Majaliwa Ndio Mgombea wa Urais 2025

Nakubaliana na wewe Chief, ila kwa ustawi wa Taifa hili, namuona January anafaa sana...kama ulivyosema kupata hiyo nafasi ni ngumu sana, lakini inawezekana, AJIPANGE.

Ameanza kujipanga, lakini mikakati yake ni mibovu. Mwandosya kama ni Urais ilikuwa kipindi cha nyuma, baada ya kuukosa 2015 asahau. Usishangae 2025 kuwaona watu kama akina Mkandala, VC wa zamani wa UDSM kuchukua fomu.
 
Nakubaliana na wewe Chief, ila kwa ustawi wa Taifa hili, namuona January anafaa sana...kama ulivyosema kupata hiyo nafasi ni ngumu sana, lakini inawezekana, AJIPANGE.
Watanzania bhana, eti January anafaa kwa ustawi wa taifa!
 
Kuna watu umewasahau wapo kimya wataibuka kipindi hicho na kushinda. Unafikiri Ridhiwani hatagombea, mwigulu , Dr Tulia, Bashe, Nape, Hussein Mwinyi ,Jafo, Kabudi n.k. watu kibao Ila kuna watu umewataja age Yao haitawaruhusu walioabove 60 Kwasasa kipindi hicho watakuwa 70+. Mawaziri wakuu wote wastaafu ulikuwa ngumu kuupata Urais eg kawawa,sokoine,Salim,warioba,msuya,malecela, lowasa,sumae,pinda etc. Nafasi ya kassim inaweza Kuwa ngumu. In general hatajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye orodha yako, nakubali nimemsahau Hussein Mwinyi. Ridhiwani hata atumie uchawi wa wapi, asahau, huyo ni mtoto wake Membe kimsingi.
 
January Makamba sahau, ana mrengo wa utawala wa zamani (wa Kikwete), mbabe wa sasa hivi hatakubaliana na hilo kwa sababu hizo tawala mbili zinahasimiana. January will be thrown in the same basket like Membe.
Kuna kitu unasahau,SYSTEM,ikikutaa;hata raisi anayegawa kijiti akikataa vipi;atalazimishwa tu.
 
Hiki ndicho ccm wamekimudu vzr kwa miaka zaidi ya hamsini, kupamgilia safu za kugawana ulaji(madaraka) lkn kutengeneza sera na mikakati ya kupunguza umaskini wa mtanzania in kitendawili kilichokosa majibu!
 
PALE MWENYEKITI WA CCM ATAKAPOKUJA NA JINA LA MGOMBEA MFUKONI 2025

Ijulikane kuwa haya ni mawazo yangu niliyopata toka kwa wadau mbali mbali hivyo si lazima uyakubali waweza yakataa tukashindana kwa hoja,

WATAKAO CHUKUA FORM ZA KUOMBA UTEUZI

Hawatakuwa wengi mno
1. Hamisi kigwangala
2. Nape nnauye
3. Mwigulu Nchemba
4. Hussein Mwinyi
5. January makamba
6. Samia suluhu
7. Tulia ackson
8. Makongoro Nyerere
9. Emanuel Nchimbi
10.Suleiman jaffo
11.Diodorus Kamala
12. Sospeter muhongo
13. Steve masato wassira,
14. Bernard membe
15. Harrison mwakyembe
16. Mmoja wa darasa la Saba toka kigoma,
17. Mathias Chikawe,
18. Hussein Bashe,
19. Paul Makonda
20. Makame mbarawa,

Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo

KUMI BORA ROUND YA KWANZA
1. Hamisi kigwangala
2. Mwigulu Nchemba
3. Hussein Mwinyi
4. January makamba
5. Tulia ackson
6. Makongoro Nyerere
7.Suleiman jaffo
8.Diodorus Kamala
9. Bernard membe
10. Harrison mwakyembe

HAITAPIGWA KURA ILA WATAANZA KUKATA SASA,ILI MAJINA YAENDE KAMATI KUU( KUMBUKA MBOWE ANASUBIRI ATAKAYEKATWA -MEMBE)
AWAMU HII INAUMIZAGA WATU KUKATA
Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo
TANO BORA

1. Mwigulu Nchemba
2. Hussein Mwinyi
3. Akson tulia
4.Suleiman jaffo
5.Diodorus kamala

MWENEZI WA CCM ANATOKA NA KUSEMA WALIOPITISHWA NI HAO HAPO JUU, TUNAENDA KUPIGA KURA SASA

Wanachama wa almashauri kuu wanapiga kura,

Hussein Mwinyi 768
Mwingulu nchemba 710
Ackson tulia 308
Suleiman jaffo 163
Diodorus Kamala 136

Hivyo watatu wajuu wanapigiwa kura
Na kura zinahesabiwa USIKU kucha wakati Ni chache sana,

TETESI ZA KUIMARISHWA ULINZI KWA MMOJA ANAYEDHANIWA ZINAANZA,
MKUU ANATOA MAELEZO YA KULINDA NYUMBA NA FAMILIA YA ANAYEPITA,

1. Hussein mwinyi 1800+
2. Ackson tulia 600
3. Mwigulu Nchemba 320

MGOMBEA WA CCM 2025-2030 NI HUSSEIN MWINYI

Huku GWAJIMA ANAANZA KUISAKA NAMBA YA MEMBE,
UKU LOWASSA ANATIMKIA ACT,

jaman ni utabiri wangu tu

LAKIN MKAE MKIJUA CCM wanakuwa wanamjua nan Anagombea nyingine mbwembwe tu,
:)
Samuel
 
jiwe kifo ndio kitamuondoa kwenye hiyo nafasi mark my https://jamii.app/JFUserGuide..ing words
 
Back
Top Bottom