Akatamka mgonjwa kama mnataka mali mtayapata shambani!Hivi hii dhana ya kusema aende sehem kulima atatoboa tu huwa ni serious?...kwamba kilimo ni easy hvyo...hivi si tulishakubaliana kilimo kinahitaji pesa!?
sio huyo.Msijisumbue jamaa kashajinyonga tayari,, ilo tukio limetokea mtaani kwetu Mbezi kwa Msuguli nilipokutana na huu Uzi nikajua tu yeye bwana BUSHIRI
Sasa kipi bora Wangari? Ajiue au aende akapige mpini kijijini? Unaona jinsi jamaa alivyokata tamaa? Kwani akikaa mjini pesa itajileta?Hivi hii dhana ya kusema aende sehem kulima atatoboa tu huwa ni serious?...kwamba kilimo ni easy hvyo...hivi si tulishakubaliana kilimo kinahitaji pesa!?
Not special seat mp,but appointed MPS
So passing my greetings to the Late Jpm about the Bashiru demotion from KMK to Special Seat Mp .
Haijileti..lakin kilimo sio rahis namna hii hata kaka jembe la mkono..bado kuna hela inatakiwaSasa kipi bora Wangari? Ajiue au aende akapige mpini kijijini? Unaona jinsi jamaa alivyokata tamaa? Kwani akikaa mjini pesa itajileta?
Mkuu usipende kupata return...wema wako utalipwa kizaz chako cha 3! Au wanao wakaja lipwa wema huoNiliamini katika kusaidia watu niliamini utu ni kutoa kidogo nilichonacho wengi sana nimewagusa katika maisha yao leo hawapo na mm
Kinachomsumbua huyo jamaa na vijana wengine wengi sio pesa ila hana moyo wa kuvumilia magumu/changamoto za dunia hii. Unafikiri kilimo hakina changamoto? Kama ana mentality ya kujinyonga basi hakuna lenye nafuu hapa duniani hata akipewa milioni 100 na MO Dewji.Sasa kipi bora Wangari? Ajiue au aende akapige mpini kijijini? Unaona jinsi jamaa alivyokata tamaa? Kwani akikaa mjini pesa itajileta?
Nadhani na tamaa zinasumbua zaidi...Kinachomsumbua huyo jamaa na vijana wengine wengi sio pesa ila hana moyo wa kuvumilia magumu/changamoto za dunia hii. Unafikiri kilimo hakina changamoto? Kama ana mentality ya kujinyonga basi hakuna lenye nafuu hapa duniani hata akipewa milioni 100 na MO Dewji.
Tatizo hajibu sasaKweli mkuu aje apige nyagi na mbususu ya pisi kali tunamlipia.Alafu atupe mrejesho
basi huyu atakuwa mwingine na ajatoa taarifa popote kaamua kujikilisio huyo.
huyu jamaa mbona yupo online sasa hivi.
Inawezekana. Mimi niliwahi kuwaambia watu nipo radhi kuvaa magunia kuliko kunyenyekea watu wenye kunidharau hata kama wana connections nzuri za kazi/pesa. Ninapitia changamoto nyingi sana za kifedha sasa hivi lakini hakuna siku nitawaza kujinyonga. Ninatapamba milele na milele.Nadhani na tamaa zinasumbua zaidi...
Pole sana mkuuNimejibu sana na nimepata msaada wa kimawazo na njia za kufanya pia asante
Sijamaanisha ww bwana lol...am sorry thou..nimeongelea in generalBasi inatosha mkuu nashukuru kwa mchango wako😥😥😥😥
😀😀😀😀 the defendantNot special seat mp,but appointed MP