mbona ushirikina wa babu wa loliondo uliutetea sana au umesahau nini??Kawaida siamini ushirikina, lakini kwa hili nafikiria upya!
Kwetu huku magazeti ya leo yanafika keshokutwa.......
kwa tunaotoka Kilombero hatupati tabu kuelewa jambo hili....baadhi ya koo fulani fulani tukiwa katika misiba yao basi mazishi huarakishwa ili kupesha maiti kugeuka simba, chatu nk........tena utasikia wanasema duuh ameshaanza kugeuka humo ndani anaota kwato basi mtakimbizwa makaburini haraka sana......koo hizo naomba nizihifadhi kwa sasa ila zipo Kilombero na huleta mitafaruku yenye sura hiyo misibani, ili kuepusha hayo basi madawa ya kienyeji huwa yanatumika kuchelewesha maiti kugeuka na wakati mwingine inabidi maiti izikwe na kipande cha ngozi ya mnyama fulani kwenye paji la uso ili hata akigeuka hapo baadae (baada ya mazishi) asiwe na madhara......ninachooamini mpuuzi ibilisi anaweza kufanya jambo lolote ku justify uwezo wake kwa wanaomwamini na kumtii kwani yeye ni mwongo toka mwanzo wala kweli haimo ndani mwake
mix with yours
Kesheni mkiomba kwa kuwa hamjui Siku wala saa!!
hii nchi haiishi vioja
Ningekuwa editor hii habari ingeishia kwenye dustbin. Lakini shauri editors wanapenda sensational newsilimagazeti yauzwe inabidi ipate nafasi tu.
Hadithi kama hii ilitakiwa kuwa angalau na muunganiko wa daktari wa wilaya bunda ambaye angekuwa scientific zaidi kuelezea scientific reason ya kitu kama hicho kutokea kama kweli kilikuwepo.
Labda tuchukue fursa hii kuwakumbusha wahariri kuwa kazi kubwa ya magazeti ni kueleimisha na kutoa habari na katika hilo tutegemee kuwa wakati wa postmoterm leo lazima waliambiana kuwa kuwe na habari ya muendelezo kuhusu habari hiyo na sio kuacha habari hii inaishia kwenye gazeti la leo.
Endapo habari ya muendelezo haitakuwepo basikuna hatari kubwa ya waliosoma leo wabaki na dhana kuwa mtu akifa anaweza kubadilika na kuwa ng'ombe kitu ambacho hakijawa proved scientifically.
Kama una maswali kama haya ujiulize na yule jamaa Moh'd mbakaji wa vitoto chini ya umriunaamini kuwa Yesu alizaliwa bila mbegu za kiume?
ya kusambaratika ccm
Buji bhana...! Kilichokushinda kuicopy nini wakati unajua wengne 2na aleji na magazeti km hayo...eti majira! Mwee!
kwann ungeitupa kwenye dustbin wakati macho ya damu na nyama yameshuhudia..kama wako walioona hivyo tayari ni habari hiyo mkuuNingekuwa editor hii habari ingeishia kwenye dustbin. Lakini shauri editors wanapenda sensational newsilimagazeti yauzwe inabidi ipate nafasi tu.
Hadithi kama hii ilitakiwa kuwa angalau na muunganiko wa daktari wa wilaya bunda ambaye angekuwa scientific zaidi kuelezea scientific reason ya kitu kama hicho kutokea kama kweli kilikuwepo.
Labda tuchukue fursa hii kuwakumbusha wahariri kuwa kazi kubwa ya magazeti ni kueleimisha na kutoa habari na katika hilo tutegemee kuwa wakati wa postmoterm leo lazima waliambiana kuwa kuwe na habari ya muendelezo kuhusu habari hiyo na sio kuacha habari hii inaishia kwenye gazeti la leo.
Endapo habari ya muendelezo haitakuwepo basikuna hatari kubwa ya waliosoma leo wabaki na dhana kuwa mtu akifa anaweza kubadilika na kuwa ng'ombe kitu ambacho hakijawa proved scientifically.
unaamini kuwa Yesu alizaliwa bila mbegu za kiume?