Maisha ya Jf...yamenishinda 4real yani!!

Mambo vp?wakubwa na wadogo?Mimi ni kijana wa Miaka 21,mwezi wa tatu tarehe 2 ndo natimiza miaka 22,Jf nilijiunga bila kulazimishwa na mtu ni kwa mapenzi yangu mwenyewe ndo maana nimeweka info zangu full paka ma pic...ila kuondoka nimeondoshwa na watu wa Jf,kwa sababu zao binfsi,kwenye Jf kwa muda mfupi niliojiunga Jf nimejulikana na watu wengi nani mewajua watu wengi kiasi,kama wa kina Kongosho,Lizzy,The Boss,Marelia Sugu,Boflo,Mwita25,Faiza Foxy,Facebook,Paka Jimmy..na wengine wengi,ebwana kuna MIJITU maana sio WATU,wana ni PM kuwa awanitaki Jf eti kutokana na Topic zangu za kitoto,na majibu yangu sio mazuri..sasa kuepusha Ugovi na watu,nilikuwa naomba mnipe maelekezo jinsi ya kujiondoa humu,nimechoka na lawama za humu mtoto wakiume nakuwa sina Amani bwana,kwa sababu ya watu fulani,ni hayo tu,nisome kama Dazi Pozi a.k.a Mx

Ahsantee.gif

Ficha Upumbavu wako;By Invisible
 
Ingawa si mimi niliyekutumia hizo PM lakini usitowe kwa ajili ya hizo, mimi nakushauri ujitowe na uutumie muda wako kwa kusoma na kufanya kazi badili ya kuwa potato coach hapa JF. Hapa kuna addiction ambayo sii recommend kwa kijana wa umri wako.
 
Unajinyima raha mwenyewe... Cha zaidi utaondoka tu na kurudi with a new id... Kama ushajua kosa lako badilika then maisha yaendelee...
Kuwa na Id pinya nako ishu,bora nisepe mazima,Mx
 
Marufuku kukata tamaa mdogo wangu. Km challenges ndogo ndogo km hizi zinakukatisha tamaa. Maisha utayawezaje? Km wanakuPM na wanakueleza ukweli, wanakupenda. Accept the challenges, badilika then songa mbele. Kujitoa si suluhisho sahihi kwa mtazamo wangu.
 
Aina mbaya kaka pamoja,Mx
 
Ingawa si mimi niliyekutumia hizo PM lakini usitowe kwa ajili ya hizo, mimi nakushauri ujitowe na uutumie muda wako kwa kusoma na kufanya kazi badili ya kuwa potato coach hapa JF. Hapa kuna addiction ambayo sii recommend kwa kijana wa umri wako.
Ok mama Mchungaji 1lov,Mx
 
Mambo vp?wakubwa na wadogo?Mimi ni kijana wa Miaka 21,mwezi wa tatu tarehe 2 ndo natimiza miaka 22,Jf nilijiunga bila kulazimishwa na mtu ni kwa mapenzi yangu mwenyewe ndo maana nimeweka info zangu full paka ma pic...ila kuondoka nimeondoshwa na watu wa Jf,kwa sababu zao binfsi,kwenye Jf kwa muda mfupi niliojiunga Jf nimejulikana na watu wengi nani mewajua watu wengi kiasi,kama wa kina Kongosho,Lizzy,The Boss,Marelia Sugu,Boflo,Mwita25,Faiza Foxy,Facebook,Paka Jimmy..na wengine wengi,ebwana kuna MIJITU maana sio WATU,wana ni PM kuwa awanitaki Jf eti kutokana na Topic zangu za kitoto,na majibu yangu sio mazuri..sasa kuepusha Ugovi na watu,nilikuwa naomba mnipe maelekezo jinsi ya kujiondoa humu,nimechoka na lawama za humu mtoto wakiume nakuwa sina Amani bwana,kwa sababu ya watu fulani,ni hayo tu,nisome kama Dazi Pozi a.k.a Mx
vipi ile ID yako ya figaniga utaendelea kuitumia?
 
hapo kwenye RED kama kuna ukweli ndani yake.. ila sababu umeweka wazi umri wako.. sasa tutakuchulia poa tu!.. teenager . Mx

Umri wako unaeleza yote

Dawa ingekua kuacha utoto, ila kama ni kujitoa we siuache tu kuingia? Au mPM Invisible umwambie akuondoe.

basi ungesema umeamua kuitema ID ya daz pooz kwa sababu ni ya kitoto zaidi
Humu ndani nimesha kutana na mtoto wa miaka 16 lakini akichangia anaonekana yuko mature sana.
huyu ana matatizo yake tu mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom