Maisha yamenishinda, vita imenishinda

Maisha yamenishinda, vita imenishinda

Niliamini katika kusaidia watu niliamini utu ni kutoa kidogo nilichonacho wengi sana nimewagusa katika maisha yao leo hawapo na mm
Mkuu usiache kufanya hicho ambacho kabla uliamini nijambo jema kufanya kwaajiri yao nakuelewa unachosema mm pia nimepitia hiyo naweza kuacha kufanya chochote kwa watu waaina ile lakini kwa aina nyingine yawatu siachi kila ninapoona naweza
 
wakati wewe unaafya njema na unataka utajili, kuna wenzio hawataki hata senti ila wanataka waone dunia inaoneoanaje, wemgine wanatamani watembee wengine wanatamani wanaone wanaowapenda, kwanini usichukulie kuwa kwako hai na fya njema kama moja ya utajili mkubwa aliyokupa Mungu.....

Wengi hawana furaha kwenye utajili, hawajui kesho yao itakuwaje pindi wakifa.....

kuhusu utafutaji, jaribu kukaa chini ujitafiti unapassion na kitu gani, maana wengi hatufanikiwi kwakuwa tunashindwa jua kitu gani kimebeba hatima yetu.....
 
Soma hili andiko: WAEFESO 6:12

"KWA MAANA KUSHINDANA KWETU SISI SIO JUU YA DAMU NA NYAMA, BALI JUU YA FALME NA MAMLAKA, JUU YA WAKUU WA GIZA HILI NA JUU YA MAJESHI YA PEPO WABAYA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO".

Inawezekana unapigana vita katika ulimwengu wa nyama unaoonekana ndio maana vita yako inakaribia kushindwa.

Mwambie Mungu apigane na hao maadui zako wasioonekana maana yeye hupigana vita kwa niaba yetu.

Mshike sana Mungu na umwambie shida zako zote.

"Njooni kwangu enyi nyote msumbukao na mizigo nami nitawapumzisha", asema BWANA.
 
Nawashukuru sana wote mlionigusa kwa jumbe zenu wakuu labda sijapata nafasi ya kueleza nini kimenisukuma kuwa kwenye hali hii najua siwezi pata wasaa wa kuelezea pia kweli wapo wanaopitia changamoto nyingi kuliko zangu najua kabisa, sistahili kulalamika lakini ndani ya nafsi yangu yapo mazito ya kuumiza sana, naomba kuishia hapa na kushukuru mchango wa kila mmoja wetu kuhusu hili nafahamu haikuwa sehemu sahihi kulileta, niwaage kwa sasa na mungu awabariki nyote
 
Shida inapoanzia watu hawataki kukubali kuanza chin.
Hapo ndipo kwenye changamoto! Vijana kila siku wanalia wakati nchi hii imejaa mapori yenye rutuba hatari! Wilaya kama Tanganyika unafukuafukua tu mahindi hayooo! Ukiwaambia watakuuliza soko! Sasa unauliza soko kabla hujazalisha?
 
Njoo nikupe binti yangu ana chura na ana pesa za kutosha kukufuga.
Vijana wengi mnakuwa na matarajio makubwa mno kuliko uhalisia wa maisha na wengi wengi ni wenye vidigrii vyetu vya hapanapale..!
 
Pole sana ila watu wana comment bila kujua hali halisi binafsi nishapitia hali hiyo na bado napitia hali iyo ila sikati tamaa, naoambana ivyo ivyo kibishi nishajikubali na maisha yangu nikizidiwa sana uwa nasikiliza nyimbo za kunipa moyo kama ya darasa inaitwa Usikate tamaa mana naona jamaa kama vile naisi aliniimbia mimi mana aliyoimba mule mule na lifa langu, pole sana kikubwa jichanganye na wati tofauti tofauti mzunguko wako wa marafiki hauna msaada usikae mwenyewe
 
Bahati mbaya namba za kijana wangu Michael nilishapoteza, angekusaidia sana katika maswala ya counselling! Kwa ufupi wewe una msongo wa mawazo mamamako wewe! Kweli utakufa usifikri ni utani! Kama umekosa ajira si uende hata vijijini mbali kabisa akapige mpini? Nenda Tanganyika ukalime mkuu utatoboa tu!
Hivi hii dhana ya kusema aende sehem kulima atatoboa tu huwa ni serious?...kwamba kilimo ni easy hvyo...hivi si tulishakubaliana kilimo kinahitaji pesa!?
 
Maisha matamu Sana . Kujinyonga kwako unawanufaisha wahuni wengine .

Badilisha mazingira , kukosa sehemu moja si kukosa kila sehemu . Kupata na kukosa hai ni mapacha . Ondoa ndoto za kuwa tahiti mkubwa just pesa ya mboga tu inatosha ridhika na Mungu atakufungulia njia.

Wapo wenye shida zaidi yako na wanapambana kila siku
 
S

So passing my greetings to the Late Jpm about the Bashiru demotion from KMK to Special Seat Mp .
Kweli kabisa,na tena akamwambie Kingwangala nae ameshamgeuka huku anataka mashine za nyungu zitolewe muhimbili na chanjo ya corona ikuje kwetu wakati sisi tunaishi nayo hadi UK wanataka kutuiga
 
Back
Top Bottom