Maisha ya nyumbani raha

Ruhazwe JR,
Marahabaa
tatizo ni haya mapenzi ya mtandaoni hata my son anaona kabisa mama
hana maadili,
sorry my son.

mama shikamoo!
huu ni wakati wa kila abiria kuchunga mzigo wake,ohooo utaibiwa shauli lako,we mwanche baba azulule peke yake uone kama hayajakukuta
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mzima kabisa mama yako
leo nilikuta taiti na kazi za church
tumemaliza jioni hii.

Je upo upo tuongee kidogo pembeni?

yap,nipo wa kumwaga...hata mie leo church kisha nimerud home nimeshinda sana humu na bado nipo mama
 
Mwambie akuchukue tu mie nimejijazia sasa. Nina PakaJimmy Vin Dizel na Asprin.

Kwa raha zangu mwanamke wa shoka.
Na kwa kuwa specific zaidi, hao akina Vin Diesel na Asprin wajitathmini wenyewe na wajiulize jina la kwanza kutajwa hapo ni la nani, hivyo wachanganye na zao!...ningekuwa mimi ndio wao ningejaribisha kwengine!
 
Last edited by a moderator:
mama shikamoo!
huu ni wakati wa kila abiria kuchunga mzigo wake,ohooo utaibiwa shauli lako,we mwanche baba azulule peke yake uone kama hayajakukuta
Ruhazwe JR usiwe na wasi wasi hapa
Abiria anachungwa mbaya na hatoki hata kwenye siti Mamndenyi i love you sana sana
Love you tena na tena Mwahhaaa
 
Last edited by a moderator:
Na kwa kuwa specific zaidi, hao akina Vin Diesel na Asprin wajitathmini wenyewe na wajiulize jina la kwanza kutajwa hapo ni la nani, hivyo wachanganye na zao!...ningekuwa mimi ndio wao ningejaribisha kwengine!

Wewe ndio the super man, above all PakaJimmy.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…