Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,841
Soma gazeti la majira la leo ukurasa wa 3.
acha bana......hebu nisomee uniambie.......
teh teh...nenda usukumani kunakijiji ukijidaunajua mvua itakuwa inanyesha kwako tu au ulipo, na ukitaka kupika chakula hakiivi au unajikuta unatandikwa fimbo na mtu ambae humuoni...acha mkuu haya mambo yapo ukikataa kuwa haya po basi wewe mbishi tu...Kawaida siamini ushirikina, lakini kwa hili nafikiria upya!
Kawaida siamini ushirikina, lakini kwa hili nafikiria upya!
Nasema ni vigumu sana kuamini habari kama hizi
Zama za mwisho zimekaribia.