Majaliwa Ndio Mgombea wa Urais 2025

Majaliwa Ndio Mgombea wa Urais 2025

Rais ajaye ni Mwislamu.
Rais ajaye ni muislamu Ila mwenyewe character za ukriston. Na pia Hana character za muislamu pure au itikadi za kiislam. Anaeonkana ana uislam direct au mfia dini ya uislam itakuwa ngumu kupita. Kikwete ilimuwa ngumu watu kujua yupo dini gani because jina lake hariashirii uislam pure. Jakaya Mrisho kikwete . Kuna majina ya kikabila ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais ajaye ni muislamu Ila mwenyewe character za ukriston. Na pia Hana character za muislamu pure au itikadi za kiislam. Anaeonkana ana uislam direct au mfia dini ya uislam itakuwa ngumu kupita. Kikwete ilimuwa ngumu watu kujua yupo dini gani because jina lake hariashirii uislam pure. Jakaya Mrisho kikwete . Kuna majina ya kikabila ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sina uhakika raisi afataye ni muislam.
 
Hakatizi 2025. Yaani haendi popote, aje asome hapa halafu asubirie kama anabisha. Awamu ya pili ya muhula ujao mwishoni ataanza unafiki wa kujinyenyekeza. Akisoma tunavyojadili hapa ina muuma kuliko kitu kingine chochote, trust me, namfahamu vizuri huyu jamaa hasa unapomhakikishia kuwa pamoja na ubabe wako kuna jambo huwezi kufanya.
Naona umeamua kutoa ya moyoni Mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu unasahau,SYSTEM,ikikutaa;hata raisi anayegawa kijiti akikataa vipi;atalazimishwa tu.

Hili ulilosema ni kweli. Lakini katika tatizo lililo ndani ya nchi yetu ni hiyo system. Hawa huleta viongozi lakini wakiwa madarakani hawana uwezo wa kuwadhibiti. Ni vyema huko mbeleni kuepuka hiyo system yenye mitazamo ya kizee ni kufanya mapinduzi. Hapo tutapata mabadiliko ya kweli.
 
Marafiki hawamfanyi kutibua katiba ya jamhuri,
Halitokuja kutokea;i mean haiwezekani hata afanyeje.

Haitakuja kutokea Jiwe akagombea tena 2025, I mean haitakuja kutokea. Hata nani amwaminishe, haitakaa itokee. Tanzania sio Burundi wala Rwanda. Walichoamua watu ni kuvumilia kwa hali na mali muhula wake upite.
 
Sio rahis mkuu, jamaa kawaweka mfukoni, na hizi harakati za kuunga mguu wa juhudi kuna kitu kinatengenezwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ameweka watu mfukoni within his sphere of influence. Kila mtu anamwangalia tu kwa sababu mifumo yetu haina utamadumuni wa kuingilia tawala, lakini hawawezi kumpa nafasi ya kwenda zaidi ya 2025.
 
Hivi mnajua kuwa Hussein Bashe is far better than Kigangwala na January? January na Kigwangala wanaishi maisha na siasa za kinafiki, tofauti kabisa na Bashe.
Hii nchi haiwezi kuwa na rais mwenye asili ya isiyo ya tanzania. Ubumge na unaibu waziri atakuwa amejitahidi sana. Hawezi panda juu zaidi ya hapo.
 
Nchi haiongozwi kwa mfuatano wa dini bali kiongozi anayefaa,mbona Zanzibar haijawahi kuongozwa na Mkristo?
Rais ajaye ni Mkristo jiandaeni kisaikolojia
Nashangaa, zenji haijawahi ongozwa na mkristo alafu huku bara wanaleta upuuzi. Ni muda sasa kuacha kuwadekeza dekeza hawa jamaa.
 
Majaliwa anafaa sana sana kwani ana sifa zifuatazo;
Sio mkabila na mkanda
Amejaa hekima na busara
Hupenda kusikiliza wengine
Ni mwana demokrasi na mpenda haki na usawa
hana majungu
Hakurupuki.
 
Back
Top Bottom