Majaliwa Ndio Mgombea wa Urais 2025

Majaliwa Ndio Mgombea wa Urais 2025

PALE MWENYEKITI WA CCM ATAKAPOKUJA NA JINA LA MGOMBEA MFUKONI 2025

Ijulikane kuwa haya ni mawazo yangu niliyopata toka kwa wadau mbali mbali hivyo si lazima uyakubali waweza yakataa tukashindana kwa hoja,

WATAKAO CHUKUA FORM ZA KUOMBA UTEUZI

Hawatakuwa wengi mno
1. Hamisi kigwangala
2. Nape nnauye
3. Mwigulu Nchemba
4. Hussein Mwinyi
5. January makamba
6. Samia suluhu
7. Tulia ackson
8. Makongoro Nyerere
9. Emanuel Nchimbi
10.Suleiman jaffo
11.Diodorus Kamala
12. Sospeter muhongo
13. Steve masato wassira,
14. Bernard membe
15. Harrison mwakyembe
16. Mmoja wa darasa la Saba toka kigoma,
17. Mathias Chikawe,
18. Hussein Bashe,
19. Paul Makonda
20. Makame mbarawa,

Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo

KUMI BORA ROUND YA KWANZA
1. Hamisi kigwangala
2. Mwigulu Nchemba
3. Hussein Mwinyi
4. January makamba
5. Tulia ackson
6. Makongoro Nyerere
7.Suleiman jaffo
8.Diodorus Kamala
9. Bernard membe
10. Harrison mwakyembe

HAITAPIGWA KURA ILA WATAANZA KUKATA SASA,ILI MAJINA YAENDE KAMATI KUU( KUMBUKA MBOWE ANASUBIRI ATAKAYEKATWA -MEMBE)
AWAMU HII INAUMIZAGA WATU KUKATA
Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo
TANO BORA

1. Mwigulu Nchemba
2. Hussein Mwinyi
3. Akson tulia
4.Suleiman jaffo
5.Diodorus kamala

MWENEZI WA CCM ANATOKA NA KUSEMA WALIOPITISHWA NI HAO HAPO JUU, TUNAENDA KUPIGA KURA SASA

Wanachama wa almashauri kuu wanapiga kura,

Hussein Mwinyi 768
Mwingulu nchemba 710
Ackson tulia 308
Suleiman jaffo 163
Diodorus Kamala 136

Hivyo watatu wajuu wanapigiwa kura
Na kura zinahesabiwa USIKU kucha wakati Ni chache sana,

TETESI ZA KUIMARISHWA ULINZI KWA MMOJA ANAYEDHANIWA ZINAANZA,
MKUU ANATOA MAELEZO YA KULINDA NYUMBA NA FAMILIA YA ANAYEPITA,

1. Hussein mwinyi 1800+
2. Ackson tulia 600
3. Mwigulu Nchemba 320

MGOMBEA WA CCM 2025-2030 NI HUSSEIN MWINYI

Huku GWAJIMA ANAANZA KUISAKA NAMBA YA MEMBE,
UKU LOWASSA ANATIMKIA ACT,

jaman ni utabiri wangu tu

LAKIN MKAE MKIJUA CCM wanakuwa wanamjua nan Anagombea nyingine mbwembwe tu,
🙂
Samuel
Namtabiria no. 4. Selemani Jaffo urais 2025.
 
Mkuu Historia inasema ni Sumaye pekee ndiye waziri Mkuu aliyemaliza mihula yote, waziri mkuu ni ngumu kuwa rais kihistoria (Exclude Mwl.).. wana kitu kinaitwa Prime Ministers Curse..

Majaliwa asipokuwa waziri mkuu next time, kwa sababu anamjua jamaa vizuri na mwelekeo wa akili yake, ana siri pia, usishangae kimyakimya akawa na kambi ambayo ni rival kwa Jiwe kuelekea 2025.
 
Majaliwa asipokuwa waziri mkuu next time, kwa sababu anamjua jamaa vizuri na mwelekeo wa akili yake, ana siri pia, usishangae kimyakimya akawa na kambi ambayo ni rival kwa Jiwe kuelekea 2025.
Yaani majaliwa kuwa President ni Magufuli yeye atake tu, yaani amlee asiingie katika kashafa
 
Kama akilazimisha mtu mwingine ni sawa. Chance ni ndogo, kuna mambo ya kuangalia: Kumweka mtu ambaye huna uhakika wa kukutetea, au usiyemwelewa vizuri ni risk, kuwakata potential candidates kwa hila itafanya CCM ikose kura za waislamu.
Potential candidates sio lazima awe muislamu anaweza akapatikana katika dini yeyote ile na ukiangalia wakristo ni wengi kuliko waislam nchini. Wakati waislam ni 35 percent only na wakristo ni wengi Ila ungesema Kwa mfumo uliopo ambao sio rasmi but upo active ni kwamba akimaliza mihula yake rais mkristo huwa anaefuata ni muislam . Hawajaiweka iwe kama kanuni but ndio ilivyo izi zilikuwa techniques za Nyerere .ila wangekuwa wanapiga kura kidini I tell you rais angeendelea Kuwa mkristo Kwa miaka nenda Rudi. Ukicheki Kenya Marais wao toka independence yao wameendelea Kuwa wakristo Lakini Kenya kuna waislam pia. Ukicheki Uganda baada ya idd amini hawajawai Kuwa na rais muislam na wamekuwa na Marais zaidi ya nane since independence ni kwamba kule wakristo ni wengi pia wanapower . Ukanda huu wa Afrika mashariki yaani Wakristo ni wengi zaidi but Kwa Tanzania kamfumo kalikopo kanawezesha na waislam nao kutawala kwahiyo Kwa nafasi ya urais Tanzania ni 50/50 Kwa wakristo na waislam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kwa leo naishia hapa kwa kuandika kuwa, Jiwe anapenda kusema "hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, hawanijui mimi", itakuwa ni kwenye mambo mengine lakini ubabe wa kulazimisha kugombea Urais zaidi ya mihula miwili hana, yaani, muda wake wa Urais piga ua hautavuka 2025. Najua akisoma hii comment lazima alale kitandani na viatu kwa kuchoka.

Tutakutana siku nyingine wakuu.
 
Mawaziri wakuu wana historia ya kufigisuliwa katika nchi hii kwa sababu huwa nafasi kubwa ya kujenga mtandao,trust na mazingira rafik kwa ujumla kuuchukua urais. Kama majaliwa anautaka urais anatakiwa akae kama alivyo hivi ila akijichanganya tu atabebeshwa zigo la mavi na watu wa ndani ya ccm wanaoutaka uraisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Potential candidates sio lazima awe muislamu anaweza akapatikana katika dini yeyote ile na ukiangalia wakristo ni wengi kuliko waislam nchini. Wakati waislam ni 35 percent only na wakristo ni wengi Ila ungesema Kwa mfumo uliopo ambao sio rasmi but upo active ni kwamba akimaliza mihula yake rais mkristo huwa anaefuata ni muislam . Hawajaiweka iwe kama kanuni but ndio ilivyo izi zilikuwa techniques za Nyerere .ila wangekuwa wanapiga kura kidini I tell you rais angeendelea Kuwa mkristo Kwa miaka nenda Rudi. Ukicheki Kenya Marais wao toka independence yao wameendelea Kuwa wakristo Lakini Kenya kuna waislam pia. Ukicheki Uganda baada ya idd amini hawajawai Kuwa na rais muislam na wamekuwa na Marais zaidi ya nane since independence ni kwamba kule wakristo ni wengi pia wanapower . Ukanda huu wa Afrika mashariki yaani Wakristo ni wengi zaidi but Kwa Tanzania kamfumo kalikopo kanawezesha na waislam nao kutawala kwahiyo Kwa nafasi ya urais Tanzania ni 50/50 Kwa wakristo na waislam.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeipata wapi hiyo ya waislamu asilimia 35?

Hivi unajuwa waislamu ni wengi sana kuliko wakristo!!

Waislamu kote nchini ni 65-70 percent
Wakristo kote nchini ni 20-25 percent
Waliobakia ni wapagani/wasiokuwa na dini.

Dr. ZAKIR NAIK

Idadi ya waislam(Kwa asilimia).

Afghanistan 100%
Albania 75%
Algeria 99%
Angola 25%
Argentina 2%
Australia 2.09%
Azerbaijan 93%
Bahrain 100%
Bangladesh 85%
Bhutan 5%
Brazil 0.6%
Burma 10%
Canada 1.48%
Central african 55%
China 11%
Egypt 94%
Ethiopia 65%
Fiji 11%
France 7%
Georgia 11%
Germany 3.4%
Greece 1.5%
Guinea 95%
Guyana 15%
Hongkong 1%
India 14%
Indonesia 85%
Iran 99%
Iraq 97%
Israel 14%
Italy 1%
Japan 1%
Jordan 95%
Kenya 30%
Kuwait 89%
Lebanon 70%
Libya 100%
Maldives 100%
Malaysia 52%
Mauritius 19.5%
Mayotte 99%
Nigeria 75%
Oman 100%
Pakistan 97%
Phillipines 14%
Qatar 100%
Romania 20%
Russia 18%
Saudi arabia 100%
Singapore 17%
Somalia 100%
Sri lanka 9%
Sudan 85%
Syria 90%
Kazakhstan 85%
Tanzania 65%
Thailand 14%
Tunisia 98%
Turkey 99.8%
UAE 96%
UK 2.5%
USA 3.75%
Uzbekistan 88%
 
Umeipata wapi hiyo ya waislamu asilimia 35?

Hivi unajuwa waislamu ni wengi sana kuliko wakristo!!

Waislamu kote nchini ni 65-70 percent
Wakristo kote nchini ni 20-25 percent
Waliobakia ni wapagani/wasiokuwa na dini.
Uwe unagoogle na kusoma taarifa zinazohusu nchi yako inaonekana hujagoogle wala huna correct information. Karibu pia kutembelea mikoa ya Tanzania utajifunza. By my side nimezungika almost mikoa mingi na kuishi pia. Waislam big percent wako concentrated in coast zones . Pia wachache kufuta reli ya Kati yani kigoma, tabora apo .mikoa iliyobaki concentration kubwa ni wakristo na sehemu zingine hata waislam hawapo kabisa na ukumbuke ata unaposema wapagani wapo waislam wapagani pwani ambao hawajui msikitini unafananaje. Hata hao wakristo pia wapagani ni majina tuu. Lakini kama umesoma level ya degree angalia vyuo vyote percent kubwa ni dini gani. Mimi nmesoma SUA chuo kikubwa na kikongwe Tu tz kipindi cha Jk in my course tulikuwa wanafunzi 120 but waislam walikuwa sio zaidi ya 20, pia advance the same

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom