Mwanaume
alikuwa M.KE au M.ME
kabakabana
Katika maisha unaweza kuhisi umetengwa, kuhisi hupendwi, kuhisi unadharauliwa. Inawezekana hisia zako ni za kweli lakini jifunze kuishi kwa kutotegemea mazuri na faraja kutoka kwa wengine. Kama unaona hupendwi jipende mwenyewe, hueshimiwi jiheshimu mwenyewe, unadharauliwa jikubali mwenyewe. Huwezi kupata yote unayoyataka ila yakumbatie hayo machache unayoyapata huku ukisema ahsante mungu.

vipi ile ID yako ya figaniga utaendelea kuitumia?
Powa Suzie pamoja,MxHuwaga sidondokagi kwenye thread zako sababu nilikuwa naona hazina DIRA lakini ilokhali umejitambua nitakuwa nachangia na hata kuzisoma ideas zako ili zikupe changamoto ya kukomaa. Sababu sasa nimeona umeshajijua na ndo kukua huko, ukiona mtoto kaanza kujifunika ujue akili ya utambuzi imemjia
We koma!!Mx
ww mnoko kumbe una akili hiv?
hahahahaha! Ngoja nikusemee kwa ankal akufinye mishavu yako. Lol
Am here...kafanyaje?
kavunja kucha yangu.
Usijali nitairejesha. Kingine?