Ukiona hivo jua huyu jamaa anamaanisha anachokiongea...Duuh huyu memba toka 2010 hadi leo anapost moja tu ambayo ndio hii
Kiukweli haya maisha bila pesa ni heri mtu ukufilie mbali. Haya maisha hayana maana kabisa kama huna pesa!

Nimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu,
Matatizo yako ni yako binadamu hawajali na hata hawatawaza hicho ndio kitu kikubwa nimekutana nacho, nimehangaika kwa kila namna kufanikiwa kimaisha, ila ukweli destiny yangu nimeishaijua niliandikiwa kufeli toka nazaliwa, hilo nimejua,
Sioni haja ya kuendelea kuhangaika kwenye dunia hii ambayo imeshanihukumu kwamba mimi nitakuwa mtu wa kufeli maisha yangu yote, siku za kukosa furaha na maumivu zinatosha sasa, mimi moja kati ya wanadamu ambao furaha tumegombana nayo,
Naishia hapa na hii ndio point ambayo sina budi kurudi kwa yule aliyeniumba
Acha hizo bhana hajafa bado..Vita umepigana ,Mwendo umeumaliza ,Upumzike kwa Amani.
Kufa tena mkuuUkiona hivo jua huyu jamaa anamaanisha anachokiongea...
Kiukweli haya maisha bila pesa ni heri mtu ukufilie mbali. Haya maisha hayana maana kabisa kama huna pesa!
Kweli dada yangu,, let's stay positive and tuwaambukize wengineHii safari ya kuwa positive huwa siyo ndogo
Tujifunze kuhainisha mambo positive kila wakati na kujitafakari kwenye namna ya uchanya na hiyo inakupa nafasi ya kuona furaha ya maisha,hata katika vitu vidogo vidogo.
Mtoa mada Mungu akupiganie na wewe pia uzidi kujipigania.
Inapendeza matatizo kumzidia mtu hadi akate tamaa? 🤔Inapendeza
Muda mwingine kumbe una ongea mambo ya maana..Kinachomsumbua huyo jamaa na vijana wengine wengi sio pesa ila hana moyo wa kuvumilia magumu/changamoto za dunia hii. Unafikiri kilimo hakina changamoto? Kama ana mentality ya kujinyonga basi hakuna lenye nafuu hapa duniani hata akipewa milioni 100 na MO Dewji.
Changamoto ni sehemu ya maisha, tatizo ni nini? Nipo tayari kukusaidiaNimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu,
Matatizo yako ni yako binadamu hawajali na hata hawatawaza hicho ndio kitu kikubwa nimekutana nacho, nimehangaika kwa kila namna kufanikiwa kimaisha, ila ukweli destiny yangu nimeishaijua niliandikiwa kufeli toka nazaliwa, hilo nimejua,
Sioni haja ya kuendelea kuhangaika kwenye dunia hii ambayo imeshanihukumu kwamba mimi nitakuwa mtu wa kufeli maisha yangu yote, siku za kukosa furaha na maumivu zinatosha sasa, mimi moja kati ya wanadamu ambao furaha tumegombana nayo,
Naishia hapa na hii ndio point ambayo sina budi kurudi kwa yule aliyeniumba
Una watoto?Nimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu,
Matatizo yako ni yako binadamu hawajali na hata hawatawaza hicho ndio kitu kikubwa nimekutana nacho, nimehangaika kwa kila namna kufanikiwa kimaisha, ila ukweli destiny yangu nimeishaijua niliandikiwa kufeli toka nazaliwa, hilo nimejua,
Sioni haja ya kuendelea kuhangaika kwenye dunia hii ambayo imeshanihukumu kwamba mimi nitakuwa mtu wa kufeli maisha yangu yote, siku za kukosa furaha na maumivu zinatosha sasa, mimi moja kati ya wanadamu ambao furaha tumegombana nayo,
Naishia hapa na hii ndio point ambayo sina budi kurudi kwa yule aliyeniumba
Dahh wabongo ni wakorofi mno uzi wa kujinyonga unakuja na huo mguu...Duuh huyu memba toka 2010 hadi leo anapost moja tu ambayo ndio hii
Pole sana mkuu. Lakini ungejaribu kutushirikisha wote hapa, tungejua tunaweza kushauriana vipi na tukafiki muafaka mzuri tu.Ni nyakati ngumu sana mkuu wangu kwa kweli inaumiza na kutesa sana sijui ntatokaje tena nahisi nishakwama
Mkuu kwanza pole kwa unayoyapitia lkn ndo ukweli wenyewe wa maisha. Naomba nipigie/nibipu au tuma sms kwa namba 0652494919 naitwa geofrey ngaga. Sina kitu cha kukupa ila napenda nikupe niliyoyapitia mpaka nikafikia uamuzi wa kutaka kujiua na nini kilibadilisha uamuz wangu. Kimsingi ni mtoto mdogo wa darasa la 6 na sina undugu nae wa aina yoyote ile ndo alibadilisha uamuzi wangu sasa yupo form one na mimi ndo namsomesa japo ni shule za kata lkn vyote vinavyousiana na shule ni mimi nimeamua kujitwika huo mzigo na najisikia fahari kumsaidia. Nashukuru ndugu zangu pia wananisupport na wamenionya kwamba ole wangu nimuache. Nipigie mkuu tuongee.Nimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu,
Matatizo yako ni yako binadamu hawajali na hata hawatawaza hicho ndio kitu kikubwa nimekutana nacho, nimehangaika kwa kila namna kufanikiwa kimaisha, ila ukweli destiny yangu nimeishaijua niliandikiwa kufeli toka nazaliwa, hilo nimejua,
Sioni haja ya kuendelea kuhangaika kwenye dunia hii ambayo imeshanihukumu kwamba mimi nitakuwa mtu wa kufeli maisha yangu yote, siku za kukosa furaha na maumivu zinatosha sasa, mimi moja kati ya wanadamu ambao furaha tumegombana nayo,
Naishia hapa na hii ndio point ambayo sina budi kurudi kwa yule aliyeniumba
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dahS
So passing my greetings to the Late Jpm about the Bashiru demotion from KMK to Special Seat Mp .
Safi kwa kumwambia ukwel ,furaha unajipa mwenyw inabd turidhike sababu kuwa watu wanaomba kufika tulipo yan hata hawajafikaUsijiue wewe..
Watu wote usione wanacheka ukadhani wana furaha, msala ule ule tena si ajabu ukisimuliwa yako ukaona madogo...
Kitu kikubwa humu duniani tafuta furaha yako wewe mwenyewe usisubiri kupewa, haipo hiyo
Jipende, jifurahie
NB:
Ila ishu ya kukosa pesa hasa mwanaume ni kipengele yaan ni special task mweeh[emoji848][emoji848]