Majaliwa Ndio Mgombea wa Urais 2025

Majaliwa Ndio Mgombea wa Urais 2025

Siamini katika propaganda za kizalendo ambazo wanaohubiri hawaishi katika misingi hiyo. Mzalendo alikuwa Mwalimu Nyerere tu wengine wanatudanganya, ndo maana huwa nacheka wanasiasa wanavyosema eti somo LA uzalendo liwekwe mashuleni. Huwa najiuliza maswali mengi sana na majibu napata tu kuwa kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki nipingane na wewe kuhusiana na vigezo vyako vya Uzalendo ila nakubaliana na wewe kuwa Nyerere alikua mzalendo.

Ingawa naamini kuwa WaPo wengine wengi tu ambao hao ndio wanaolifanya Taifa hili lisimame mpaka sasa.

Ingawa kwa ujumla wake kiwango cha uzalendo kimepungua hiyo haitufanyi tukate tamaa ya kulitendea mema Taifa letu.

Wito wangu ni kwa kila mtu kutumia muda wake sahihi Katika nafasi yake aliyonayo. Siyo lazima woote tuwe wanasiasa ndio tuonekane kuwa ni wazalendo. Tunachokifanya kinatosha kabisa kama tukikifanya kwa ufasaha.
 
Unajua kuwa wananchi wa kawaida wanaupenda sana uzalendo, tatizo ni viongozi ambao wako katika vyombo vya maamuzi wakatisha tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana hata level yako ya shule ni ndogo. Nenda kahesabie wabunge wa kuteuliwa majimboni. Angalia wakristo na waislam Kwa idadi kutoka majimboni. Utakuta kuna mikoa mingi Sana haina mbunge muislam hata mmoja na Ile mikoa ya coast utakuta kuna wabunge wakristo .mbunge muislam mara nyingi haupatikani palipo na waislam na mkristo hupatikana palipo wakristo pia. Alietoa data waislam ni asilimia 67 to 70 alikuwa na akili matakoni.aligeuza viceversa baada na kuwadanganya waislam ni 67 to 70 baada ya Ile asilimia 30

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa mkuu, "nilikuwa na akili matakoni" nashukuru kuniambia ivyo, lakini ukweli ndiyo huo.

Waisilamu kote nchini ni wengi kuliko wakiristo!

1.Muslims 65-70 percent na bado wanaendelea kusilimu mpaka wafike 100%

2.Christians 20-25 percent

3.Wasiokuwa na dini/pagani 5-10 percent
 
Ndio tatizo la kusoma madrassa bila kwenda shule. Asilimia 100 haiwezekani hata kufikia 50/50 haipo hapa sio Afghanistan. Inaonekana wewe umebakia ulipozaliwa hujawai kutembelea mikoa mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala huu hautaki kabisa mgombea ambaye ataonekana kurudisha uongozi wa kidemokrasia, mfano retired Chief Justice Augustino Ramadhani, kwa nia ya kuogopa kumulikwa matendo yao. Pia iwapo kamari ya Majaliwa (anaweza kumgeuka) haitawezekana Rais ajaye anaweza kutokea Jeshini kwa matakwa binafsi (mfukoni kwenye koti la mtu).

Pamoja na hizo orodha hapo juu, Rais ajaye ni mwanaume na ni Mwislamu.

Awamu ya 2025 mtu kuibuka au kuibuliwa kusikojulikana na kugombea Urais kama ilivyotokea kipindi cha nyuma hakutatokea.

Kuna watu ambao umri huenda ikawa ni kikwazo kwao (wamezeeka). Ndani ya CCM kuna kambi nyingi, lakini zote zinaangukia katika makundi makuu 3:

1. Kambi zenye utawala wa mrengo wa kidemokrasia
2. Kambi zenye utawala wa mrengo wa kibabe
3. Kambi zenye mrengo wa utawala wa katiba mpya hasa inayomwajibisha na kumpunguzi Rais madaraka

Safari hii mmeamua kumwahi Bro Pascal Mayalla ila yawezekana hamjamfilisi bado wakati ukikaribia atakuja na Utabiri sahihi.
 
Pamoja na kwamba Majaliwa hapendi mambo mengi ya ajabu anayofanya mtawala, lakini mtu pekee ambaye atajaribu kufunika uovu wa mtawala wa sasa kwa kadri atakavyoweza ni Majaliwa. Tayari mikakati rasmi ya ndani ya kambi kadhaa za KiCCM zinazowania kwa udi na uvumba nafasi ya Urais 2025 zimeshajipambanua. Majaliwa anakubalika kwa kiasi fulani na kambi zote na zipo tayari kumpisha iwapo mambo yatakuwa magumu pande zao.

Watu wanaojaribu kujenga haiba au wenye haiba ya kuukwaa Urais 2025 ni:

1. January Makamba (Hapiti)

2. Majaliwa Kasimu

3. Dk. Augustine Mahiga

4. Khamis Kigwangallah (Hapiti)

5. Dr. Ali Mohamed Shein

6. Huyu nani Muhammed Seif Khatib?

7. Samia Suluhu
8. Balozi Amina Salum Ali
9. Balozi Ali Karume
10. Hussein Mwinyi
11. SULEIMAN JAFFO

Watu wengine ambao walikuwa ni potential candidates (kwa kiwango cha akili ya CCM) lakini wamepotezwa ni pamoja na

1. Prof. Sospeter Muhongo
2. Dk. Asha Rose Migiro
3. Bernard Membe
4. Dk. Mohamed Gharib Bilal

Kuna watu kama Peter Nyalali, Prof Mark Mwandosya, Hassy Kitine, Dk. Harrison Mwakyembe (unafiki mwingi), hata mtu hujui usemeje kuhusu wao!

Kuna watu kama Mwigulu Nchemba ambao ndoto zao zimekufa kibudu, huyu kuna mtu hataki hata kumsikia.

Pia kuna watu waliofia kusikojulikana kama Lazaro Nyalandu.

Utawala huu hautaki kabisa mgombea ambaye ataonekana kurudisha uongozi wa kidemokrasia, mfano retired Chief Justice Augustino Ramadhani, kwa nia ya kuogopa kumulikwa matendo yao. Pia iwapo kamari ya Majaliwa (anaweza kumgeuka) haitawezekana Rais ajaye anaweza kutokea Jeshini kwa matakwa binafsi (mfukoni kwenye koti la mtu).

Pamoja na hizo orodha hapo juu, Rais ajaye ni mwanaume na ni Mwislamu.

Awamu ya 2025 mtu kuibuka au kuibuliwa kusikojulikana na kugombea Urais kama ilivyotokea kipindi cha nyuma hakutatokea.

Kuna watu ambao umri huenda ikawa ni kikwazo kwao (wamezeeka). Ndani ya CCM kuna kambi nyingi, lakini zote zinaangukia katika makundi makuu 3:

1. Kambi zenye utawala wa mrengo wa kidemokrasia
2. Kambi zenye utawala wa mrengo wa kibabe
3. Kambi zenye mrengo wa utawala wa katiba mpya hasa inayomwajibisha na kumpunguzi Rais madaraka

Lukuvi hujamtaja. Yuko bize sana
 
Back
Top Bottom