Maisha ya nyumbani raha

Unadhani wanafurahia uwepo wako hapo homie! Wanajiuliza daily lini utarudiana na your husbend.
 
Wewe sie ukoo wetu umeanzia hapo hapo kwa wazazi wetu... Mababu washarudi kwao walikotoka... Daddy na mummy hawawezi kuondoka kwani hawana kwao tena!!!

mmm! ukoo wako kama ukoo wa kumbikumbi teh,teh,
 
. Shem niñi kinaendelea humu ndani?
 
Last edited by a moderator:
Ruhazwe JR hiyo ni just missing bana
Mamndenyi ni asali wa moyo wangu na yule siwezi kwenda kinyume nae nampenda sana sana
Copy Erickb52

mmm! baba yangu unasaundi,haya bwana baba,linda usalama wa mama bwana,siunajua tena mama yangu bado mbich hakafu wewe handsome unamezewa mate kila kona humu ndan
 
Last edited by a moderator:
. Shem niñi kinaendelea humu ndani?
Dah humu sio mabaya ila zunguka zunguka utamkuta Filipo anamtongoza dada mmoja.
BTW Umepotea sana aisee weekend wapi nije kujidunga ndofu moja na wewe?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…