kobokocastory
JF-Expert Member
- Aug 30, 2014
- 1,076
- 1,272
..............., someone say Ameeeen!!
Kumtongoza ke aliyekuzidi uwezo inahitaji moyo wa chuma labda anianze mwenyewe, na awe SM walau huyo anakuwa amepevuka lakn hawa 21 to 30 na awe ajazalishwa kumuingia ni ngumu natarajia kilasiku kufokewa, kama unabisha tujaribu.Tatizo mkiona hivo hamjiamini mnatuogopa na kitu kidogo mnaweka hizo defense mechanisms zenu
Usijali mamii,tafuta buzi na ujue kulikanda korodani vizuri,utatoka tu.Ndo jibu hilooooo!
Wee tangazo liko wapi?? Acha mambo yapo wewe mabwana kibao Ninao ndo nataka nifanye uamuzi tehteh
Wewe kuwa na tabia kama hiyo haimaanishi kuwa wanawake wote wana tabia yako. Kuna wanawake wengi tu wazuri, wenye tabia nzuri na za kupendeza, wanaojiheshimu na wasiondekeza tamaa.
angalia kama huyu je ni wife material Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?
Tatizo lako ni kurukaruka kama kunguru mamii,jitulize kama kasuku,usitake maneno na wala usiwe kichwa maji,mkubali mmoja akuhudumie,lakini unarukia mafisi maji,baba sukari,vibosile uchwara,bodaboda,wauza kuku,wauza urembo,mangi wa dukani,Francis wa grocery,na konda wa dala dala hao wote wanakujaza mkosi na kukuzeesha mamii.
Ni hivyo baby,wewe niachie mimi peke yangu niwe nakukanda,hapo utaona baraka.Eti eeeeeeeeeeh????!!!! Aiseee!!!!
Usikonde mimi nitakufundisha baby.Mh kwahiyo tusio na viuno kazi ipo sio?? Ngoja nianze mazoezi ya viuno Huhuhuuu
Kumtongoza ke aliyekuzidi uwezo inahitaji moyo wa chuma labda anianze mwenyewe, na awe SM walau huyo anakuwa amepevuka lakn hawa 21 to 30 na awe ajazalishwa kumuingia ni ngumu natarajia kilasiku kufokewa, kama unabisha tujaribu.
Basi nimefurahi kusikia hivyo,ila na mimi uja unionjeshe mamii.Nishatoka best na njaa siwezi kulala ila akiwepo mimajukuku mingine automatic inamuhusu mi kazi yangu kunyosha tu miguu hata sisumbuki sana
Ni hivyo baby,wewe niachie mimi peke yangu niwe nakukanda,hapo utaona baraka.
Hahaaaaaa ukiweza kucheza na akili ya mume ndoa inakuwaga tamu sana. Coz asilimia kubwa ya wanaume wanapenda sana kutiiwa, na mwanamke akishakuwa mnyenyekevu anaweza kuchomolewa chochote anachotaka ikiwa ni pamoja na kupata amani moyoni hii ndio siri. Lakini ukionesha makucha na kujiona sasa Wewe pia ni kamwanaume kengine hapo kila kitu huvurugika na mwisho utaachia madaraka mwenyeweSikwepi ila naongelea unafuuu muda mwingine wee hata kama una hela ila upo hom baba mtu yupo mjini sijui wapi huko kwenye mizunguko yake unamtumia sms tu baba fulani ukirudi naomba unijie na mboga khakhaa hawezi kubisha