Bornvilla
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 924
- 271
Atusomee kisha atuwekee hapa.
OTIS.
We mwanachama wa illuminat kumbe? Hicho ni chama cha Shetani na wewe umeridhika kuwemo? Dushelele hebu nieleze.
Atusomee kisha atuwekee hapa.
OTIS.
Kwetu huku magazeti ya leo yanafika keshokutwa.......
Wengine huku hayafiki kabisa.
Ningekuwa editor hii habari ingeishia kwenye dustbin. Lakini shauri editors wanapenda sensational newsilimagazeti yauzwe inabidi ipate nafasi tu.
Hadithi kama hii ilitakiwa kuwa angalau na muunganiko wa daktari wa wilaya bunda ambaye angekuwa scientific zaidi kuelezea scientific reason ya kitu kama hicho kutokea kama kweli kilikuwepo.
Labda tuchukue fursa hii kuwakumbusha wahariri kuwa kazi kubwa ya magazeti ni kueleimisha na kutoa habari na katika hilo tutegemee kuwa wakati wa postmoterm leo lazima waliambiana kuwa kuwe na habari ya muendelezo kuhusu habari hiyo na sio kuacha habari hii inaishia kwenye gazeti la leo.
Endapo habari ya muendelezo haitakuwepo basikuna hatari kubwa ya waliosoma leo wabaki na dhana kuwa mtu akifa anaweza kubadilika na kuwa ng'ombe kitu ambacho hakijawa proved scientifically.

Buji bhana...! Kilichokushinda kuicopy nini wakati unajua wengne 2na aleji na magazeti km hayo...eti majira! Mwee!
Ni kweli kabisa Ngambo Ngali.
Ujinga ndio unaoangamiza sayansi.
Ni dhahiri kwamba kwa vile mama huyo amefariki ni lazima amewekewa SUMU.
Sumu inaendelea kureact na body fluids na kutengeneza gesi ndani ya mwili.
Hapo hakuna ushirikina wala nini ujinga mtupu na mauaji ya sumu.
Yaani wewe utakuwa ni mwanga wa kukata na shoka, maana ndio wanaojifanyaga kudanganya watu wasiamini kuwa uchawi upo ili waendelee kuwakandamiza vizuri, Ilhali hata vitabu vya imani vinasema uchawi upo!!!!! We dini gani kwan?? Wanga kama nyie mnafanya watu matukio kama hayo wawe wanaamini kwamba ni medical case...!!! Kwann ubishe? kwann usifanye utafiti uthibitishe habari hii? Au we ndio mhusika nn???
Ni tu mjinga mjinga tu mwenye kuweza kuamini vitu kama vilivyopostiwa hapa.Yaani wewe utakuwa ni mwanga wa kukata na shoka, maana ndio wanaojifanyaga kudanganya watu wasiamini kuwa uchawi upo ili waendelee kuwakandamiza vizuri, Ilhali hata vitabu vya imani vinasema uchawi upo!!!!! We dini gani kwan?? Wanga kama nyie mnafanya watu matukio kama hayo wawe wanaamini kwamba ni medical case...!!! Kwann ubishe? kwann usifanye utafiti uthibitishe habari hii? Au we ndio mhusika nn???
Yaani wewe utakuwa ni mwanga wa kukata na shoka, maana ndio wanaojifanyaga kudanganya watu wasiamini kuwa uchawi upo ili waendelee kuwakandamiza vizuri, Ilhali hata vitabu vya imani vinasema uchawi upo!!!!! We dini gani kwan?? Wanga kama nyie mnafanya watu matukio kama hayo wawe wanaamini kwamba ni medical case...!!! Kwann ubishe? kwann usifanye utafiti uthibitishe habari hii? Au we ndio mhusika nn???
Ni kweli kabisa Ngambo Ngali.
Ujinga ndio unaoangamiza sayansi.
Ni dhahiri kwamba kwa vile mama huyo amefariki ni lazima amewekewa SUMU.
Sumu inaendelea kureact na body fluids na kutengeneza gesi ndani ya mwili.
Hapo hakuna ushirikina wala nini ujinga mtupu na mauaji ya sumu.
Safi sana MkuuActivist, ungesoma vizuri thread yangu usingenishambulia hivyo, sijasema kuwa hakuna uchawi, kama nimesema naomba unioneshe. Nilichosema mimi ni kuwa angeitwa daktari wa wilaya ili kuelezea tukio hilo kama yeye angeona la ajabu basi angeweza kupeleka bugando kwa uchunguzi zaidi, neno pathology unajua maana yake? hata maiti zanafanyiwa uchunguzi na huyo pathologist angekuja na jibu la kisayansi zaidi.
Hapa tunayo hadithi toka upande wa ndugu, hatuna hadithi ya madaktari.
Ukisoma vizuri thread yangu nimesisistiza umuhimu wa utafiti ili baada ya utafiti wananchi waelimishwe matokeo na waelimishwe na waelewe.
soma vizuri nilichoandika
Makubwa hayo. Vipi hapakuwapo na mchungaji kupambana na hali hizo za maiti hiyo?