Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Sio watu wata ku make happy ww mtu mzima ovyoo,Mx
hapo ndipo akili zako zilipofikia,
Sio watu wata ku make happy ww mtu mzima ovyoo,Mx
Yawezekana hata hao wengi wasiwe wengi kama unavyofikiri. Umri haumfanyi mtu awe juu au chini kifikra. . kuna mijibaba na mijimama ambayo umri umeenda ila kifikra/matendo na upeo wao ni wa chini kupitiliza.
ila huyu anafit his age.
kuna thread alijichanganya zikatokea zote, mia na Mx.kwani huyu ndie mzee wa mia?
Naona umeniandama kama nakulia vyako,Mx
Ivuga unaona sababu anazo toa kwa kubaki JF?
Mia kaka hata mimi nimeona,Mx
Tabia kama zako huwa tunaziita JKDISH badala ya CHILDISH.Najua wengi hamjanisoma hapo, nitarudi baadae!:deadhorse:
Tabia kama zako huwa tunaziita JKDISH badala ya CHILDISH.Najua wengi hamjanisoma hapo, nitarudi baadae!:deadhorse:
Mpole bebi siondoki,naona kuna watu,watajiona babu kubwa humu,Mx