Wengine wanafuta
Jamaa naweza kutabiri muonekano wako?Kuna baadhi ya binadamu ni watu wa hovyo sana mkuu. Back in 2016 I went through the same situation, nilisaidia sana watu lakini nilipokwama wachache sana walibaki na mimi. Wengi wao walinikimbia.
[emoji2306][emoji2306]Msijisumbue jamaa kashajinyonga tayari,, ilo tukio limetokea mtaani kwetu Mbezi kwa Msuguli nilipokutana na huu Uzi nikajua tu yeye bwana BUSHIRI