Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,977
- 10,073
Hawezi kutoka Zanzibar, hilo sahau!
Hawezi kutoka Zanzibar, hilo sahau!
Hawezi kutoka Zanzibar, hilo sahau!
🙆🏽♂️🙆🏽♂️Mr. Stone hatoweza kugombea zaidi ya mihula miwili, hilo nakubaliana na wewe.
Lakini la kua ajae ni Muslim na awe ndio anampokea kijiti Mr Stone hapa hapawezekaniki aisee,
Kumbuka Mr. Stone ana influence kubwa kwenye candidate ajae, bila mkono wake hapiti, akisema "kata huyu" ujue ni kata kweli,
Teuzi zake za sasa zinaelezea fika yajayo yakoje
Kumbe wewe umejikita kwenye udini na si utanzania?Atoke asitoke, muhimu atutawale muislamu, waislamu wanaimani mno na wanahuruma sana kwa wananchi..
Duu wacha mbwe mbwe data zako ulipozitoa msomi nasie tukapeluziUwe unagoogle na kusoma taarifa zinazohusu nchi yako inaonekana hujagoogle wala huna correct information. Karibu pia kutembelea mikoa ya Tanzania utajifunza. By my side nimezungika almost mikoa mingi na kuishi pia. Waislam big percent wako concentrated in coast zones . Pia wachache kufuta reli ya Kati yani kigoma, tabora apo .mikoa iliyobaki concentration kubwa ni wakristo na sehemu zingine hata waislam hawapo kabisa na ukumbuke ata unaposema wapagani wapo waislam wapagani pwani ambao hawajui msikitini unafananaje. Hata hao wakristo pia wapagani ni majina tuu. Lakini kama umesoma level ya degree angalia vyuo vyote percent kubwa ni dini gani. Mimi nmesoma SUA chuo kikubwa na kikongwe Tu tz kipindi cha Jk in my course tulikuwa wanafunzi 120 but waislam walikuwa sio zaidi ya 20, pia advance the same
Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi ajaye Zanzibar. ninaota kwa sautinadha hussein mwinyi angetufaa zaidi
Umefikiria huko visiwani zanzibar? maana ccm haiondoki huko hivi karibuni mpaka ikulu ihamie rasmi dodoma na mwinyi anaweza kuuzika huko.Bora aje Hussein Mwinyi labda atakuwa kama baba ake watu tutajilike
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kutukumbusha ujumbe muhimu kwa maisha ya binadamu, tufanye KAZI..Mungu anaita akili za mtu anayewaza mambo ya miaka 7 ijayo ni akili za mpumbavu..Duuh, tuache kuwaza madaraka kila wakati, tufanye kazi jamani. Hii nchi ikiwa ni ya kuwaza na kuwazua tu mambo ya aina hii tutafika kweli.
Akili yako na yote uliyoandika hapa ni upumbavu!Pamoja na kwamba Majaliwa hapendi mambo mengi ya ajabu anayofanya mtawala, lakini mtu pekee ambaye atajaribu kufunika uovu wa mtawala wa sasa kwa kadri atakavyoweza ni Majaliwa. Tayari mikakati rasmi ya ndani ya kambi kadhaa za KiCCM zinazowania kwa udi na uvumba nafasi ya Urais 2025 zimeshajipambanua. Majaliwa anakubalika kwa kiasi fulani na kambi zote na zipo tayari kumpisha iwapo mambo yatakuwa magumu pande zao.
Watu wanaojaribu kujenga haiba au wenye haiba ya kuukwaa Urais 2025 ni:
1. January Makamba (Hapiti)
2. Majaliwa Kasimu
3. Dk. Augustine Mahiga
4. Khamis Kigwangallah (Hapiti)
5. Dr. Ali Mohamed Shein
6. Huyu nani Muhammed Seif Khatib?
7. Samia Suluhu
8. Balozi Amina Salum Ali
9. Balozi Ali Karume
10. Hussein Mwinyi
11. SULEIMAN JAFFO
Watu wengine ambao walikuwa ni potential candidates (kwa kiwango cha akili ya CCM) lakini wamepotezwa ni pamoja na
1. Prof. Sospeter Muhongo
2. Dk. Asha Rose Migiro
3. Bernard Membe
4. Dk. Mohamed Gharib Bilal
Kuna watu kama Peter Nyalali, Prof Mark Mwandosya, Hassy Kitine, Dk. Harrison Mwakyembe (unafiki mwingi), hata mtu hujui usemeje kuhusu wao!
Kuna watu kama Mwigulu Nchemba ambao ndoto zao zimekufa kibudu, huyu kuna mtu hataki hata kumsikia.
Pia kuna watu waliofia kusikojulikana kama Lazaro Nyalandu.
Utawala huu hautaki kabisa mgombea ambaye ataonekana kurudisha uongozi wa kidemokrasia, mfano retired Chief Justice Augustino Ramadhani, kwa nia ya kuogopa kumulikwa matendo yao. Pia iwapo kamari ya Majaliwa (anaweza kumgeuka) haitawezekana Rais ajaye anaweza kutokea Jeshini kwa matakwa binafsi (mfukoni kwenye koti la mtu).
Pamoja na hizo orodha hapo juu, Rais ajaye ni mwanaume na ni Mwislamu.
Awamu ya 2025 mtu kuibuka au kuibuliwa kusikojulikana na kugombea Urais kama ilivyotokea kipindi cha nyuma hakutatokea.
Kuna watu ambao umri huenda ikawa ni kikwazo kwao (wamezeeka). Ndani ya CCM kuna kambi nyingi, lakini zote zinaangukia katika makundi makuu 3:
1. Kambi zenye utawala wa mrengo wa kidemokrasia
2. Kambi zenye utawala wa mrengo wa kibabe
3. Kambi zenye mrengo wa utawala wa katiba mpya hasa inayomwajibisha na kumpunguzi Rais madaraka
Umeipata wapi hiyo ya waislamu asilimia 35?
Hivi unajuwa waislamu ni wengi sana kuliko wakristo!!
Waislamu kote nchini ni 65-70 percent
Wakristo kote nchini ni 20-25 percent
Waliobakia ni wapagani/wasiokuwa na dini.
Dr. ZAKIR NAIK
Idadi ya waislam(Kwa asilimia).
Afghanistan 100%
Albania 75%
Algeria 99%
Angola 25%
Argentina 2%
Australia 2.09%
Azerbaijan 93%
Bahrain 100%
Bangladesh 85%
Bhutan 5%
Brazil 0.6%
Burma 10%
Canada 1.48%
Central african 55%
China 11%
Egypt 94%
Ethiopia 65%
Fiji 11%
France 7%
Georgia 11%
Germany 3.4%
Greece 1.5%
Guinea 95%
Guyana 15%
Hongkong 1%
India 14%
Indonesia 85%
Iran 99%
Iraq 97%
Israel 14%
Italy 1%
Japan 1%
Jordan 95%
Kenya 30%
Kuwait 89%
Lebanon 70%
Libya 100%
Maldives 100%
Malaysia 52%
Mauritius 19.5%
Mayotte 99%
Nigeria 75%
Oman 100%
Pakistan 97%
Phillipines 14%
Qatar 100%
Romania 20%
Russia 18%
Saudi arabia 100%
Singapore 17%
Somalia 100%
Sri lanka 9%
Sudan 85%
Syria 90%
Kazakhstan 85%
Tanzania 65%
Thailand 14%
Tunisia 98%
Turkey 99.8%
UAE 96%
UK 2.5%
USA 3.75%
Uzbekistan 88%
Mwenye better job anapoteza muda kuwaza ukoko kama huu ulioandika hapa...We have better jobs than you, tena binafsi.
Rais ajae atakuwa mwanamke ambaye amekuwa kwenye uwaziri toka awamu iliyopita hadi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana hata level yako ya shule ni ndogo. Nenda kahesabie wabunge wa kuteuliwa majimboni. Angalia wakristo na waislam Kwa idadi kutoka majimboni. Utakuta kuna mikoa mingi Sana haina mbunge muislam hata mmoja na Ile mikoa ya coast utakuta kuna wabunge wakristo .mbunge muislam mara nyingi haupatikani palipo na waislam na mkristo hupatikana palipo wakristo pia. Alietoa data waislam ni asilimia 67 to 70 alikuwa na akili matakoni.aligeuza viceversa baada na kuwadanganya waislam ni 67 to 70 baada ya Ile asilimia 30