urais kama ilivyotokea kipindi cha nyuma hakutatokea.
Kuna watu ambao umri huenda ikawa ni kikwazo kwao (wamezeeka). Ndani ya CCM kuna kambi nyingi, lakini zote zinaangukia katika makundi makuu 3:
1. Kambi zenye utawala wa mrengo wa kidemokrasia
2. Kambi zenye utawala wa mrengo wa kibabe
3. Kambi zenye mrengo wa utawala wa katiba mpya hasa inayomwajibisha na kumpunguzi Rais madaraka
Hapo unazungumzia kukosa Uzalendo na Ubinafsi uliokithiri.Tatizo la ngozi nyeusi ni kutokuwa wakweli, ndo maana tunawekeza zaidi katika matumbo yetu na rafiki zetu na kuacha kuifikiria jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini katika propaganda za kizalendo ambazo wanaohubiri hawaishi katika misingi hiyo. Mzalendo alikuwa Mwalimu Nyerere tu wengine wanatudanganya, ndo maana huwa nacheka wanasiasa wanavyosema eti somo LA uzalendo liwekwe mashuleni. Huwa najiuliza maswali mengi sana na majibu napata tu kuwa kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yakeHapo unazungumzia kukosa Uzalendo na Ubinafsi uliokithiri.